Bei ya mafuta chini, Nauli je? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bei ya mafuta chini, Nauli je?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mchemsho, Aug 3, 2011.

 1. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #1
  Aug 3, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Ewura wametangaza punguzo la bei karibu 9% kutokana na kupungua kwa tozo mbalimbali kwenye mafuta. Punguzo hilo ni karibu wastani wa sh.200/= kwa Lita, kwa mfano sheli zinazouza petroli sh. 2040/= zitalazimika kuuza sh.1840 kwa lita. Bei hii elekezi inaanza kutumika mara moja leo tar. 3 august 2011. SUMATRA tunawasubiri na ninyi mtoe muongozo wa bei mpya za daladala kwa spidi ile ile inayotumika kupandisha bei, unawasubiri ni zamu yenu tena..
   
Loading...