Ikulu imetowa kitandawili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ikulu imetowa kitandawili

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Sonara, Aug 24, 2011.

 1. Sonara

  Sonara JF-Expert Member

  #1
  Aug 24, 2011
  Joined: Oct 2, 2008
  Messages: 730
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Katika tarifa zilizopo nchi Rais atakuwapo pemba siku mbili kwa safari za kiserekali ,baada ya kufika pemba nimeona katika vyombo vyote na magazeti hapa nchini yanamuonesha wanasalimiana na wale wazee wenye maumbile yaliyo (Dumaa) nakuzifanya akili za watu ziwe katika magumzo yake na watu wale, lakini basi kubwa hapa ninalotaka kuliandika ni hili la ikulu kumruhusu Jairo kurudi kazini litakuwa ndio lililomsababisha rais kuvumbua safari ya kwenda pemba huku ikulu ikisikilizia upepo wa Jairo utavuma vipi kwa wananchi ya viongozi na ndio maana rais akapangiwa akutane na wale walemavu ili kuzima zogo pale atakaposafishwa jairo na kutangaziwa uma.

  Jee hivi ni kweli kuwa akili za watanzania zipo average kama zinavyozungumzwa na mataifa mengine ?
   
Loading...