Mh. Augustino Lyatonga Mrema Mbunge wa Vunjo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh. Augustino Lyatonga Mrema Mbunge wa Vunjo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by COMPLICATOR2011, Jul 29, 2011.

 1. COMPLICATOR2011

  COMPLICATOR2011 JF-Expert Member

  #1
  Jul 29, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 255
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 33
  [FONT=&quot] Tangu nianze kuangalia bunge la TZ kwa awamu hii na kuwaona wabunge mbalimbali wakichangia hoja kinachonivutia ni staili ya uchangiaji wa mbunge wa Vunjo mh. Mrema, yy hawezi kuchangia hoja pasipo kulitaja jimbo lake atajitahidi hata kama hoja ile haipo kabisa jimboni mwake atajitahidi aivute mpaka ahakikishe amejua ni namna gani vunja inaweza kufaidika na hoja hiyo. [/FONT]
  [FONT=&quot] Kama anaona haiwezekani basi yuko tayari asichangie hoja hiyo. Hii imenipa hamasa kwani mm sijawahi kusikia jimbo langu likitajwa bungeni, nadhani ni kwa vile tunawakilishwa na gamba hlf limedanganywa uwaziri mdogo n/waziri.

  [/FONT]
  [FONT=&quot] Mm naamini kuna wa tz hawajui kama tz tuna jimbo linaitwa BUYUNGU.
  Ndg. Wana JF mnaionaje hii staili ya mrema, mm naiunga mkono.

  [/FONT]
  [FONT=&quot]NAOMBA KUWASILISHA[/FONT]
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Jul 29, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,468
  Trophy Points: 280
  mimi mrema nahofia sana afya yake
  naona kama yupo seriously ill
   
 3. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #3
  Jul 29, 2011
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  anajikaza kwa kweli lakini yupo hoi sana...
   
 4. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #4
  Jul 29, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,906
  Likes Received: 5,367
  Trophy Points: 280
  lile jimbo alilozawadiwa na ccm alipocheza ndombolo kwenye kikao cha nec ya ccm...kulitajataja jimbo sio solution ya matatizo ya wanajimbo kinachomatter ni kutatua matatizo yao..inawezekana kulitaja jimbo ukiwa dodoma na haujakanyaga tokea uchaguliwe..mrema ni mgonjwa wa mwili na akili anahitaji kupumzika siasa
   
 5. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #5
  Jul 29, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  kwani alishapona kisukari? Manake kama bado hajapona usiyaamini sana maneno yake! Mrema ni ndumi la kuwili wala hana lolote ashanunuliwa zamani.
   
 6. Nyati

  Nyati JF-Expert Member

  #6
  Jul 29, 2011
  Joined: Mar 6, 2009
  Messages: 2,048
  Likes Received: 384
  Trophy Points: 180
  Kuna mbunge mmoja alisema jana kuwa Mrema na Cheyo ni mawakala wa CCM. Alichimbwa mkwala na J. Mhagama kuwa atamtoa nje mara moja. Ukweli huyu ni wakala full stop
   
 7. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #7
  Jul 29, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,034
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  Hizo ni mbwembwe za mzee wa Kiraracha.
   
 8. FiQ

  FiQ JF-Expert Member

  #8
  Jul 29, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 479
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  aaah naona mnamjadili mgonjwa hapa!
   
 9. MpigaKura

  MpigaKura JF-Expert Member

  #9
  Jul 29, 2011
  Joined: Jan 25, 2007
  Messages: 385
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Duh..
  kwani si aliendaga kwa Babu - Loliondo kwa mbwembwe zote kunywa kikombe? au ile dawa haitibu!!
   
 10. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #10
  Jul 29, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  <br />
  <br />
  Jamani Mrema si alishapata KIKOMBE pale Samunge Loliondo? Anadai yuko njema kiafya.
   
 11. MpigaKura

  MpigaKura JF-Expert Member

  #11
  Jul 29, 2011
  Joined: Jan 25, 2007
  Messages: 385
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Duh..
  kwani si aliendaga kwa Babu - Loliondo kwa mbwembwe zote kunywa kikombe? au ile dawa haitibu!!

  Nakumbuka magazeti yaliuza sana na mojawapo lilikuwa mwananchi... fuata hii link uone Mrema atua Loliondo kuimarisha afya yake
   
 12. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #12
  Jul 29, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Kwa hiyo unamsifia kwa huo ujinga anaoufanya?
   
 13. N

  Ndakilawe JF-Expert Member

  #13
  Jul 29, 2011
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 4,084
  Likes Received: 1,475
  Trophy Points: 280
  Huwa anapenda kujifurahisha kw akulitaja jimbo la lake, japo anajua hawezi saidi chochote jimboni, akirudi anawadanganya,,mlisikia nilivyowarusha hewani...!
   
 14. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #14
  Jul 29, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,527
  Likes Received: 19,947
  Trophy Points: 280
  pole sana kaka...mkipeleka mwanaharakati lazima jimbo lenu litajwe tajwe sana, sasa hivi ngoja kamba liendelee kunywaa chai na vitafunio tu kwana
   
 15. markach

  markach Senior Member

  #15
  Jul 29, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 122
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35


  mrema kama Chacha wangwe hawezi kuchangia bila kuitaja Tarime. R.P.I Chacha wangwe.
   
 16. p

  police Member

  #16
  Aug 3, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
  na wewe t.shs ngapi nikununue sweet
   
 17. COMPLICATOR2011

  COMPLICATOR2011 JF-Expert Member

  #17
  Aug 5, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 255
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 33
  Big up Mremaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
   
Loading...