Nchi iko gizani;tuigawane kimajimbo tuamue mambo kwa manufaa ya watu wetu.

Ryaro wa Ryaro

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
2,659
1,422
Kwa mwelekeo huu wa nchi kuwa gizani na bila kuwa na uhakika wa lini patakucha ni bora tuigawe nchi maana watawala wetu wamekosa maono na kubakia watumwa wa Posho na Rushwa.Nashauri tuanze na kanda ya Ziwa na nchi hii tuipe jina The Republic of Lake Victoria.(Mwanza, Mara, Kagera , Shinyanga, Kilimanjaro , Arusha na Manyara). Tukiamua tunawaza mbona GoSS ( Sudan ya Kusini) wameweza na kwa nini tuendelee kuteseka kwa sababu ya viongozi wanaoshindwa kuchukua maamuzi mazito na magumu ya kuinusuru nchi na Mufilisi.
 
Mkifanikiwa kupata hiyo Rep of Lake Victoria hamtaishia hapo mtataka mpate Rep of Kilimanjaro! Mtaenda zaidi mpate Rep of Hai,mtaenda zaidi kuwa Rep of Maili Sita and Boma Ng'ombe na hapo mtaenda mbali zaidi na Rep of Machame na mwisho kabisa mtaikumbu Tanzania!
 
Not necessarily kwenda mpaka chini mpaka Machame, there is always a concensus , the water will find its own level. Sasa tufanyeje, kuwa na Tanzania vimeshindikana, let us try another route.
 
Back
Top Bottom