Mahindi yanazuiwa kwa sababu hakuna uchaguzi? Mbunge wa CCM auliza

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
Mbunge wa nkasi kusini mh deogratias ameuliza je chakula kinakatazwa kuuzwa nje ya nchi sababu akuna uchaguzi wa siasa ama??hivi ninyi mnatuzuia kuuza vyakula nje ya nchi kungekuwa na uchaguzi mngetufanyia hivi
kwanza kabla ya kuendelea nakupa five mhe

akasema mijini wakati wa uchaguzi mkuu waliwakataa mkakimbilia vijijini kwa wakulima wakwakubali lakini leo mnawageuka loh hatukubalikwa hili hata kidgo

tuntaka hiyo mipaka ifunguliwe mara moja tuuze chakula nje ya nchi...jukumu la kuilisha nchi siyo wakulima bali serikali nawaambia hatutaki kabisa hiyo tabia yenu chafu...alisema mh mpata

baada ya kutooneshwa kuridhishwa na bajeti hiyo wabunge wa ccm wote waliitana chimwaga na kilichoongelewa bado tunaendeleea kufwatilia
 
Hahahaaa!
Juzi kijana wa mtera alisema kinachua ccm ni watendaji wabovu na sio chadema.
Akasema serikali ya ccm inawatania vijana eti warudi vijijini wakalime kwa jembe la mkono, akasema hebu wafungue shamba la bunge na wabunge walime kwa mkono kama hawatatoroka na kuziacha posho.
 
heee heee heee mpwa usifanye niagize pilau mchana huu
huko huru nilikuona kama kwenye kale kaharusi cha Paw nikasali kweli lakini sikujibiwa
karibu nafikiri sasa CCM wameamka na yetu macho wacha waingizne vidole machoni sie wa Dole
tubaki tunawaangalia
 
Back
Top Bottom