Serikali ya JK, Ukichafuka na grisi (Ukiiba) unasafishwa na maji ya chumvi, ha!!

Ikwanja

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2011
Messages
2,083
Points
1,500

Ikwanja

JF-Expert Member
Joined Jul 12, 2011
2,083 1,500
Wana JF heshima kwenu!

Kwa jinsi serikali ya JK na ya wana CCM wenziwe inavyofanya mambo, kwa kweli inasikitisha sana, inatia hasira , inatia simanzi. Uswahiba unaimaliza nchi yetu. Hivi ikifika 2015 tutakuwa na chochote hazina kweli? Nchi siitakuwa ni kama jangwa, we need to say enough is enough!

Issue ya Jairo kwa mfano ni mbichi kabisa na kwa uelewa wa sasa hata watoto wadogo sana wanaielewa na kwa hali ya kwaida hukumu ilikuwa ni obvious kuwa Jairo hana kazi sasa kwa uchafu alionao ambao mbao ni sawa na uchafu wa grisi (grease) unasafishwa na maji tupu, yaani bila sabuni , hii ina sikikitisha sana

Hivi kumbe Tanzania ni kuwa; Mfano ukituhumiwa kuwa umeiba shilling 5,000,000/- na katika uchunguzi ikaonekana kiasi cha pesa halisi kilichopotea ni mfano Tsh 3,550,000/-, unakuwa huna kesi!! Naomba wanasheria mnisaidie maana naona sasa hii precedent itatumika katika tuhuma nyingi sana. CAG na usomi wote ule hajui kuwa sabuni tuu ingeweza kutoa huo uchafu, anatumia maji tupu kuondo grease? Nani atatunusuru sasa! CDM na wote wenye mapenzi meme let us do something please. I have no confidence with the CAG. Yaani CAG anatuambia ToR ya audit ile ilikuwa ni hansard, kazi hiyo mbona hata mtu wa kawaida tu angeweza kifanya na kumkuta jairo na hatia kumbwa. What a fake, childish precedent is this?

Nasema haya kwa sababu tuliona JK akimnadi Mramba , Lowasa, Rostam Chenge na wengine kumbe ni precedent kama hii. Nakumbuka kwa mramba Chiligati alisema zile ni tuhuma tu kwani anaweza kushinda kesi, kwa hiyo kwa issu ya mramba, hakuna kesi, pia angalia jinsi issue ya change na rada inavyochezwa, mara jarada lipo takukuru, mara ooho tayari lipo kwa DPP, mara naye DPP ooho bado jarada halijafika, nesema hivi, watanzania let us say enough is enough!! Aagh!!

Pendekezo langu!!
Kwakuwa muhimili wa utawala umeudhalilisha muhimili wa wananchi na
Kwa kuwa issue hii ilianzishwa na Sherukindo na kwa kuwa ilikuwa ni session ya Bunge, naomba leo WABUNGE WA CDM wasimame na waombe mwongozo wa kutokuwa na imani na Pinda na serikali yake ya ccm, kwa kuwa kanuni inataka mwongozo uwe kwa maandishi basi naomba hadi Ijumaa wawe wamefanya hivyo.

Nasema haya kwa sababu bunge limedhalilishwa mno, linataka kuonekana kuwa ni sehemu ya kutunga uongo! Naomba wote kwa hili waseme NO! Wasaliti tutawajua.

Pinda must resign!, Pinda must resign! Pinda must resign! Pinda must resign! Pinda must resign! Pinda must resign! Pinda must resign! Pinda must resign! Pinda must resign! Pinda must resign! Pinda must resign! Pinda must resign! Pinda must resign!

Wana JF nisiwachoshe, naomba michango yenu!
 

olele

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2010
Messages
960
Points
1,000

olele

JF-Expert Member
Joined Dec 2, 2010
960 1,000
niliwahi kusema kuwa wasomi wasipochukua hatua basi wasiosoma watachukua, na ole asiye soma akichukua hatua. uliza ya Uganda na Idd Amin nafikiri tunamuhitaji Idd Amin wetu.
 

Ikwanja

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2011
Messages
2,083
Points
1,500

Ikwanja

JF-Expert Member
Joined Jul 12, 2011
2,083 1,500
niliwahi kusema kuwa wasomi wasipochukua hatua basi wasiosoma watachukua, na ole asiye soma akichukua hatua. uliza ya Uganda na Idd Amin nafikiri tunamuhitaji Idd Amin wetu.
CAG, ndo nakotupeleka huko, kuwa wasio soma wachukue hatua
 

Jethro

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2009
Messages
2,223
Points
1,225

Jethro

JF-Expert Member
Joined Mar 23, 2009
2,223 1,225
Wana JF,

I have completely lost confidence with CAG,

Kwanini kila hawa wakubwa wakikutwa na matukio wao huibuka ni wa safi siku zote kuna mambo mengine wala haya itaji uwe una Phd hata kwa naked eye you can seee.

Tatizo kubwa ni serikali yetu ilisha poteza imani kwa wananchi wake esp hawa viongozi tulio wapa dhamana wakiwa hadharani wananchi twawaona ni maadui wetu wanatuibia kila kukicha na hawana uzalendo kila mara wao ni kulindana tu. hivi huu utaratibu wa kuombana pesa kwa ajili ya kuandaaa budget ulianza anzaje huko nyuma ulikuwepo? Huu mfumo ni wa wapi? Huo mfumo ni dariri tosha ya mwanaya wa rushwa sasa simwelewi CAG na elimu yake hakuona hilo kuwa huo sio mfuo sahihi ni unatengeneza mianya yote ya rushwa te kubwa kwenye hizo wizara,

My Take:

CAG must Goooooooo,Luhanjo must Gooooo, Jeiro must Gooooo, Ngelleja & Malima must Goooo tooo!
Serikali inatudanganya 100% inataka kutuambia hakuna taasisi ya kusimamia na kuliangalia hili upya kwani liko kimazingira ya rusha kabisa.

Issue ya Jeiro was big Call wana JF ilikuwa inawabeba wengi sana nje ya office zao, CAG hana nguvu yeyote anatudangaya tuuu, CAG ni wa serikali anaenda kuikagua Serikali kwa issue kubwa kama hiyo matokeo yake yatakuwa very simple na atakuwa amechangia ku resolve hiyo issue ama kweli wasomi wa nchi hii watatupeleka kubaya pia no uzalendo
 

Forum statistics

Threads 1,356,364
Members 518,895
Posts 33,131,090
Top