Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

YAMEKUWA HAYO?!! Mipasho hadi Bungeni jamani?..Mh Chombo Vs Tundu Lissu!
1 Reactions
161 Replies
15K Views
Alinistua sana! Nasema Alinistua sana! Eti akiwa Jaji Mkuu, Mh. Augustino Ramadhani alipewa maagizo ya kutoa hukumu na "Wakubwa" ili iende kwa jinsi wanavyotaka wao ni kwa kuzingatia Weledi wa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jana ITV nimesikiliza mdahalo uliokuwa ukiilenga Tanzania katika miaka 50 ijayo mmoja wa wageni waaliikwa alikuwa waziri mkuu wa zamani ndg Cleopa Msuya. Katika moja ya hoja zake ilionekana ni...
13 Reactions
65 Replies
8K Views
Jana nilishangaa sana kwa wabunge wa CUF na CCM wakimshambulia Tundu Lisu kwa matusi na kejeli nyingi. Naomba watanzania wote tuungane tu jadili kwa kina swala hili na sio kukurupuka tu na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni kawaida kwa mtoto kujifunza kutoka kwa mkubwa wake (imitation) au kwa kuiga kutoka kwa yule ampendaye (modelling)... Hv kwa hawa wanasiasa wetu tunajifunza nini...! Kwa mfano: Inashangaza...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mh. Pinda ameulizwa swali la msingi kabisa kutoka kwa Mh. Mbowe leo hii katika kipindi cha maswali na majibu, je ? uoni kuwa tume ya bunge itakayoundwa itashindwa kufanya kazi kwa sababu Jairo...
0 Reactions
54 Replies
6K Views
Naomba MODs neno "General Politics" mlibadirishe liitwe Duru za Siasa. Nina sababu 1. Lugha yetu nzuri ya kiswahili 2. Mijadala "Threads" nyingi zinajadiliwa kiswahili hata kama msisitizo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa jinsi ilivyo inaonesha wazi kwamba serikali kwa kushirikiana na TANESCO wamekuwa wakiuhadaa umma kuhusiana na suala zima la upatikanaji wa umeme. Mbaya zaidi, hivi sasa hadaa hizi zinafanywa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kiukweli kwa uhalisia wa wananchi wa uganda wanaona Bongo ni bonge la nchi lenye maendeleo. Jaman hivi ni kweli kuna mabadiliko yanayokufanya usifie tangu Kikwete adake nchi? Tuondoe shida za...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wadau nashangazwa na kusikitishwa sana na ukimya wa watanzania juu ya ukimya wetu, tulipiga kelele eeeehhhh kuhusu DOWANS lakini mwisho wa siku wamelipwa, watu wakafanya maandamano ila wamelipwa...
2 Reactions
35 Replies
3K Views
Tundu Lissu alikuja na mkakati mzito wa kumshataki Spika Anne Makinda kwenye Kamati ya Maadili kwa kitendo chake cha kumzuia asijibiwe swali alilomuuliza Waziri Mkuu kuhusu mauaji a Nyamongo...
1 Reactions
34 Replies
4K Views
Ilikuondoa uozo Serikalini uarakishe maandalizi ya katiba mpya na uitishe uchaguzi kabla ya 2015 na unaweza kugombea tena kwa kuwa TZ inazaliwa upya.Hii itakusaidia kujitenga na wanafiki katika...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Huyu jamaa kwa ukali anaoendelea nao ndani ya bunge, kwa kitendo cha kupinga sera na itikadi za ccm, na kutetea maslahi ya wananchi wa Nzega, hatadumu. Nawaambieni 2015 watamfanya walichomfanya...
0 Reactions
60 Replies
7K Views
Wadau nimefarijika sana na habari kuwa bwana JK amemsimamisha kazi rafiki yake Jairo kwanini na Ngeleja asimfuate?kitendo cha yeye kwenda kumpokea na kumkumbatia ni kulidhalilisha bunge, waziri...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Ndugu zangu leo naungama hali ya kuwa nimefunga ramadhani ya 25, huu ninaosema ni ukweli mtupu mimi ni kijana wa miaka 22 najua mtashangazwa vp niliisaidia CCM kwenye uchaguzi wa 2005...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Kwa wale wadau wanaofutilia mchakato wa katiba mpya, leo Deus Kibamba amezindua kitabu cha mwongozo wa katiba kwa raia pale habari maelezo. Nakala zinapatikana bure kutoka policy forum pamoja na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mheshimiwa Tundu Lissu umetetea kwa nguvu kubwa bungeni kuhusu jengo la Mahakama kuu ya nchi. Hata hivyo inaelekea hukusikilizwa na upo uwezekano Tanzania kama Taifa huru tukajengewa jengo la...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Niliwaona wafanyakazi wa Wizara ya Nishati Madini wakisukuma Gari ya Jairo na kuimba kama wako kwenye harusi wakati ni muda wa kazi.Kwanini wasisimamishwe au kukatwa mishahara yao kwa kugeuza...
0 Reactions
0 Replies
996 Views
Naangalia tv hapa ni kichekesho.Wanaonekana baadhi ya wanakijiji wa Shela Urambo wakidai kwamba hakuna nyumba iliyochomwa moto kama Mh.Magdalene Sakaya mbunge viti maalumu Urambo-CUF alivyoelezea...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba kwa yeyote mwenye kopi ya 'filamu ya mapanki' ijulikanayo kama DARWINS NIGHTMARE anipatie na mimi nitoe kopi ili niiangalie, sijawahi kuiona....!
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…