Taswira ya kisiasa tanzania

shedy

New Member
Jul 23, 2011
1
0
Niukweli usio pingika kwamba watanzania ni lazima tubadilike la sivyo tutatengeneza matabaka ndani ya nchi yetu

wenyewe tusipo kuwa makini!!!hayati baba wa taifa hili alijitahidi kupga vita matabaka hasa katika swala zima la ukabila

ndani ya nchi hii lakini wanasiasa wa kipindi hiki wanajaribu kutengeneza tabaka lengine la uchama sasa ni lazima tuwe

makin watanzania wenzangu!!!!
 
Back
Top Bottom