Tanzania...Tanzania...! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania...Tanzania...!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mkibunga, Aug 20, 2011.

 1. mkibunga

  mkibunga Senior Member

  #1
  Aug 20, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 196
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tanzania ni nchi nzuri sana
  1. yawakaribisha wageni wachukue wanyama hai wakajifugie
  2.ina wananchi mazoba wapole na mazezeta
  3. ina vijana wanaopenda fiesta badala ya kufikiri kwa makini wanatumia masaburi
  4.umeme upo hauwashwi
  5.mafuta yapo hayauzwi
  6. viongozi wezi wapo hawakamatwi
  7.rais mzembe na serikali legelege haijiuzulu lakini wanashangilia
  8.mahakama imeuzwa kujenga hotel yote sawa tu kwa watanzania
  9. ndege ya jeshi ya nchi nyingine inatua nchini na kuchukua wanyama rada ya chenge haiinasi na usalama wa taifa wapo
  kweli jina lako ni tamu sana wageni wanakutamani ungekuwa mwanamke kila nchi ingekupigania ikuoe ili ukazae wananchi wapole na wajinga kama sisi ili dunia yote iwe ya amani,

  KUBWA ZAIDI JANA WAZIRI AMETANGAZA RASMI WATOTO WA WALALAHOI WATASOMEA UALIMU,UGANGA,UCHIMBA BARABARA TU NI MARUFUKU KUFIKA TRA, UCHUMI, NA KAZI NYINGINE ZA MAANA
   
Loading...