CHADEMA 'imelidanganya Bunge'

mzee wa mawe

Senior Member
Aug 2, 2011
151
15
KAMPUNI ya Export Trading, imesema kambi ya upinzani Bungeni, imelidanganya Bunge kuwa inamilikiwa na mshitakiwa wa wizi wa mabilioni ya fedha kwenye Akaunti ya madeni ya Nje (EPA), Jeetu Patel. pia kampuni hiyo ya upinzani, inayoongozwa na wabunge wa chadema, kwa spika wa Bunge, Anne Makinda, ili awachukulie hatua zinazostahili.

"Jeetu patel hahusiki kwa namna yoyote na kampuni hii. kampuni imeshtushwa na taarifa hiyo kutolewa mbele ya moja ya mihimili ya utawala wa nchi yetu bila kuchunguza ukweli" alisema jana Balozi Ramia Abdiwawa, kwa niaba ya mkurugenzi mtendaji wa kampuni hiyo.

Kauli ilikuja baada ya Mdee, kushutumu kitendo cha serikali kuwanyang'anya ardhi wakulima wadogo sehemu mbalimbali nchini na kuwamilikisha vigogo, ikiwamo kampuni hiyo ambayo alidai inamilikiwa na Jeetu Patel.

Soma MWANANCHI
 
Ni kama ambavyo Rostam Azziz anavyomiliki makampuni zaidi ya kumi
lakini hakuna jina lake kwenye kampuni hizo, ndivyo ilivyo kwa Jeetu Patel
kuwa mmiliki kwenye kampuni hiyo bila kuwemo jina lake.

Kwani unafikiri janja yao haijulikani? Sidhani kama Chadema watakuwa
wamekurupuka kwa vyovyote wana evidence.

Wapeleke kesi mahakamani, kama wanadhani wameonewa...
 
Ulitegemea wakubali kuwa ni kweli wanamilikiwa ha huyo bwana? Kweli tz bado elimu ya watu wazima inahitajika!
 
Tanzania ni nchi ambayo, serikali imekubali kuungana na wezi kwa kutumia sheria zilizopo kutuibia wananchi, Mungu mkuu siku moja nchi itarudi mikononi mwa watanzania.

Kuna makampuni mengi yanamilikiwa na vigogo serikalini lakini majina yao Brela hakuna, ila kwenye usajili wa wananchi tunawajua mjina hayo yanajulikana, hii ni kazi ambayo serikali ya ccm inafanya, kama ilivyo kwa kagoda, yakuwa fedha hizo zilitumika kuingiza serikali mwaka 2005, lakini mmiliki wake siyo ccm,ila fedha zilitumiwa na ccm, Mungu ibariki Tanzania.

AMEN
 
waziri mkuu analidangaanya taifa sembuse chadema?
huko ni kamba tu.
anatakiwa apinge jeetu mwenyewe.
 
Ni kama ambavyo Rostam Azziz anavyomiliki makampuni zaidi ya kumi
lakini hakuna jina lake kwenye kampuni hizo, ndivyo ilivyo kwa Jeetu Patel
kuwa mmiliki kwenye kampuni hiyo bila kuwemo jina lake.
Kwani unafikiri janja yao haijulikani? Sidhani kama Chadema watakuwa
wamekurupuka kwa vyovyote wana evidence. Wapeleke kesi mahakamani
kama wanadhani wameonewa...

Au Riz1 anavyomiliki mali kwa kutumia migingo ya watu kama ASAAS wa Iringa
 
KAMPUNI ya Export Trading, imesema kambi ya upinzani Bungeni, imelidanganya Bunge kuwa inamilikiwa na mshitakiwa wa wizi wa mabilioni ya fedha kwenye Akaunti ya madeni ya Nje (EPA), Jeetu Patel. pia kampuni hiyo ya upinzani, inayoongozwa na wabunge wa chadema, kwa spika wa Bunge, Anne Makinda, ili awachukulie hatua zinazostahili.

"Jeetu patel hahusiki kwa namna yoyote na kampuni hii. kampuni imeshtushwa na taarifa hiyo kutolewa mbele ya moja ya mihimili ya utawala wa nchi yetu bila kuchunguza ukweli" alisema jana Balozi Ramia Abdiwawa, kwa niaba ya mkurugenzi mtendaji wa kampuni hiyo.

Kauli ilikuja baada ya Mdee, kushutumu kitendo cha serikali kuwanyang'anya ardhi wakulima wadogo sehemu mbalimbali nchini na kuwamilikisha vigogo, ikiwamo kampuni hiyo ambayo alidai inamilikiwa na Jeetu Patel.

Soma MWANANCHI

Hapo kwenye bold ya blue inonyesha jinsi gani mhusika hataki kushirikisha akili kufikiri na kazi ya kufikiri ameyaachia masaburi.
 
Jamani jamani, chondechonde masiwaamshe Watanzania masikini jeuri, wamewavumilia cha kutosha,kwa miaka mingi tu, lakini ni lazima mfahamu kuwa Nchi ni ya wananchi wenyewe, na wala si Serikali, Rais au Jeshi. Siku wananchi watakapo amua, tusijeanza sema ni uaafrika na uhindi, Please!!!!
 
na bado hapo kila kitu mafisadi wanajifanya kuvificha na jamaa wanavitoa lazima hapa mpone tu..

kingine mapinduzi ya cdm yanawakosesha raha watu kibao na kuja kujisajili kwenye forum wakizani kuwa ni mali ya cdm..

poleni sana mnaokuja kudisi humu mapinduzi ya cdm na bado lazima kieleweke..
 
Hivi ni kweli CDM ni kampuni? mimi siku zote najua ni NGO
Basi ni dhahiri kwamba Chama chenu na serikali inayoiongoza ni wa Hovyohovyo kama wanaweza kunyimwa usingizi na kupelekwa puta na NGO. Au ndio maana hata kampuni ya mafuta inaweza kuipa amri serikali ya saa 24 kutekeleza jambo na serikali ikagwaya? Kama usemavyo kuwa CDM ni NGO ni kweli, basi CCM na serikali yake itakuwa ni genge la wahuni. Na hicho kitakuwa kilio kwa waTZ
 
100% ni kwamba anamiliki. Wasi2one 2kiwa kimya siku mioyo iki2chafuka cjui hawa mapapa wataingia wapi.
 
Ulitegemea wakubali kuwa ni kweli wanamilikiwa ha huyo bwana? Kweli tz bado elimu ya watu wazima inahitajika!

Kumbe nawe umeona hilo.
Kama tukitaka kujua hayo yote tuiambie serikali ukweli wa wamiliki na hisa zao na kama hawapo huko tunaitaifisha kwamaana gani tunakukagua uwezo wako wa kuianzisha kampuni yako then utupe majibu kama ni kona kona tunakumalizia hapo hapo.
 
KAMPUNI ya Export Trading, imesema kambi ya upinzani Bungeni, imelidanganya Bunge kuwa inamilikiwa na mshitakiwa wa wizi wa mabilioni ya fedha kwenye Akaunti ya madeni ya Nje (EPA), Jeetu Patel. pia kampuni hiyo ya upinzani, inayoongozwa na wabunge wa chadema, kwa spika wa Bunge, Anne Makinda, ili awachukulie hatua zinazostahili.

"Jeetu patel hahusiki kwa namna yoyote na kampuni hii. kampuni imeshtushwa na taarifa hiyo kutolewa mbele ya moja ya mihimili ya utawala wa nchi yetu bila kuchunguza ukweli" alisema jana Balozi Ramia Abdiwawa, kwa niaba ya mkurugenzi mtendaji wa kampuni hiyo.

Kauli ilikuja baada ya Mdee, kushutumu kitendo cha serikali kuwanyang'anya ardhi wakulima wadogo sehemu mbalimbali nchini na kuwamilikisha vigogo, ikiwamo kampuni hiyo ambayo alidai inamilikiwa na Jeetu Patel.

Soma MWANANCHI

Sijaelewa hapo kwenye red!
 
&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;<br />
Chadema ni Kampuni ya Kichaga CEO wake ni Gavana Mstafu Edwin Mtei!
<br />
<br />
Kampuni hiyo ya Kichaga ina miliki gazeti pia la Tanzania Daima! Mtei alishamwachie cheo cha CEO jamaa mmoja kaoa mtoto wake anaitwa Freeman Elikaeli Mbowe!
 
choche chonde wana JF HAKUNA KAMPUNI YA UPINZANI INAYOONGOZWA NA WABUNGE WA CHACHEMA hvy tusipoteze muda.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom