Bajeti ya Wizara ya Uchukuzi yapita! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bajeti ya Wizara ya Uchukuzi yapita!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pdidy, Aug 4, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Aug 4, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,627
  Likes Received: 5,790
  Trophy Points: 280
  Katika kuonyesha wingi wa wabunge wa ccm unaweza wachinja watanzania bila kujali idadi yao
  ilikuwa hivi
  wanaosema imepita waseme ndiooooo....ndiiiiiiiioooooooooooooooooooooooooooo

  wanaosema hapana:hapanaaaaaaaa yaani kichekesho hata wale waliokuwa wakiwapga vijembe waziri
  wa cuhukuzi waliishia kumaliziaaaaa na oooooooooooooooooo kweli sisiemu itatumaliza kweli
  hapo ndipo mh spika alipomalizia waliosema ndio wamesshindaa bajeti imepita nilianza kukumbuka bahasha
  za kina jairo zimepitishwa ngapi kwa viumbe vile???
  Hongera sisiemu
   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Aug 4, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,627
  Likes Received: 5,790
  Trophy Points: 280
  Kuna mada ya bajeti ua uchukuzi kupingwa nilisema wakiipinga mimi na jf basiiiiiiii hope mtoa mada alielewa namaanisha nini
   
 3. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #3
  Aug 4, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  inasikitisha kweli haya magamba.
  RIP CCM
   
 4. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #4
  Aug 4, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,654
  Likes Received: 1,439
  Trophy Points: 280
  hii wala sio breaking niuzi mkuu.. nilipomsikia waziri mkuu na zile 95bn asubuhi nikajua tushafanywa mandondocha!!
   
 5. Kimilidzo

  Kimilidzo JF-Expert Member

  #5
  Aug 4, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 1,346
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Mgao wa umeme umenizuia kuangalia inavyopita lakini ni habari mbaya sana kwa CCM kwani kuna mbunge jana alisema heri waziri mmoja anyongwe, sasa wananchi tunaposikia bajeti walioisema wenyewe ni mbovu imepita tunapata hasira sana na kutamani uchaguzi uitishwe hata kesho tulitoe hili bazazi la maendeleo ya nchi yetu linaloitwa Chama Cha Mapinduzi, aibu kwa wabunge wao. Na UDA je imeachwa iliwe na Magamba wenzao?
   
 6. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #6
  Aug 4, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Hakuna kinachoshindikana katika Serikali ya CCM, kila mtu alikuwa anajua kuwa bahasha za Jairo zilikuwa hazijapitishiwa kwa wabunge wa ccm. Sasa wameshachukuwa chao wamenyamza kimya hakuna wakubisha Jana walikuwa wamekasirishwa kutopewa bahasha za Jairo. Sasa wametulizwa wapo kimya. Kweli Serikali ya CCM ni Janga kwa Taifa.
   
 7. Baba Collin

  Baba Collin JF-Expert Member

  #7
  Aug 4, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 458
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wakati washua wanasema hapanaaa,kuna mbunge 1wa ccm alisikika akiwajibu kwa sauti "tokeni hukooo"huku wengine wakigonga meza meno nje.inakera sanaa!!
   
 8. tikatika

  tikatika JF-Expert Member

  #8
  Aug 4, 2011
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 1,672
  Likes Received: 2,207
  Trophy Points: 280
  Je wameongeza fedha fasta ili kupunguza aibu au sasa wame elimika? (serikali )
   
 9. W

  We know next JF-Expert Member

  #9
  Aug 4, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 664
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nadhani wabunge nao ifike mahali, waache kupitisha mambo kwa wingi wa kura. Mambo yaliyojadiliwa ktk bajeti hii ya Uchukuziish, yalikuwa muhimu sana, na kwa kweli yalihitaji msukumo wa aina yake. Hawajafanya busara kabisa kupitisha hiyo budget. Serikali ni lazima ijipange vizuri inapoandaa hizo budget, siyo mnacopy na kupaste. kwa mambo jinsi yalivyo kuwa yanajadiliwa ktk budget hii, ninapata wasiwasi wa QUALITY ya watendaji Serikalini. Sijafurahishwa na hao wabunge waliopitisha hiyo Budget, Ni Wanafiki!
   
 10. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #10
  Aug 4, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,809
  Likes Received: 1,129
  Trophy Points: 280
  Hv hawa wasanii wa magamba wamefikisha album ngapi vile
   
 11. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #11
  Aug 4, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  mimi nilishaacha kusikiliza michango ya wabunge wa ccm huwa nawasikilza upinzani tu coz najua hitimisho huwa ni nini
   
 12. i

  iMind JF-Expert Member

  #12
  Aug 4, 2011
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 1,908
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  Hoja nyingi zilizojadiliwa na wabunge zisingeweza kuzuia bajeti isipite. Kwa mfano swala la ATC au TRL ufumbuzi wake hauwezi kupatikana over night. Majibu ya waziri wakati anahitimisha hoja yake, yanatosha kuwafanya wabunge wapitishe bajeti, kama yataonyesha kusikilizwa kwa hoja zao. Kuongeza pesa hakuna maana yoyote kwa sababu ukweli ni kwamba pesa hizo hakuna. Wana inflate bajeti tu.....Uzoefu huonyesha kuwa wizara nyingi hupokea si zaidi ya nusu za fedha zinazopitishwa na wabunge, na sijawahi kusikia wabunge wakihoji swala hili. Wanapitisha bajeti hewa.
   
 13. 3squere

  3squere JF-Expert Member

  #13
  Aug 4, 2011
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 928
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Nilijua tu ni mazuzuzu awa magamba kwan wapo kishabiki saidm na cdm wapo juuuuuuuuuu sana
   
 14. s

  sirghanam JF-Expert Member

  #14
  Aug 4, 2011
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 289
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  KILA MUDA UNAPOKWENDA NINASHINDWA KUWA-ELEWA WABUNGE WA CCM. NA HII INANIPELEKA KUTAKA KUCHOMA KADI YA CCM. Hii mijitu iliyotumia hela au kujuana na makamba kuingia MJENGONI ina kera sana. BAADA YA HAPO UTAIKUTA BAR INAJISIFIA UPUUZI.. nchi imewekwa rehani
   
 15. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #15
  Aug 4, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 160
  hapa ndo utamaliza kwa kusema wanasiasa wote lao moja na hii ndo imedhihirika leo...

  mpaka sasa natangaza rasmi kuachana na utanzania bora niende zangu Juba tu..

  RIP Tz government ya ccm..
   
 16. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #16
  Aug 4, 2011
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Nilikubishia, niliwapa wabunge wa CCM benefit of the doubt, sasa wameondoa ile 1% trust yangu kwao, nawaona kama wauaji tu, watu hawawezi kuendelea kufa na mitumbwi wao wanapitisha bajeti za ajabu ajabu, nimekubali Pdidy
   
 17. l

  lebabu11 JF-Expert Member

  #17
  Aug 4, 2011
  Joined: Mar 27, 2010
  Messages: 1,651
  Likes Received: 518
  Trophy Points: 280
  Kusema kwamba tumeongeza na kitendo cha kuongeza ni vitu viwili tofauti kabisa. Tusubiri tuone ukweli wenyewe! 95Bn zimetoka fungu gani?
  Uamuzi au ahadi nzuri ingekuwa kuwawajibisha wote waliosababisha hali mbaya kwenye mashirika kama TRC/TRL, ATC, UDA etc ili iwe fundisho kwa watakaokabidhiwa baadaye.
  Waliochangia kuanguka kwa mashirika ya uma ni hatari kuliko hata majambazi katika jamii. Madhara yatokanayo na uzembe,ubadhirifu na hata wizi wao kwa raia wa kawaida ni makubwa yasiyoelezeka.
  Kama watu kama hawa hawatachukuliwa hatua, mambo hayatabadilika na kutakuwa na haja ya wananchi kujichukulia sheria mkononi (ikiwa ni pamoja mapinduzi yanayoweza kufanywa na kikundi cha mashujaa wachache kwa ajili ya mustakabali wa walio wengi au nguvu ya uma kwa maandamano kuondoa mamlaka za utawala zilizokosa uhalali kwa kushindwa kutimiza wajibu wake.
   
 18. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #18
  Aug 4, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,627
  Likes Received: 5,790
  Trophy Points: 280
  Nilikuwa na Mjomba wangu waziri nikamweka wazi majuzi Sipendi Kuona SISIEMU INA KUFA BALI NI LAZIMA KIWE CHAMA CHAUPINZANI
  HAYA NDIO MATATIZO YA MASHETANI KUFUNGA NDOA NA WATU..NDOA NYINGI ZA BUNGEN ZIMEFUNGWA NA WATANZANIA WENYEWE KWA PESA ZAO WENYEWE SASA WEWE UMEOLEWA UKAKUBALI HIYU NDIE BWANA WANGU ALAFU UNATOKA NJEKUPIGA KELELE ...HAMIA
  AIRTWL WACHENI KUISHI KWENYE NDOA ZAMAVUMILIANO ZA CCM AMENI JAMANI SIO MPAKA MA SPRITUAL HUSBAND/WIFE YAWAJAE USIKU NDIO UHAME CCM///BINAFSI KAMA NINGEKUWA NA UWEZO NINGEMWOMBA MUNGU AWACHAPE BAKORA KWA KURUHUSU HAYA MAPEPO YA NDOA KWA K ILA MWANA CCM LEO NIMEUMIA SANA SANA UKIANGALIA ILE BAJETI ILIKUWA UOVU MTUPU NILIJARIBU KUANGALIA AKIWA ANAONGEA MH NUNDU KAMA KUNA HIRIZI PALE CHINI NILIISHIA KUCHEKA ALIPOSEMA MH SPIKA BADALA YA MWENYEKITI ANYWAY SIJUI HIRIZ ZAKE ALIZIFICHIA WAPI BW HUYU...KAMA SIO BAHASHA SIJUI...MASKINI NAFIKIRIA KA ATCL NA TRL NACHO KAMECHANGIA NGAPI KWENYE JAIRO FUNDS??

  BORA MAJINI MAHABA YA NKUBI NA SIKUBI YAWAVAMIE WANACHAMA WOTE WA CCM KULIKO KWENDA KUZINI BUNGEN WALICHOFANYA CCM LEO AKUNA TOFAUTI NA KUWAVUA NGUO WATANZANIA NA KUZINI NAO ...HAKIKA HIIDHAMBI AITAWAACHA
   
 19. Edmond

  Edmond JF-Expert Member

  #19
  Aug 4, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 363
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  duh,pamoja na kelele zote za wabunge wote wale!kweli tanzania ni zaidi ya uijuavyo,Mungu ibariki nchi yetu,ili na sisi tufaidike na rasilimari za nchi yetu
   
 20. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #20
  Aug 4, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Mimi Nikimuona mtu anashangilia ccm na muona kama ni muuaji wa hili Taifa, wengi hapa JF jana mlikuwa mnawashangilia Magamba wanavyoichomolea bajeti na kusema hawataipitisha na mimi sikuwaamini kabisa wabunge wa kampuni ya Magamba nikijua walikuwa wapo kazini kuwahadaa watanzania kwenye macho lakini ndani ya mioyo yao wanajua wanachokifanya ni kutetea ujinga wa chama chao na maslai yao binafsi. Kuishangilia ccm au wabunge wao ni sawa na kujichimbia kaburi wenyewe hali unajua utajizika mwenye. Wabunge wa magamba siwaamini hata kwa 0% kwa sababu nawajua hawapo pamoja na sisi walalahoi wapo kwa maslai yao na mtakuja kuniambia kuwa Kesi ya UDA itapita kama za EPA, Dowans, Kiwira, NBC na nyingine hakuna hatua yoyote itakayochukuliwa mpaka 2015 tutakapo pata Serikali mpya itakayoundwa na chama cha upinzani ndio tutakapoona watu wanaishia jela kama wakina mubarak wa misri
   
Loading...