Nani Apigiwe Kura ya Kutokuwa na Imani: Bunge au Serikali? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani Apigiwe Kura ya Kutokuwa na Imani: Bunge au Serikali?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by The Mockingjay, Aug 24, 2011.

 1. The Mockingjay

  The Mockingjay JF-Expert Member

  #1
  Aug 24, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 380
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mi naona kweli kama ni kupiga kura ya kutokuwa na imani tuanze na bunge letu tukufu lenyewe.

  Bunge ndilo linalopitisha bajeti, kwa hiyo kama uchumi umedorora ni bunge la kulaumu.

  Secondly, it just doesn't make any sense kwanini wizara mbili zilizopigwa vita sana zimeishiwa kuongezewa kwenye bajeti zao?
  Je, ilikuwa ni danganya toto wajidai kuwapinga kina Nundu na Ngeleja alafu wapitishe bajeti iliyoongezwa?

  Sina imani na wana siasa PERIOD!

  Hii inchi inaendwesha kisiasa ndio maana tupo hapa tulipo.

  Ndio maana wameitwa the comedy.
   
Loading...