China fires 3 officials after deadly train crash

Rev. Kishoka

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
4,526
1,529
Now talk about maamuzi magumu, swift decision making and no hadithi za kubembelezana kuvuana vyupi na magamba!

43 lives gone, three people fired, kwetu, lazima tuunde tume, kisha kamati, uje muswaada, hadidu rejea, hoja binafsi....na kadhalika na kadhalika kisha ushahidi hautoshi, tuwaite Interpol na Mossad!

WENZHOU, China — China sacked three senior railway officials on Sunday after a collision between two high-speed trains killed at least 43 people and raised new questions about the safety of the fast-growing rail network. A bullet train on Saturday night hit another express which lost power following a lightning strike, state media said, in the country's deadliest rail disaster since 2008.
The power failure knocked out an electronic safety system designed to alert trains about stalled locomotives on the line.

China fires 3 officials after deadly train crash - World news - Asia-Pacific - China - msnbc.com
 
Now talk about maamuzi magumu, swift decision making and no hadithi za kubembelezana kuvuana vyupi na magamba!

43 lives gone, three people fired, kwetu, lazima tuunde tume, kisha kamati, uje muswaada, hadidu rejea, hoja binafsi....na kadhalika na kadhalika kisha ushahidi hautoshi, tuwaite Interpol na Mossad!

China fires 3 officials after deadly train crash - World news - Asia-Pacific - China - msnbc.com

Ndio Bongo yetu hiyo Rev, mtu pamoja na kuvurunda vibaya sana bado anaweza kuwa na kiburi cha kusimama mbele ya kadamnasi na kutamka SIJIUZULU! na BOSS wake Mawingu kimyaaaaa :( :( :(
 
usisahau kuwa tatizo sio treni wala reli
tatizo lilikuwa ni RADI sisi katika hali ya kawaida tungesema yote ni kazi ya Mungu
 
Kama alivyosema Vasco da Gama II, "...serikali haileti mvua kutatua tatizo la umeme nchini...!" Uwezo wake wa kufikiri umefika mwisho sasa...Tanzania tumekwisha!
 
Now talk about maamuzi magumu, swift decision making and no hadithi za kubembelezana kuvuana vyupi na magamba!

43 lives gone, three people fired, kwetu, lazima tuunde tume, kisha kamati, uje muswaada, hadidu rejea, hoja binafsi....na kadhalika na kadhalika kisha ushahidi hautoshi, tuwaite Interpol na Mossad!

China fires 3 officials after deadly train crash - World news - Asia-Pacific - China - msnbc.com

Lets be serious; Radi ndio imepelekea yote hayo kutokea hao watu watatu wamejiuzulu kwa misingi ipi?

Kulingana na uzoefu wao .... Hili ni swali litakaloulizwa na Mh Rais, Mawaziri wake wote, Wabunge na Viongozi wote wa Taifa letu!

HOPE YOU WILL WAKE UP!!!!
 
Ndio Bongo yetu hiyo Rev, mtu pamoja na kuvurunda vibaya sana bado anaweza kuwa na kiburi cha kusimama mbele ya kadamnasi na kutamka SIJIUZULU! na BOSS wake Mawingu kimyaaaaa :( :( :(

eti analitukana bunge kwamba ni kama komedy. hii sawa na kututukana watz wote mana sisi ndo tumewaweka pale. Watu wengine bwana wameiba mpaka wamevimbiwa
 
usisahau kuwa tatizo sio treni wala reli
tatizo lilikuwa ni RADI sisi katika hali ya kawaida tungesema yote ni kazi ya Mungu

Mungu naye anabeba lawama zisizostail. Inawezekana hata zile mil 50 zilizochangishwa watasema kazi ya Mungu eh?
 
Back
Top Bottom