Wanyama kusafirisha nje ya nchi kinyemela
Bajeti za wizara 3 kukataliwa bungeni
Kuchangisha taasisi zilizo chini ya wizara ili bajeti ipite
Ukosefu wa umeme nchi nzima
Garama za maisha kuwa...
Hamjambo hapa jukwaa la stress? Me niko na stress, inayotokana na hali inavyoendelea hapa Tanzagiza nadhani kimojawapo hapo juu kitatuua.
Imagne una kamradi kako kanategemea kuendeshwa kwa...
Mwana fikra pevu!! Assume umepata nafasi ya kukutana na Rais Jakaya Kikwete faragha na umepewa dakika mbili tu za kuongea nae. Ni kitu gani utapenda kumwambia kwa maslahi ya Umma wa Tanzania??
Kwa mujibu wa TBC taifa raisi Kikwete alipokea taarifa ya uchunguzi juu ya Jairo asubuhi ya tarehe 25 na baada ya kuisoma aliamuru Jairo asirudi kazini hadi yeye mwenyewe rais atakapoamua namna...
Imeandikwa na John Mhala, Arusha; Tarehe: 26th August 2011
KATIBU wa Jumuiya ya Vijana ya Chadema (BAVITA), Anold Kamunde na aliyekuwa Katibu wa Mbunge wa Jimbo la Arusha, Godbless Lema, Gervas...
kuna habari nimeisoma kuhusu iki kiwanda cha sukari, kilichonishitusha ni hali ya wafanyakazi wa kiwanda hicho, hivi huyu muwekezaji angekuwa huko kwao watu wangekuwa wanafanyakazi katika...
Kuna kila dalili ya AU kutoitambua serikali ya waasi (TNC) iliyomwangusha Col. Gaddafi. Hadi sasa zaidi ya nchi 50 ulimwenguni na mashirika mbalimbali ya kimataifa EU, NATO,UAE yameitambua...
Sat, Aug 27th, 2011
Zitto Kabwe who is the Public Organisation Accounts Committee Chairman
Zitto Kabwe who is the Public Organisation Accounts Committee Chairman has vowed to resign if it is...
The outcry in Mombasa is no longer a secret ,an outlawed Mombasa Republic Council is gaining popularity as days goes down towards next Kenya Election 2012. These guys are claiming that Mombasa was...
Ni mgongano wa kihistoria ambao ulipaswa kutokea. Ni mgongano ambao hutokea mahali popote panapokuwa na tofauti kubwa kati ya watawala na watawaliwa. Ndivyo ilivyokuwa kwenye Mapinduzi ya...
Kama ilivyo ada, kila asemalo huyu mdau huwa linakuwa gumzo.
Ni njia ipi mbadala wa uchaguzi ya kumuondoa rais madarakani ukiacha Bunge kupiga kura ya kutokuwa na imani na rais? Kadhalika ni...
Leo wabunge wawili akiwemo Halima Mdee wameshambulia waziri wa fedha kwa ushuru wa magari usioleweka..... Mbunge mmoja alifikia kuwaita TRA majambazi..
Ccha kushangaza wabunge hao wamemtaka...
Fri, Aug 26th, 2011
CCM Secretary General, Mr Wilson Mukama
Ruling party (CCM) Secretary General Wilson Mukama has described as frightening the emerging tendency for quick amassing of wealth...
Nbunge/mwakilishi ktk Zanzibar amelalamika kuwa Waislam wa bara wananyanyaswa sana na sheria ya ndoa, kuwa inaruhusu kuozesha watoto wao kuanzia miaka 18, kinyume na sheria ya dini inayoruhusu...
Anayeweza kukataa kuwa sasa hivi nchi yetu ina viongozi wenye fikra chovu na walio lewa na kuvimbiwa madaraka kuliko wakati wowote wa historia ya taifa hili atakuwa hana tofauti na mwenye nyumba...
Ulipukaji wa mabomu katika kambi ya mbagala mwaka 2009 mwezi wa tano ulileta maafa hususani kwa wakaazi wa eneo hilo na viunga vyake,nyumba za wananchi zilibomoka kwa kupigwa na mabomu,zingine...
Wadau
wakati wa kipindi cha bunge cha leo Letcia Nyerere alitaka Mkulo ataje makampuni yaliyopata pesa za stimulus package, Kilichonishangaza ni pale spika aliposema "Wizara mmeniangusha kwa...
Na. M. M. Mwanakijiji
Wabunge wa CCM wanagongana na serikali yao. Wanainyanyasa na kuimbua mbele za watanzania. Nimewahi kuandika huko nyuma kuwa ni jukumu la upinzani kudhoofisha serikali...
Baada ya waziri Wasira kuikashifu kambi rasmi ya upinzani na baraza kivuli la Mbowe, kumezuka mabishano makubwa na kutupiana vijembe kwa ukali na kwenda mbele zaidi kutumia maneno yasiyo na...