Nchi imeshakuwa shamba la bibi na dampo

Mwangaza

Senior Member
Feb 26, 2008
198
64
Inasikitisha sana Tz kugeuzwa dampo la bidhaa feki zilizokataliwa nchi nyingine shamba la bibi ambalo kila mjanja anakuja kuvuna na kuondoka tena kwa amani kabisa akipewa na ulinzi wa askari wetu ,n.k
Hivi ni lini tutato hapa?? Hakuna kiongoz anayeonyesha utayari wa kututoa hapa,wote wamekaa kulinda matumbo yao..wanaiba weee wakistukiwa wanaziba masikio, mpka tupige kelee za mwiz mwiz ndio wanajiuzuru tu na kuendelea kula maisha hakuna wa kuwafatilia. !! NCHI KAMA HAINA WENYEWE!!

Sasa hii ya samaki wa Japan ndio kiboko kabisa. Tuagize magari ya mitumba toka Japan, sasa mpaka samaki?? Hiv Tz tumejaliwa maziwa mengi..ziwa victoria,nyasa,tanganyika,na mengine nmeyasahau, tuna mita kibao, bahari na mabwawa ya kutosha, mamia vimito vitodogo vidogo kila kona ya nchi..hivi hiv vyooote vimeshindwa kutupatia kitoweo mpaka tuingize samaki kutoa japan. Hiv sheria za kulinda malighafi/uzalishaji wa ndani zipo wapi? Tumezoea kusikia sisi ndo tunauza samaki wa ziwa victora nje! inakuwaje leo tuna inaagiza toka nje, tena samaki wenye sumu? ziko wapi mamlaka husika? Mpaka wwandishi wayaibue ndio na wao wanastuka? Je ni hawa samaki wenye sumua tu wameshaingizwa...au zipo bidhaa nyingine kiba zisizo faa zimeshaingizwa? serikali imeenda likizo?? Ua hatuna Serikali??
 
Back
Top Bottom