Tanzania Bara kuwa na Uongozi wa Mseto kabla ya 2015? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania Bara kuwa na Uongozi wa Mseto kabla ya 2015?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mmaroroi, Aug 24, 2011.

 1. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #1
  Aug 24, 2011
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kuna uwezekano wa Tanzania bara kuwa na Uongozi wa Mseto kama wa Tanzania Visiwani kabla ya 2015?Swali hili nawauliza wanaJF kwa kuwa leo nimeshuhudia Wabunge wote wakiunga mkono hoja ya Zitto kuhusu Jairo.

  Sasa kwa muendelezo huu na Serikali inavyozidi kuvurunda si kuna uwezekano wa kupigwa kura ya kutokuwa na imani na Serikali na hivyo uchaguzi kufanyika kabla ya 2015?

  Naomba mchango wenu.
   
Loading...