Maswi na Viongozi wenye asili ya Kanda ya Ziwa, Mula this is for YOU! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maswi na Viongozi wenye asili ya Kanda ya Ziwa, Mula this is for YOU!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by DSN, Jul 24, 2011.

 1. DSN

  DSN JF-Expert Member

  #1
  Jul 24, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 2,745
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Japokuwa Watanzania hawatumii ukabila au dini ya mtu kupima uwezo wake kiakili na maamuzi,ila Watanzania uamini kwenye JADI ya kuwa kuna MAKABILA hapa Tanzania yanaaminika kwa misimamo yao ya kuwa sio watu wa kupindisha mambo na wako kwenye unyoofu siku zote [FONT=&amp][Straightforward][/FONT] and sio wapindifu[FONT=&amp] [Zig -Zag][/FONT]

  Huyu jana kwa ubini na majina yake inaonekana ni wale[FONT=&amp] WA MULA-ELIAKIMU CHACHA MASWI.[/FONT]Zamani nilikuwa na imani sana na hawa jamaa wa kutoka kanda ya ziwa ambao wanaamika sana kwa Wantazania walio wengi kuwa ni watu wasio wa brabra yaani maneno maneno mengi pasipo vitendo.

  Kabila la hawa ndugu zetu Wakurya wanaamini Mwanaume halisi wa Kikurya anajengwa kuwa [FONT=&amp]MUWAZI [HONEST] ,NA MCHAPA KAZI [WORKER] , NA JASIRI MPAMBANAJI [WORRIOR] WA KULINDA FAMILIA YAKE NA JAMII YAKE INAYOMZUNGUKA KAMA VILE KIJIJI CHAKE NA TAIFA LAKE,dhidi ya MAADUI wa FAMILIA YAKE NA JAMII YAKE.[/FONT]

  Imekuwa hivyo kwa jamii ya Wakurya,toka enzi ya wakoloni na mpaka kufikia kuwa Watanzania wakawajua Wanajamii hiyo ya Kikurya kuwa ni maarufu katika jamii ya Watanzania katika kazi za ULINZI.Wakurya kwa nyakati nyingi za miaka ya nyuma walikuwa ni watu waliojikita zaidi katika kazi kwenye idara za Serikali kama vile Polisi,Jeshini na kwenye sekta binafsi walikuwa ni Walinzi wa shughuri au nyumba za watu binafsi.

  Lakini leo hii Kabila hili nalo limegeuka kutoka kwenye JADI YAKE ambayo ililifanya kabila hili kuheshimika sana kwenye jamii,kwa kuwa na watu makini wenye misimamo isiyoyumba na yenye tija.Mkurya kama anaamini jamii yake inaamini [FONT=&amp]RANGI NYEUSI NI NYEUSI NA NYEUPE NI NYEUPE [/FONT]na [FONT=&amp]KAMWE NYEUSI HAIWEZI KUWA NYEUPE kamwe uwezi kumbadilisha kwa hilo na imani yake hiyo.[/FONT]Yaani kwa ujumla jamaa hawa walikuwa HAWAPENDI UBABAISHAJI.Ndio maana hata jamaa yao [FONT=&amp]MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE [/FONT]alikuwa na misimamo isiyoyumba kutokana na JADI YAKE kama mzaliwa wa JAMII hiyo ya watu wa Kanda ya Ziwa.

  Kuna jamaa yangu ni mwenyeji kutoka huko alipata kuniambia kuwa Wakurya wengi kuingia kwenye sekta ya ULINZI,kulichangia sana na WAZAZI wao kuwa na mvuto sana na kujitanabaisha kama Wanaume walinzi wenye kuweza kulinda familia na jamaa zao.Hivyo Wazee wale jioni wanapokaa kwenye vikao [vilinge] vya vinywaji maarufu kama virabu wazee walikuwa wanatambiana uwezo wa Mzee mmoja kumzidi Mzee mwenzie kuwa yeye,ndio kidume zaidi kwa kuwa anavijana wapatao kadhaa wako [FONT=&amp]JESHI LA WANANCHI AU JESHI LA POLISI.[/FONT]Hivyo basi mwambiwaji alikuwa anapashwa kuwa hastaiki kuongea mbele ya mwenzie kwa kuwa hana watoto ambao ni watumishi wa JESHINI.

  Hivyo kwa yule ambae hana watoto wake katika [FONT=&amp]MAJESHI YETU MZAZI HUYO ALIONEKANA KAMA SIO CHOCHOTE KWENYE JAMII HUSIKA NA KUWA HANA MCHANGO WOWOTE KATIKA JAMII HIYO.ILO LILIPELEKEA MZAZI HUYO KUJISIKIA MNYONGE SANA NA HIVYO BASI NAE KUJITUMA NA KUAKIKISHA KAMA NAE ANAVIJANA WAKE WAJIPANGE ILI WAINGIE JESHINI ILI MZEE NAE APATE FULSA YA KUPATA HADHI KWENYE JAMII YAKE HIVYO KUMTOA KIMASOMASO MZAZI WAKE.[/FONT]

  Hivyo kama ilivyodesturi ya JADI hata taaluma hizi zinadesturi zake.Ili mtu awe Mwanajeshi au Polisi ni kazi ambayo kiamadili watendaji wake wanapaswa kuwa ni watu waadilifu na waaminifu [FONT=&amp][Honestly and Entegrity status][/FONT].Na kwa kuwa kabila hilo linawajenga wanajamii yake katika kuwa waadilifu na waaminifu basi walikuwa wanakidhi vigezo vingi sana kuweza kujiunga kwenye Majeshi yetu na hivyo kuwa kabila lenye kuongoza kwa idadi ya watendaji wengi ndani ya majeshi yetu.

  Lakini polepole nimeeanza kupoteza imani na dhidi ya baadhi ya Wanajamii wa kutoka huko kwa kuwa baadhi yao wameanza kukiuka misingi yao mikuu ya JADI ZAO.Misingi hiyo mikuu ya kusema [FONT=&amp]UKWELI DAIMA [/FONT]imesababisha wengine kuwa vibaraka wa watu na sio vibaraka wa dhamila zao.Yaani kusimamia kwenye UKWELI hata kama aliyekupata madaraka au cheo hicho asingependa kusikia Ukweli huo.Kusema kwako ukweli kutakuweka huru daima,na imani yangu ni kweli [FONT=&amp]WAZEE WA KIKURYA KUWAFUNDISHA VIJANA WAO KUWA WAKWELI WALIZINGATIA WAWE WANAUME HURU WA NAFSI NA MATENDO YAO.HIVYO KUWAFANYA KUWA HURU KUTETEA NA KUJILINDA.[/FONT]Unapokosa uhuru hata UWEZO WA KUJITETEA PIA UNAPOTEA, unageuka kuwa MTUMWA wa kifungo wa hicho kilichokupotezea uhuru,ambacho ni kinyume cha [FONT=&amp]uadilifu na uaminifu.[/FONT]

  Uteuzi wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali kutoka katika jamii hiyo ya watu hao wa kanda ya ziwa ,ulinipa matumaini sana kuwa ujio wa jamaa huyu utaleta mabadiliko sana kwenye sekta ya SHERIA ambayo kwa waliopita eneo hilo lilivulundwa sana kiasi kuwa watu wengi sana wameathiliwa na maamuzi yaliyotolewa na ofisi hiyo.[FONT=&amp][The court Break become the court Breaker][/FONT].

  Lakini matumaini yangu yaliianza kupotea polepole siku baada ya siku na mwishowe naona hafadhali ya jana.Kinachoniuma zaidi ni HISTORIA YA WATU WA JAMII HIYO AMBAYO ILIKUWA NI JAMII AMBAYO DAIMA ILIONEKANA KAMA MKOMBOZI KWA KUWA NA MSIMAMO USIOYUMBA NA WENYE KUANGALIA MASLAHI YA UMMA AU TAIFA MBELE.Kwa kuwa jadi yao iliwaunda kuwa hivyo.[FONT=&amp]Hata wale ambao Jadi iliwaunda wamechakachuliwa Tanzania itatetewa na nani?[/FONT].

  Kama Jamiiforum ingekuwa inafikia Wazee Wakikurya ningewaambia Wazee huku mjini wakiona maisha yao MAGUMU kama kama jina la makao makuu ya Wilaya yao MUGUMU [SERENGETI] wajue vijana wao siku hizi wamekuwa sio [FONT=&amp]WAMULA NA ABASACHA TENA WANAWAOGOPA WANAUME WA MJINI.[/FONT]Kiasi kuwa NCHI aijulikani kesho itakuwaje Wananchi hawana uhakika na mlo wa kesho wao na watoto wao.Hivyo ndoto zao za kuwatuma wakawe Walinzi wa Jamii imepotea na siku hizi wanawalinda wan........... wenzao.
   
 2. nditolo

  nditolo JF-Expert Member

  #2
  Jul 24, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 1,335
  Likes Received: 300
  Trophy Points: 180
  Werema hatumii akili hata kidogo hata sheria zenyewe hazifuati ndio maana anatofautiana sana na viongozi wake hata rais. Kumbuka alivyokuwa anakataa suala la katiba mpya. Werema hovyo kabisa.
   
 3. DSN

  DSN JF-Expert Member

  #3
  Jul 24, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 2,745
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Hakika sana tutegemee nini?
   
 4. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #4
  Jul 24, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Ukisha anza kuitetea CCM lazima akili zikuruke maana CCM ni laana kubwa kwa watanzania ndiyo maana unaona kila mtetea CCM anapata laana ataropoka,atafanya ya ajabu nk .
   
 5. mwana wa mtu

  mwana wa mtu JF-Expert Member

  #5
  Jul 24, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 220
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Katika enzi hizi, acha 'upofu' (samahani kwa neno hili) wa ku-generalise watu au masuala (hasty generalisation), chambua kila kitu/mtu jinsi alivyo. Ukiaendekeza mtiindo huu ni hatari, ni chanzo cha matatizo mengi kama kupendeleana,kubebana, na mengine mengi. Mtu abaki mtu kama yeye,na ahukumiwe kwa jinsi alivyo yeye mwenyewe. Mfumo wa kuhukumu mtu kutokana na kabila,au namna yoyote ya generalisation ndo umetufikisha hapa tulipo,kwenye matatizo mengi na balaa nyingi zinazoikabili nchi yetu. Tubadilike
   
 6. DSN

  DSN JF-Expert Member

  #6
  Jul 24, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 2,745
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Nani asiyejua watoka bara haswa viongozi wa kutoka kanda ya ziwa waliokuwa zama za Mwalimu walivyokuwa hawana masihara na ubabaishaji,hata Mwalimu alikua analijua ilo,palipo bidi ukweli walimwambia na pia aliwaelewa.Wako wapi hivi sasa ukiondoa Butiku na Warioba ndio waliobaki wanapiga kelele wengine wote Nyweeeeeeeeeeeeeeeee.Wakati kwa pamoja wao kama mashujaa [worriors] kwa jadi ya kusema kweli daima watawaamusha Watanzania na kuwaambia Ukweli daima.

  Hivi naomaba kukuuliza ukiachia mbali vijana ambao wazazi wao wanatoka kanda ya ziwa wakazaliwa mijini,waliosalia huko vijijini wanalelewa na kukuzwa katika mfumo ambao kama umesoma ujasoma ni lazima uhufuate.Kimakabila ya Tanzania Wakazi wa Mikoa ya Kanda ya ziwa Wakurya na Makabila Mengine yanayoshabiana kitamaduni na kabila hilo kama Wamasai wamekuwa na mfumo tofauti sana na makabila mengine ya kukuza vijana wao ambao nao ni sehemu ya Watanzania lakini wakiwa wamepitia malezi ya jadi ya kabila husika ikiwa ni tofauti sana na makabila mengine.Ndio maana nikachukulia kuwa JAPO wao ni Watanzania kama Watanzania wengine jamaa hawa WANAKITU CHA ZIADA KIMAADILI
   
Loading...