Gamba Halivuki

dizbap

Senior Member
Joined
Nov 25, 2009
Messages
156
Points
195

dizbap

Senior Member
Joined Nov 25, 2009
156 195
Hii ndio Tanzania yetu wana JF! Ujue jana sikuamini nilichokisikia kwa Radio eti Jailo HANA hatia na anarudishwa KAZINI leo hii. Hivi after that report waandishi waliruhusiwa Uliza maswali? Ujue mimi inawezekana nina uwelewa mdogo sana, Kuna sehemu nilisikia kwamba hela zilizokuwa zimekusanywa ni 500M na sio 1Billion na kwamba walizikuta hizo hela kwa account ya Idara flani kama alivyokuwa amesema yule mbunge alie fichua siri. Hebu ni fafanulieni Hapo. Maana sijaelewa kabisaaaa. Ina maana kuchangisha alichangisha kweli au? Na kama alichangisha inamaana ni ruhusa kufanya hivyo? Please wana JF nisaidieni. ile clip ya press conf. pale IKULU ianapatikana Youtube? kama mtu anajua ilipo naomba anisaidie nataka nijaribu sikiliza yote na ikiwezekana ni download ni Burn niweke kwa DVD for future USE. Kweli Gamba GUMU sana.
 

Forum statistics

Threads 1,356,538
Members 518,911
Posts 33,132,884
Top