Waziri Nundu umeonesha umakini japo umeingizwa choo cha kike. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waziri Nundu umeonesha umakini japo umeingizwa choo cha kike.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kipilipili, Aug 4, 2011.

 1. Kipilipili

  Kipilipili JF-Expert Member

  #1
  Aug 4, 2011
  Joined: May 25, 2010
  Messages: 2,204
  Likes Received: 477
  Trophy Points: 180
  Mh.omar nundu ameonesha umakini na kutumia taaluma yake kwa kumuomba waziri mkuu nyongeza ya pesa ili kuongeza bajeti ya wizara yake.tatizo ni kuwa wizara aliyopewa ni bomu na litamlipukia asipokua makini kama ngeleja lilivyomlipukia.kwa kifupi,ameingizwa choo cha kike.wizara imejaa wizi na ufisadi na migogoro mf.UDA,TRL,ATCL.nundu anageuzwa kama mbuzi wa kafara!nakushauri ujiuzulu kabla hujachafuka kaka.
   
 2. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #2
  Aug 4, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  hali bado mbaya sana kwa wizara yake.
   
 3. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #3
  Aug 5, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  95 billion is no where near good enough. We should get serious or else we stagnate.
   
 4. Kwetu Iringa

  Kwetu Iringa JF-Expert Member

  #4
  Aug 5, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 359
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0

  Ana taaluma gani??? hizo hela zilizoongezwa ni kiini macho tu. zitabaki kwenye maandishi tu.
   
 5. whizkid

  whizkid JF-Expert Member

  #5
  Aug 5, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 301
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 60
  Yaani ofisi za serikali ilivyokuwa vigumu kuhamisha hela kutoka kifungu kimoja chenye neema kwenda kifungu kingine kilichoishiwa cha wizara moja, sijui wanategemea watazihamishaje kutoka wizara moja kwenda wizara nyingine! Magufuli hatoi hata shilingi mia!
   
 6. b

  bundas Member

  #6
  Aug 5, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 79
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Well, first let me through, hivi ni uhakika nafasi za serkalini wanaoajiriwa ni failures, mabolibo?
   
 7. i

  iMind JF-Expert Member

  #7
  Aug 5, 2011
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 1,907
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  Watu wengi hudhani watumishi wote wa serikali ni mazuzu na wachumia tumbo. ukweli ni kwamba wengi ni wataalamu wa ukweli na wazalendo. Lakini nchii hii ni ngumu kwani watanzania wengi kwa ujumla ni wezi na wazembe. Hivyo hatapale ambapo serikali hufanya mipango mizuri kwa nia njema, watanzania hutafuta kila njia kuuiliza serikali na hivyo mipango kufeli. Mifano michache ni kama pembejeo za ruzuku kupitia kilimo kwanza na mpango wa ujenzi wa shule. hii hutekelezwa katika lower levels lakini
   
 8. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #8
  Aug 5, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Nilivyoangalia jana Bunge......
  Kuna picha kubwa ya "funika kombe"
  Lililochochewa na biti walilopigwa wabunge wa chama tawala....
  Mahitaji ya uchukuzi katika taifa lolote na kilichofanyika au hata kuahidiwa kufanyika tu,
  Yote hiyo inatoa picha sisi ni taifa la namna gani na tunatazama vipi dhana ya MAENDELEO ENDELEVU.
  Tusijipe moyo, hamna kitu hapa ukiringanisha na wenzetu wanaoendelea na wanaojenga mataifa yao
   
Loading...