Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tanzania ni nchi nzuri sana 1. yawakaribisha wageni wachukue wanyama hai wakajifugie 2.ina wananchi mazoba wapole na mazezeta 3. ina vijana wanaopenda fiesta badala ya kufikiri kwa makini...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Leo bungeni kuna mbungemmoja toka Zanzibar sifahamu kama ni wa CCM au CUF..Bada ya kumaliza kuchangiabajeti ya wizara ya Afrika Mashariki akamalizia kwa kusema...anaungana na Shibudakwamba wabunge...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Kwa maisha tuliyonayo sasa ni vigumu kujitenga na siasa. Kwa maana hiyo basi nimeonelea niingie kwenye siasa kikamilifu. Nataka kuanzisha chama cha siasa. Swali ninalojiuliza je ni chama cha...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau, katika utawala wa Nyerere fedha zilizokuwa kwenye mzunguko nchini zilikuwa backed up na GOLD RESERVE pale benki kuu. Hii ilimanisha kuwa kama kwenye mzunguko kulikuwa na trioni 10 basi...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Mbunge wa viti maalum CUF-Urambo, Magdalena Sakaya ameeleza jinsi polisi,askari wa wanyamapoli na maliasili walivyochoma nyumba za wakazi wa Urambo, walivyopiga risasi na kuuwa wananchi 23 wa...
2 Reactions
43 Replies
5K Views
Wana Jf Taarifa zilizonifikia sasahivi Vyama vya CCM na CDM vimemaliza zoezi la Upigaji kura za Maoni ktk jimbo la Igunga. Matokeo na watu walioshinda kura za Maoni ni Mratibu wa Elimu wilaya...
0 Reactions
117 Replies
14K Views
Wakuu, Ni kipindi sasa tumekuwa tukifuatilia muelekeo wa uchaguzi kule igunga baada ya GAMBA kuu kuvuka na tayari jana vyama vikubwa vya siasa vimefanya kura zake za maoni... Cha kufurahisha...
1 Reactions
51 Replies
5K Views
Leo Magufuli amewasilisha bajeti ya wizara yake, naomba mwenye kopi yake aiweke hapa tuichambue.
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Serikali imeongeza kodi kwenye bidhaa ya mafuta ya taaa,kwakuwa ndio yanayotumika kuchakachulia mafuta...... Hayo yalisemwa jana bungeni........mheshimiwa CHENGE aliunga mkono hoja hiyo...
0 Reactions
77 Replies
6K Views
Wana JF Nimekuwa nikisoma mawazo ya watu hapa jamvini, nikisikiliza maoni ya watu mtaani, ofisini, kwenye vijiwe, kwenye vyombo vya habari na hata kwenye vyombo vya usafiri. Kwenye maoni na...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Jamani nifuatilia kwa makini na kuona spika asipokuwa makini wabunge hawajadili tena bajeti kama kamati. Kwa nini! Dhana ya bunge kama kamati ni kupitia kifungu kimoja hadi kingine kuangalia...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Kila mtu yuko kimya na hiki ndicho kipindi cha kupata maneno na maoni ya malenga wetu juu ya hali ya kisiasa tnzania. Itakuwa si vibaya kila tukapata walau beto moja inayo reflect hali halisi...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Mheshimiwa JK, Mnamo mwezi June, 2010 pale Dodoma wakati kikao cha bajeti kikiendelea, ulitutangazia watanzania nia njema ya serikali yako ya kunusuru ulichoita hasara waliyopata wafanyabiashara...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Naanza kwa kukuomba Mkuu INVISIBLE kama inawezekana Thread hii ibaki nje ya ule mjadala tumulike vema macho hapa wadau. Kama walivyofanya katika Bajeti na kama kawaida yao kutuhadaa kwa Umeme wa...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
GreatThinkers, Viongozi wasiojali maslahi ya wanaowaongoza ndio waliosabobisha migawanyiko na matokeo yake kufikia huko na kuzaa makundi yote hapo chini. Nimefuatilia kwa makini kwa nini...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
KWa mara nyingine, Leo tarehe 19 August, 2011, John Shibuda ameamua kuitukana tena CHADEMA. Anaiita chama masilahi, na uongozi wake ni wa kidikteta. Nauliza, CHADEMA wanamuogopea nini hata...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Sita kanikuna jinsi alivyomjibu mbunge Mmoja kutoka Zanzibar kuhusu ushiriki wa Zanzibar kwenye masuala ya A/mashariki. Kasema hivi:- Mikataba ya kimataifa inaingiwa kati ya Taifa na Taifa na si...
0 Reactions
0 Replies
985 Views
Nimeongea na ndugu jamaa na marafiki zangu wanasema ni hali ya kusikitisha iliyoko katika jiji la Mwanza na siku ya Tano kama sio wiki sasa hawajauona umeme, maisha yanazidi kuwa magumu waliokuwa...
1 Reactions
43 Replies
3K Views
Je kuna kiongozi Tanzania ambaye si mla rushwa!!! na kama yupo ni kwanini asisimame mbele ya wananchi na kusema anasikitishwa na wenzake wala rushwa!!. Ubinafsi wa Tanzania umefikia kiwango cha...
0 Reactions
0 Replies
896 Views
Nakumbuka waziri wa nishati na madin Mh. William Ngeleja siku alipokuwa akiwasilisha bajeti yake kwa mara ya pili alitamka kuwa "unafuu wa umeme unao onekana kwa sasa nchini unatokana na kuanza...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…