Asaini tangazo la serikali lililochakachuliwa
RAIS Jakaya Kikwete amedanganywa tena na baadhi ya watendaji wake, akasaini tangazo lililochakachuliwa. Septemba 5 mwaka huu, Kikwete alisaini...
WanaJF:
Hili suala la Phili Mangula kukubali kwenda Igunga kufanya kampeni na Makongoro Nyerere kukataa kwenda mnalionaje? Ni vyema tukalijadili.
Kwa mtazamo wangu kukubali kwa...
DIWANI CCM KATA YA HANANASIFU ABBAS TARIMBA AMESEMA NYUMBA IBADA ZOTE ZILIZO KWENYE MAKAZI YA WATU ZISITISHE MAOMBI HARAKA KABLA YA KUCHUKULIWA HATUA.SOURCE majira leo.Wasi wasi wangu ni kwamba...
Nimekuwa nikifuatilia kampenzi za uchaguzi mdogo zinazoendelea Igunga na kugundua kwamba CCM wanatumia propaganda za kisanii ili waweze kushinda. Usanii unaotumika si kwa ajili ya manufaa ya wana...
Kwa mtu ambaye ni public figure hawezi kuongea maneno ambayo niyauchochezi ambayo yanaweza kusababisha uvunjifu wa amani!Hafai kuwa kiongozi kutokana na maneno yake ya uchochezi!yeye chama chake...
Leo baada ya hukumu ya kesi ya madiawani mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema atakuwa njiani kuelekea Igunga kwenda kuongeza nguvu kwa wapiganaji wengine wa Cdm ".
Wakati anaongea na radio 5...
Mwenyekiti wa mtaa wa mabibo jitegemee (CUF) anashikiliwa na polisi tokea jana na amepelekwa Segerea.
Ishu ilikuwa hivi:
1. Mabwana afya kutoka halmashauri walifika katika soko lililopo...
Nikirejea kipindi cha keki ya taifa kilichorushwa na mlimani tv na redio, mada ikiwa ni mafanikio tuliyopata katika kipindi cha miaka hamsini ya uhuru, mmoja wa washiriki bwana Risasi Mwaulanga...
Jamani nimepata habari kutoka huko nyumbani kwamba, masaa machache yaliyopita North Mara imeua mtanzania mwingine nini kinaendelea huko? Hivi huo mgodi upo kwenye nchi yenye uongozi?
Ninaogopa sana hali itakayo jitokeza igunga baada ya matokeo kutangazwa igunga, haswa pale CCM ikitangazwa kidedea, kwani sidhani kama cdm watakubaliana nayo kiurahisi kwani mpaka sasa cdm...
Nafahamu kuwa Chadema kinaamini katika sera ya ubepari na kwamba kama chama wana uhusiano wa karibu na vyama vya kibepari duniani i.e. Conservative (UK) and Republican (US)
Ubepari kama sera na...
GrEatThinkers,
Nikiwa ndani ya Meli kuelekea Ukerewe, mjadala mkali ulikuwa ni katiba mpya, meli ilikuwa vikundi vikundi.
Kali zaidi kuna mmoja akaibuka na na kusema "maadui aliowatangaza...
Na Peter Mwenda, Igunga
CHAMA cha Wananchi (CUF) kimekionya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuacha mara moja kutangaza kudanganya wananchi wa Jimbo la Igunga kuwa chama hicho...
Wakuu! Baada ya kushutumiwa kwa muda mrefu na baadhi ya watoto wa Mwl. Nyerere kuwa toka awe PM. Hajawafi kufika butiama kijijini kwa mwalimu kwenda kumsalimu mama Maria Nyerere na kudhuru kaburi...
DC amtimua jukwaani diwani wa Chadema
Send to a friend
Monday, 19 September 2011 20:10
0diggsdigg
Shija Felician, Kahama
MKUU wa Wilaya ya Kahama, mkoani Shinyanga, Meja mstaafu...
Baada ya tukio la mkuu wa wilaya kudai kudharirishwa na viongozi wa CHADEMA na wafuasi wao, nikapata kuelewa sasa za majitaka alizozizungumza RA kwamba zipo ndani ya chama chao.
Sio tu...
Wajameni huu ni wakati wa kufatilia live sessions kwa mkutano ambao JK nae amealikwa USA.Leo ni opening sessions chaired by Bill Clinton.Mkuatano ndo unaanza sasa live fatilia hapa:CGI Live - live...
Kuna msemo unaosema kuwa Viongozi madikteta na vyama vya kidikteta kama cha Magamba huwa wana silaha moja tu ya kutawala nayo ni Kuwajaza wananchi wao uoga, lakini siku wananchi wakigundua kuwa...
UPEPO wa mashambuzi dhidi ya maamuzi mbalimbali ya serikali ambao umekuwa ukitoka katika kambi ya vyama vya upinzani na vyama mbalimbali vya kijamii, sasa umeanza kuchukua mkondo mpya baada ya...
Mashirika kadhaa ya misaada kwa jamii yametoa tahadhari ya kuwepo kwa dharura ya upungufu mkubwa wa chakula Tanzani na kusema zaidi ya watu milioni 3 nchini wanakabiliwa na njaa.
Wakati mashirika...