Wanaongoza nchi hii ni wengine, Mkuu wa kaya ni mtendaji tu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanaongoza nchi hii ni wengine, Mkuu wa kaya ni mtendaji tu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by fazili, Aug 5, 2011.

 1. f

  fazili JF-Expert Member

  #1
  Aug 5, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 1,192
  Likes Received: 404
  Trophy Points: 180
  Kabla ya kujua mengi zaidi kuhusu secret societies na conspiracy theories mbali mbali nilipata ugumu kujua kwanini baadhi ya viongozi wanafanya mambo kinyume kabisa na waliowachagua na wanashindwa kubadilika hata kama kufanya hivyo kunawaangamiza wao wenyewe binafsi.

  Sababu kubwa ni watu wachache wenye nguvu kubwa mara nyingi wanatumia nguvu ya fedha au spying na hata assassination(kuua).

  Ndivyo ilivyo Marekani, Uingereza na nchi nyingine. Marekani Inaongozwa na "corporations" mashirika makubwa na haya ndio yanaamua nani awe rais, na ni wafadhili wakubwa wa kampeni za uchaguzi.

  Wengi wao ni wanachama wa vyama vya Kisiri (secret societies) kama vile Illuminata, Knitts of Malta, Mafia, Scull and bone society, nk.

  Wapo dunia nzima na wana nguvu ambayo huwezi kuamini na ndio wanao tawala dunia nzima, raisi asipokubaliana nao anajiweka kwenye hatari na kupinduliwa ama kufa, Kabila wa Congo, Kennedy wa Marekani, na wengine wengi

  Na hapa kwetu ni hivyo hivyo kwahiyo msishangae kwanini Mkuu wa Kaya hawezi kufanya lolote, kuna mabwana wamemdhibiti anahiataji kuchagua kati ya maji au moto.
   
Loading...