Nyerere alijua na kutamka wazi: Mwinyi ni Rais legelege, Angekuwepo na agemwambia JK hivi....! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyerere alijua na kutamka wazi: Mwinyi ni Rais legelege, Angekuwepo na agemwambia JK hivi....!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Revolutionary, Jul 23, 2011.

 1. Revolutionary

  Revolutionary JF-Expert Member

  #1
  Jul 23, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 457
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mnamo mwanzoni mwa miaka ya 1990, Wakati wa kipindi cha vuta nikuvute nchini kuhusu suala la Muungano na Zanzibar kujiunga na OIC, Mwalimu Nyerere alikua akiangalia kwa karbu mwenendo, matendo na maamuzi ya serikali ya Mwinyi wakati huo kuhusu masuala hayo nyeti.

  Mara kadhaa Rais Mwinyi alionekana wazi kuelemewa na zigo la lawama na mkanganyiko wa misimamo katika baraza lake la mawaziri (najua wataalamu mnalijua) likiongozwa na waziri Mkuu (fudenge) ambaye hakika alistahili kuwa-sacked kwa undumilakuwili wake katika wajibu wake na katika kumshauri Rais.

  Rais Mwinyi alionesha wazi kulemewa na zigo la Majukumu ya urais kwa hujuma zilizokuwa zikiendelea ndani ya serikali yake haswa kwa kuwa zilikuwa zikipikwa na watu aliowaamini.

  Mwalimu Nyerere alikuwa akiyashuhudia yote haya kwa pembeni kwa upeo na busara zake aliona mchezo mzima ulivyokuwa ukiendelea na akashiindwa kujizuia baada ya kuona ULEGELEGE wa Rais Mwinyi unaweza kulipeleka taifa pabaya.

  Kwa kuwa alikuwa mkweli na muwazi Mwalimu alidhihirisha wazi kuwa anajua na kukiri wazi kuwa Rais Mwinyi ni LEGELEGE, kwa mdomo wake mwenyewe aliyatamka hadharani kuwa bila MSAADA Rais Nchi ilikuwa inamshinda, Nanukuu in red.......


  "President Mwinyi is a good and gentle person, but he is a weak leader; and his gentleness and weakness are being used by people who are neither good nor gentle to endanger the unity and peace of the Country.

  His second term is about to end. The most important issue for our nation at the moment is the leadership of the party and Government, and who will take over the Presidency after the General Elections next year. Because of the whispers of short-sighted people about the President, and the confusion to which he is subjected by his chief advisers, I was to tell the National Executive committee of CCM openly that I feel that I have a responsibility to help the President complete his term in Peace."


  My take ni kwamba sina hakika kama ULEGELEGE wa Rais Mwinyi (kwa Mujibu wa Tafsiri ya Mwalimu) unauzidi huu ULEGELEGE wa Rais KIKWETE na serikali yake sasa, haswa kwa hali ya mwenendo dhaifu wa Serikali ya JK na Kitendo cha Rais wetu Mtukufu Dakta JK kujiweka pembeni na kutochukua hatua au maamuzi magumu katika masuala mengi yanayoikabili na kutokea nchini.

  Kwa Wadau wote haswa mliomfuatilia Mwalimu Nyerere kwa karibu, naomba tuambiane, Je mwalimu Nyerere angekuwepo leo angekwazikaje na hii Serikali ya JK na mwenendo wake? Mwalimu, Angesema nini kuhusu Mtukufu Rais Dakta JK??
   
 2. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #2
  Jul 24, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Did not make any difference. Kipindi cha mwinyi watu walikuwa masikini lakinu kipindi cha nyerere watu walikuwa masikini zaidi (kwa lugha rais walikuwa mafakara) Yaani sisi wa TZ tumeteseka sana jamani. Ewe mungu tusaidie.
   
 3. denoo49

  denoo49 JF-Expert Member

  #3
  Jul 24, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 5,658
  Likes Received: 5,247
  Trophy Points: 280
  Huyu wasasa ni "Urojo" kama si "Mlenda". Mungu ibariki Tanzania.
   
 4. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #4
  Jul 24, 2011
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Kitaeleweka tu, tufanyeni kazi zetu kwa makini ili wanaokuja waje kufaidi matunda siyo sisi.
   
 5. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #5
  Jul 24, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  As i know mwinyi ndiye alikuja kutuletea afadhali... kipindi cha nyerere watu walikuwa wakipanga foleni ya sukari.. nakumbuka duka la ushirika lilikuwepo mtaani kwetu! that is an ugly truth!...

  uzuri wa nyerere ni mmoja tu! hakuvumilia wala rushwa....
   
 6. N

  NZURI PESA JF-Expert Member

  #6
  Jul 24, 2011
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 4,034
  Likes Received: 1,248
  Trophy Points: 280
  "MLENDA" na UROJO ni wa kwanza kwani alipenda kuongoza WAJINGA ambao hata UWEZO WA KUHOJI hawakuwa nao.2. kwa miaka takribani 24 tulilima tukavuna lakini tulikula njaa.Viwanda vyote vilifanya kazi lakini tulitembea Uch,UOZO Chuo kikuu kimoja tu! sasa kati 1 na 4 nani ndo LEGELEGE?au MLENDA na UROJO?acha kuparamia mambo uliza uambiwe
   
 7. N

  NZURI PESA JF-Expert Member

  #7
  Jul 24, 2011
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 4,034
  Likes Received: 1,248
  Trophy Points: 280
  Nafikiri angekasirika na angekuwa mmoja wa wahamasisha migomo v'vkuu,kwa vile amedumu na ka chuo kakuu ka moja tu! Na sasa asingependezwa na kuongezeka vyuo hvyo kwa kasi,kwan aliamin UONGOZI ni kutawala WAJINGA kama ilivyokuwa enzi hizo.
   
 8. N

  NZURI PESA JF-Expert Member

  #8
  Jul 24, 2011
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 4,034
  Likes Received: 1,248
  Trophy Points: 280
  "MLENDA" na UROJO ni wa kwanza kwani alipenda kuongoza WAJINGA ambao hata UWEZO WA KUHOJI hawakuwa nao.2. kwa miaka takribani 24 tulilima tukavuna lakini tulikula njaa.Viwanda vyote vilifanya kazi lakini tulitembea Uch,UOZO Chuo kikuu kimoja tu! sasa kati 1 na 4 nani ndo LEGELEGE?au MLENDA na UROJO?acha kuparamia mambo uliza uambiwe
   
 9. N

  NZURI PESA JF-Expert Member

  #9
  Jul 24, 2011
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 4,034
  Likes Received: 1,248
  Trophy Points: 280
  "MLENDA" na UROJO ni wa kwanza kwani alipenda kuongoza WAJINGA ambao hata UWEZO WA KUHOJI hawakuwa nao.2. kwa miaka takribani 24 tulilima tukavuna lakini tulikula njaa.Viwanda vyote vilifanya kazi lakini tulitembea Uch,UOZO Chuo kikuu kimoja tu! sasa kati 1 na 4 nani ndo LEGELEGE?au MLENDA na UROJO?acha kuparamia mambo uliza uambiwe
   
 10. Gobegobe

  Gobegobe JF-Expert Member

  #10
  Jul 24, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 245
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nionanvyo mimi kama Mwl angekuwa hai, Jk asingekuwa rais na hivyo asingekuwa daktari. So issue ya kukwazika isingekuwepo.
   
 11. S

  Stuxnet JF-Expert Member

  #11
  Jul 24, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,016
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Nyerere asingemvumilia JK na lazima angejenga ushawishi wa kumpigia kura ya kutokuwa na imani naye ambapo chama chake ingebidi kimtose especially uchaguzi Wa 2010. There is no way tungekuwa na raisi anaitwa JK Leo 2011
   
 12. F

  FJM JF-Expert Member

  #12
  Jul 24, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Viper,

  Assume kwa sasa hatuchimbi madini ya aina yeyote, hatujauza mbuga, uchumi unategemea kahawa, pareto, pamba n.k, then weka vita kati ya Tanzania na nchi nyingine (re:Uganda) na wakati huo Kikwete ndio rais. Unafikiri Tanzania inge-cope vipi?
   
 13. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #13
  Jul 24, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,186
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo Nyerere kakubali responsibility ya kutuachia successor ambaye ali turn out kuja kuwa "a weak leader" au siyo ?
   
 14. K

  KALABASH JF-Expert Member

  #14
  Jul 24, 2011
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 465
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Nyerere angekuwa hai 2005 asingemruhusu Kikwete kugombea maana Mwalimu alikuwa anajua kuwa kikwete hauwezi urais. Ile kumwmbia kwamba "hujakomaa" ilikuwa njia ya kistaarabu ya kumwambia Kikwete "hufai."
   
 15. denoo49

  denoo49 JF-Expert Member

  #15
  Jul 24, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 5,658
  Likes Received: 5,247
  Trophy Points: 280
  Sina haja ya kushangaa hoja yako. Kama umeshindwa kusifia hata uzuri wa mzazi wako ukasifia nzuri pesa. Endelea kusifia ufisadi. 2. Toka umepata uhuru wa kuhuru wa kuhuliza umeishajibiwa mangapi, mpaka leo. Ticha alisema 'awamu yangu ilikua na mabaya na mazuri tatizo lenu mnachukua mabaya mna yaacha mazuri". Ukimaliza pima mazuri ya Ticha na ya huo mlenda, utapata jibu. Mtaishia kuchezwa ngoma na kuuza korosho kwenye mabasi..
   
 16. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #16
  Jul 24, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,148
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  wewe ni mtoto au kubwajing* nyerere alikua na migodi ipi,chuo kikuu kimoja kilitosha,je watanzania tunaitaji vyuo vikuu vingi vya aina ya UDOM ambavyo unamaliza mwaka wa 3 bila kujua field ni nini? Tumia akili ndugu yangu.
   
 17. denoo49

  denoo49 JF-Expert Member

  #17
  Jul 24, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 5,658
  Likes Received: 5,247
  Trophy Points: 280
  Achana na huyo "Tigo" pesa! Nimehic bado anaharufu.
   
 18. Kabembe

  Kabembe JF-Expert Member

  #18
  Jul 24, 2011
  Joined: Feb 11, 2009
  Messages: 2,236
  Likes Received: 928
  Trophy Points: 280
  Your just an asshole,to compare 1 na 4 your off the base,pamoja na madhaifu mengi ya serikali ya 1 bado mambo iliyoyafanya ni makubwa na kwa utendaji huu wa mfano wa Kikwete itachukuwa another 50yrs kuwa na viwanda bora kama moro shoes,bora shoes,ZZK,Tipper,UDA,Railways,all Textiles industries etc etc,Kikwete si legelege tu bali ni mzigo kwa mustakbari wa Taifa.
   
 19. N

  NZURI PESA JF-Expert Member

  #19
  Jul 24, 2011
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 4,034
  Likes Received: 1,248
  Trophy Points: 280
  Dogo acha ngonjera za CDM ambao sera yao ni kunadi ufisad nadhan nawe ni mmoja wa WACHEZA NGOMA ISIYO NA MPIGAJI.
   
 20. denoo49

  denoo49 JF-Expert Member

  #20
  Jul 24, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 5,658
  Likes Received: 5,247
  Trophy Points: 280
  Pole sana kwa hisia zako potofu ka muhindi wa "India". Utaisoma # mwisho wa cku. Alamusiki! Mungu ibariki Tz.
   
Loading...