Juzi jumamosi nikitoka kibaruani nilimpita mtaa wa Jamhuri kama uanaelekea NBC Mnazi mmoja kuna muuza vitabu mtumba ,kama kawaida nilipause niangalie kama naweza kupata chochote. Hamadi...
Kuna tetesi kua Viongozi waandamizi wa Serikali wanachangia kuhujumu Reli kwa kupeleka Bajeti kubwa kwenye ujenzi wa barabara ili kwao iwe rahisi kwa magari yao kuweza kusafirisha abiria na...
Kitendawili- tega.
UDA imekutwa na ufisadi mkubwa uliowahusisha vigogo wa CCM akiwepo Simba, Masaburi, mtenvu and Azan. Wako ambao hawajajitokeza kwenye magazeti ambao uchunguzi unaweza...
Huyu wabunge wenzie wanasema is the most arrogant MP in the house. Anamfanyia fitna Ngeleja kwa kusubiri akalie kiti na mimi naona huyu naye inabidi naye aondoke kama wakati lile fagio la chuma...
Jamani kama kuna mambo yanakera katika Mamlaka hii ni upendeleo katika kupata ajira. Yaani ili upate ajira lazima ujuane na wakubwa. Hakuna haki hata kidogo. Nitawaletea vielelezo vya jinsi watu...
Rais Kikwete na serikali yake walipandisha bei ya mafuta ya Taa kwa kisingizio cha kuzuia uchakachuaji. Mwenyekiti Kikwete wa CCM, wamesema bei ya mafuta ishushwe! Jamani mbona sielewi, utendaji...
Inasemekana kuwa Synovate Wamechakachua Kura za maoni walizotoa Juzi kuwa Dr.Slaa anaongoza, Source ya Mtu anayefanyakazi katika Shirika hilo alisema kuwa Kikwete pia alishindanishwa katika maoni...
Napata uchungu sana napoona serikali yetu ilivyo dhaifu, kiasi hata inashindwa kusimamia maagizo yake.
Serikali ilitoa agizo la kushushwa kwa bei ya mafuta. Tena agizo likasisitiza kuwa...
Kwa kawaida kwenye maisha hata uendeshaji wa nchi kuna siri kubwa lakini kwa hili la sasa hakuna tena usiri bali ni ukweli kuwa rais wa Jamhuri ya Muungano Mh Jakaya Mrisho Kikwete ambaye pia ni...
Hivi kuna nchi yoyote duniani imepata maendeleo kutokana na misaada inayoletwa na tunaowaita wahisani? Au ndo inatuongezea umaskini?Mi najua maendeleo tunajiletea wenyewe! China, Marekani...
Dear President Kikwete,
Just Because....
that you have failed us over and over again that you have not worked hard to fight corruption that you seem to not remember any of your promises that you...
KUTOKANA na hali ya kisiasa nchini ilivyo sasa pamoja na mjadala wa Bunge kupamba moto huku baadhi ya wabunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wakitimuliwa ndani ya Bunge kwa madai...
Nilihudhuria kikao cha halimashauri(w) ya Geita (ful counc.) mwezi uliopita, meza kuu ilikuwa imekaliwa na viongozi wa serikali na viongozi wa CCM. Kwa kweli mfumo huu ulinikumbusha enzi za...
NAIPONGEZA serikali ya chama cha mapinduzi (CCM) kwa kuizawadia hoteli ya Kempinsky zawadi ya eneo la mahakama.
Ninaamini serikali yetu ipo kwenye mji usiostahili kuwepo, na kutokana na hili...
This is the trend of the number of parliamentary seats obtained by CCM in 1995-2010 elections. The data analyzed is from African Elections Database. It looks like CCM votes have remained constant...