Heko spika makinda kwa hatua makini

Froida

JF-Expert Member
May 25, 2009
8,768
3,232
Tangu jana wenyeviti wa kuendesha Bunge na wewe mwenyeo leo umeonyesha huna mchezo tena wa kuendekeza miongozo,nimelishuhudia ukimzima Ole Sendeka alipotaka MB.Silinde afute kauli yake kwamba kuna wabunge wa CCM wanaitwa na CC yao na kupewa vitisho,Ukiendelea namna hii sasa bunge lako litaheshimiwa

My.Take ,Jamani JF members na wananchhi wengine tuendelee kukemea maovu kumbe kuna wakati inaweza kutengeneza impact
 
threads nyingine ziwe zinaandikwa kwa chaki na zipewe mda maalum lets say 2 min halafu ziwe deleted
 
threads nyingine ziwe zinaandikwa kwa chaki na zipewe mda maalum lets say 2 min halafu ziwe deleted
Ha ha ha jamani kweli kawatibua nyongo huyu Mama Spika ,haya bwana ngoja tumpe muda isije ikawa tunamsifia mgema tembo akalitia maji
 
Hivi hujui Speaker ni M cc yaani mjumbe wa kamat kuu na NEC???sasa Silinde angeambiwa athibitishe na nnavyomjua angewataja wajumbe hao si ingekuwa soo!!!! Hapo bi kiroboto kacheza kama Pele
 
Haktna gamba la dhahabu,gamba ni gamba tu.mtoa thread hujatazama vzr.sidhan km ulitafakari kwanza
 
Anajua nini kitafuata hapo baadae ndio maana anajaribu kujifanya hapendelei.
 
Hivi hujui Speaker ni M cc yaani mjumbe wa kamat kuu na NEC???sasa Silinde angeambiwa athibitishe na nnavyomjua angewataja wajumbe hao si ingekuwa soo!!!! Hapo bi kiroboto kacheza kama Pele
kweli mkuu amefunika kombe mwanaharamu apite maana silinde angelipuka
 
Makinda inawezekana kapoa baada ya wajanja kumpenyezea asome makala tuliyoijadili jana.

Makala yenyewe hii hapa:

www.freemedia.co.tz/daima/habari.php?id=33203
 
nilivyomuelewa mimi Juventus yule aliamua kumpotezea Ole Sendeka labda aligundua kuwa ndani ya kauli ya Mheshimiwa Silinde kuna ukweli uliopo.

So kwa kufanya vile anakuwa kalielekeza Baharini bomu lililokuwa lilipulikie mjini.

Ila asituone tumecheka, moyoni tumemuweka.
 
Tangu jana wenyeviti wa kuendesha Bunge na wewe mwenyeo leo umeonyesha huna mchezo tena wa kuendekeza miongozo,nimelishuhudia ukimzima Ole Sendeka alipotaka MB.Silinde afute kauli yake kwamba kuna wabunge wa CCM wanaitwa na CC yao na kupewa vitisho,Ukiendelea namna hii sasa bunge lako litaheshimiwa

My.Take ,Jamani JF members na wananchhi wengine tuendelee kukemea maovu kumbe kuna wakati inaweza kutengeneza impact

How pathetic....
 
Back
Top Bottom