Ewura wametangaza punguzo la bei karibu 9% kutokana na kupungua kwa tozo mbalimbali kwenye mafuta. Punguzo hilo ni karibu wastani wa sh.200/= kwa Lita, kwa mfano sheli zinazouza petroli sh. 2040/=...
Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa inaonyesha matumizi ya balozi zetu kwa mwaka wa fedha 2011/2012 yatakuwa kiasi cha Shilingi za Tanzania kama ifuatavyo.
Ubalozi wetu...
Najiuliza saana,
Hivi tulivyokuwa tunaambiwa kuwa chama kina mafisadi tukakataa, sasa hv wanavyoachia ngazi tunajiteteaje?
Tulivyoambiwa chama hakina dhamira ya kupambana na mafisadi tukakataa...
SINA ugomvi na kaulimbiu ya zamani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) zidumu fikra za mwenyekiti. Katika maisha ya sasa ya CCM hii inayoporomoka, inayotapatapa, inayojivua gamba na inayoishi kwenye...
Mbunge anawajibika kwa
wapiga kura wake,
chama chake,
nchi yake..
Je,kwa hali ya bunge sasa,kama ingekuepo sheria ya wapiga kura kumwajibisha mbunge wao hadi sasa nani angekua amewajibishwa na...
Zimebaki wiki chache kabla ya bunge kuahirishwa, wabunge wengi wamechangia mawazo yao kwenye bunge hili la bajeti, je uonavyo wewe ni mbunge yupi aliyesimama kikamilifu bungeni kutetea wananchi wa...
Waziri wa ujenzi Mh. Magufuli yuko anajibu hoja mbalimbali za wabunge kwa kutamka idadi ya umbali kwa km, wakandarasi wanaojenga na kiasi cha fedha zinazotumika.
Anachoni-boa ni anaposema...
Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema amefunika Hotuba zote za Mawaziri Kivuli kutoka Bunge pamoja na ile ya Kiongozi wa Upinzani Bungeni! Tafsiri ya moja kwa moja jinsi Lema anavyosifiwa na...
Ndugai kaulizwa swali rahisi la mtego:
"HUOGOPI KUKUTWA NA YALIYOMKUTA SITTA?"
Badala ya kujibu swali, anaanza kutaja sifa za Sitta!
Nikajiuliza, nani hajui wadhifu wa Sitta? Kuwa ni spika...
Wandugu,<br />
<br />
Nimeguswa na kusikitishwa sana na jinsi habari zinazohusu wabunge wa upinzani hususan wa chadema zinavyochakachuliwa wakati wa taarifa za habari kwenye vituo vya TV...
Tarehe 27 Julai 2011 vyombo mbalimbali vya habari vimemnukuu Meya Wa Jiji la Dar es salaam Dkt. Didas Masaburi akieleza kilichoitwa maamuzi ya Baraza la Madiwani wa Jiji kuhusu kuvunja uongozi wa...
Ndugu wanaJf
Habari za uhakika kutoka kwenye baraza la uongozi la chadema mkoa,lililokaa kwa siku mbili mfululizo,kujadili hali halisi ya kisiasa Arusha mjini,limegundua makosa mengi ya kiuongozi...
Nikikumbuka hii kauli ya Mwalimu Nyerere isemayo Mimi nangatuka lakini naendelea kuamini kuwa bila CCM madhubuti nchi yetu itayumba.
Wosia wa Mwalimu Agosti 1990 Diamond Jubilee
My take ...
Nani anafaa kuongoza kampeni za CCM Igunga kati ya January Makamba na Mwigulu Nchemba?
My take: January ni mtu makii na smart lakini ana damu ya kunguni ya kuchukiwa tu bila sababu za msingi hivyo...
Baadhi ya wenyeviti wa CCM wa mikoa wamepania kushinikiza kutenguliwa kwa uamuzi wa CC kuhusiana na mkakati huo wa kuwataka makada wake kujivua gamba, Mwananchi limeelezwa.
Mmoja wa wenyeviti hao...
kuna uchambuzi ulufanyika jana east africa radio, ukielezea hali ya Tanzania ki-uchumi imeandikwa na mfungwa mmoja.
Please mwenye copy atuwekee tuisome.
Haya ameyasema punde wakati alipoomba mwongozo wa mwenyekiti kwa kusema kua Wizara ya Ujenzi imekua na upendeleo kwa kujenga barabara nyingi ambako wanatoka viongozi wa serikali kwa huku barabara...
Huwa najiuliza hivi serikali yetu inafikiria nini kuhusu huu mfululizo wa maonyesho (maonesho) mbalimbali ambayo yote yanahusu taasisi na idara za serikali. Maonyesho hayo ni kama ya Sabasaba...
Ni heri kupoteza jimbo au kata halafu tukarudi kwenye uchaguzi maana ndiyo njia pakee ya kukisafisha CCM kuliko kuendelea kungangania wachafu kwenye chama chetu.
NA Tukirudi huko bado...