Ombi la mkuu ni agizo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ombi la mkuu ni agizo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by chiefthinker, Aug 24, 2011.

 1. c

  chiefthinker Member

  #1
  Aug 24, 2011
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 30
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Sio tuu kama nimesikitishwa na maamuzi ya serikali kuhusu tuhuma zlizokuwa zikimkabili katibu mkuu wa wizara ya nishati na madini bwana David Jairo kuhusu kuzitaka secta na makampuni yote yaliyo chini ya wizara yake kutoa kiasi cha tsh million 50 ili kufanikisha bajeti yake kupitishwa bungeni.Lakini kilicho niacha hoi zaidi ni kaoli ya uchunguzi wa hiyo hiyo serikali inaonyesha kuwa hakutenda kosa kwani hakuagiza bali aliomba,sasa hapa tujiulize baba akiomba ukamnunulie vocha utasema eti kwa sababu ameomba basi unaweza kukataa,,hii si sawa na haiwezekani kabisa.Jairo aliagiza bwana yeye si ndiye boss.
   
Loading...