Kijarida cha ::"Kumekucha":: Serikali yajitahidi Kuokoa Mkataba wa UDA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kijarida cha ::"Kumekucha":: Serikali yajitahidi Kuokoa Mkataba wa UDA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee Mwanakijiji, Aug 4, 2011.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Aug 4, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  kumekucha-1.png
  Tuko katika majaribio ya kurudi kwa mbwembwe zaidi na kijarida kipya kuelekea 2015. Kijarida cha "Cheche za Fikra" kilikuwa ni nuru ya kutupeleka 2010 na kilitoa mchango wake; kwa mashauri yenu, michango yenu na ukosaji wenu tunaka kuunganisha nguvu zote tatu (Jamiiforums, Fikrapevu na Wenu Mtiifu) kufanya kijarida hiki huru na cha bure cha "Kumekucha" kuwa sehemu ya mazungumzo ya kila wiki kwenye maofisi, migahawa, kwenye basi na popote. Na utafanya mema sana kama una uwezo wa kuchapa japo nakala moja au zaidi na kugawa bure... we do this part.. you do yours..


  Kama halipo kwenye Kumekucha, then its NOT NEWS!
   

  Attached Files:

 2. emmanuel1976

  emmanuel1976 JF-Expert Member

  #2
  Aug 4, 2011
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 301
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante sana mzee mwana kijiji, we are not going to let the same people that have destroyed the image of our country (Tanzania) to again determine the future of the Tanzania we want
   
 3. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #3
  Aug 4, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,689
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  Daily,weekly.....?
  Just checked it,it's awesome and daring...big up.
   
 4. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #4
  Aug 4, 2011
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  ..Nilipenda jana wakati wa Mjadala wa Wizara ya Uchukuzi jinsi wabunge wote hususani CCM walivyochangia na Kupinga Uuzwaji Rahisi kama huu wa UDA. Wabunge pia walipendekeza waliohusika na ufirauni huu wakamatwe na kuwekwa ndani kupisha Uchunguzi.
  At least sasa Watanzania wanapata mtu/watu/wawakilishi wa kuwasemea, maana tulizoea Mabunge yaliopita Mbunge yupo bungeni kwa ajili ya Chama na sio Wananchi.
   
 5. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #5
  Aug 4, 2011
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135

  "In other countries, "necessity is the mother of invention"; In Tanzania however, "necessity is the mother of corruption". While others are inventing ways to make their lives better, we are doing the opposite! - out of necessity." - Mwanakijiji

  This is a powerful statement
   
 6. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #6
  Aug 4, 2011
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Hongera sana kwa kazi nzuri, liuzeni au watu walipie kulisoma online (M-Pesa, Tigo Pesa), etc.

  Well done and keep it up
   
 7. Saharavoice

  Saharavoice JF-Expert Member

  #7
  Aug 4, 2011
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 2,644
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Yap, nimeshawagiwia watu kumi tayari.
  Nitaendelea ku print more copies.
   
 8. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #8
  Aug 4, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Ni-print 30 Copy na kuziweka Rececption kila mgeni anayekuja ajiokote, Tunakushukuru Mwanakijiji kwa kuonyesha uzalendo wako
   
 9. N

  Nyampedawa Member

  #9
  Aug 4, 2011
  Joined: Feb 15, 2011
  Messages: 98
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mkuu Saharavoice na mimi naprint hapa ili nisambaze ili watu wapate kuelewa nini kina endelea. Asante sana Mwanakijiji.
   
 10. M

  MILKYWAY GALAXY JF-Expert Member

  #10
  Aug 4, 2011
  Joined: Dec 12, 2008
  Messages: 201
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Mkuu sana MM!

  Respect!!!

  Ahsante sana kwako na kwa wote kwa juhudi hizi za kuilinda, kuijenga na kuiendeleza nchi yetu.

  Uhakika lazima watu kadhaa nitawapatia na kuwahimiza wasome, waelewe na waeneze ujumbe. Na hatimaye wajiunge kwenye mapambano.

  Tuko pamoja!!
   
 11. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #11
  Aug 4, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Kwa wale wanaokumbuka tulikuwa tunachapisha kile kijarida cha "cheche za fikra" hata hivyo kutokana na matatizo yaliyo nje ya uwezo wetu ilibidi tusiyishe. Tutaweza kuweja matangazo humu to help offset gharama ya kutengeza ili kuinua ubora lakini bado kufanya cha bure. Wanasema some of the most precious things are found free, we only add money value later.
   
 12. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #12
  Aug 4, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,015
  Likes Received: 743
  Trophy Points: 280
  Thanks,kinapatikana kwa urahisi?mbona huwa sikioni kwenye meza?
   
 13. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #13
  Aug 4, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,953
  Likes Received: 1,509
  Trophy Points: 280
  Na walionunua na kupanga hiyo dili wako humo humo mjengoni kazi yao ni kucheza kibajaji cha Akudo Band,hawaltosheki hawa watu wana vitega uchumi walivyopata kwa njia za wizi kila sehemu,ajabu walipokuwa kwenye ajira zao za kazi walizosomea walikuwa ni watu wa kawaida tu .
   
 14. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #14
  Aug 4, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  utakiona vipi kama hujakiweka?
   
 15. w

  wimbi la mbele JF-Expert Member

  #15
  Aug 4, 2011
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 647
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mtu yoyote wa mjini kabla hujafanya kazi na mtu unatakiwa unamfanyia diligence sasa hao wanaopiga madili na Iddi Simba hawakujua jinsi gani alivyoiua klabu ya Saigon?Kama kaweza kuia ile klabu what makes you think angekuwa na uadilifu huo ?kama kaweza kuia Saigon angeshindwa kuiimaliza UDA?
   
 16. Mpaka Kieleweke

  Mpaka Kieleweke JF-Expert Member

  #16
  Aug 4, 2011
  Joined: Feb 27, 2007
  Messages: 4,137
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Thanks mzee .Later
   
 17. Mpaka Kieleweke

  Mpaka Kieleweke JF-Expert Member

  #17
  Aug 4, 2011
  Joined: Feb 27, 2007
  Messages: 4,137
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Fuatilieni kule Agrosol huyu yupo Idd kapitia kampuni inaitwa Serengeti blehbleh
   
 18. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #18
  Aug 4, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Mashirika ya Umma, Deo Filikunjombe akiwaonyesha waandishi wa habari jinsi Idi Simba alivyoingiziwa Sh 250milioni katika akaunti yake ikiwa malipo ya kuuza hisa za Shirika la Usafirishaji Dar es Salaam (UDA), mjini Dodoma jana.
   
 19. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #19
  Aug 4, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Hicho kijarida kitakua kwa kazi sana maana hapa ndo jikoni kuna wengi wenye kupenyeza habari zenye mvuto hadi kuwa mshindi katika uringo wa vijarida
   
 20. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #20
  Aug 4, 2011
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  kazi nzuri sana. Tumeki-miss 'cheche za fikra' sana! I hope hichi kitakuwa more consistent. Mungu akuongezee...
   
Loading...