Diwani CCM: Nyumba za Ibada Kinondoni zisitishe Maombi haraka

Mwamakula

JF-Expert Member
Nov 7, 2010
1,891
382
DIWANI CCM KATA YA HANANASIFU ABBAS TARIMBA AMESEMA NYUMBA IBADA ZOTE ZILIZO KWENYE MAKAZI YA WATU ZISITISHE MAOMBI HARAKA KABLA YA KUCHUKULIWA HATUA.SOURCE majira leo.Wasi wasi wangu ni kwamba huwezi kujenga Kanisa au Misiki mbali na Makazi ya Watu.Ibada ambayo inaweza kuwa mbali na Makazi ya Watu ni ibada za mizimu na Mashetani ambapo eneo maalumu linatengwa kama alivyofanya Babu wa Loliondo alitaka kujengewa eneo la Mtalija linaloheshimika kwa wafu waliokufa siku nyingi na wazee wa Mila walitenga kama sehemu ya Matambiko.Suala la kelele za Dansi ya Mch Rwakatare inawakera wakazi wa Mikocheni hivyo Mama Rwakatare akiondoa midundo ya dansi watu watapata nafuu
 
Serikali ya Nyerere haikutenga maeneo ya Makanisa na Misikiti na hata leo huwezi kutenga maeneo hayo kuhofia udini
 
Maeneo ya Makaburi yametengwa na wakati mungine Yapo makaburi ya Wakristo, Viongoz,Waislamu, Wahindu n.k .Lakini Eneo la Ibada zao halitengwa
 
Serikali ya Nyerere haikutenga maeneo ya Makanisa na Misikiti na hata leo huwezi kutenga maeneo hayo kuhofia udini
Iwapo suala analolishugulikia diwani ni usumbufu wa kelele zinazotoka kwenye nyumba za Ibada zilizo karibu na makazi niko naye pamoja. Some of our religious fanatics are manace to our society. They come from both Christians and Muslims
 
Duh huyu Tarimba ninayemfahamu ama mwingine? Hapa nyumba za ibada alikuwa ikimaanisha makanisa au? Manake siamini kama anaweza kusema juu ya misikiti. Namfahamu wakati akiishi mitaa ya jangwani karibu na club ya yanga alikuwa akiswali msikiti wa Shadhili pale mtaa wa Sikukuu No. 11 na msikiti upo katikati ya makazi ya watu na kulikuwa na ziara nyingi tu na dhikri usiku kucha!! Sasa anataka na misikiti pia isitishe dhikri au?
 
Wapigakelele dunia nzima ni waislam na vipaza sauti vyao wanapohamasisha salaa salaa ili kualika mashetani katika ibada zao usiku na mchana.
<br />
<br />
Ushawahi kua chizi???au unataka hiyo maisha yameshakushinda???ngoja usomewe albadiri ukome.
 
Na misikiti iliyo karibu na nyumba za watu katangaza ifungwe? Kwani ile sauti ya swala, mahubiri ijumaa na wakati wa sherehe ni kero kt jamii. Huyu anataka nyumba za ibada ziwe mbali na makazi ya watu ili watu wasisali au ana lengo gani? Anamwabudu Mungu au shetani? Mbona hajatangaza baa na kumbi za disko zilizo karibu na makazi ya watu na hata karbu na shule zifungwe? Aache udini na afanye mambo ya maana ya maendeleo.
 
Huyu jamaa anatafuta pa kutokeeaa ajaribu tu aone moto wake tuone kama misikiti itafungwa nakuzuiwa kuamsha watu usiku na hayo makanisa kuzuiwa au kuondolewa kabisa
 
Waliisha ambiwa wanatumia masaburi kufikiri, watu wa mipango miji mpaka kesho wanagawa maeneo ya wazi ambayo yangetumika kujenga majengo ya huduma za jamii. Chama chake kimekwisha choka hakuna kitakacho tekelezwa.
 
Angeshauri wapunguze sauti za vipaza sauti ili zisiwe kero kwa wasiohusika na hizo dini.
 
Mtu akipata uchizi utadhani amerogwa kumbe mdomo wake mwenyewe ndio umemdhuru.
 
Angeshauri wapunguze sauti za vipaza sauti ili zisiwe kero kwa wasiohusika na hizo dini.
<br />
<br />
Naunga mkono ushauri wako mkuu. Hizi ibada za usiku pande zote mbili kwa wakristo(walokole) na waislamu ni kero kubwa kwa wale ambao hatuhusiki. Na sijui kwanini serikali haikemei na kuweka kiwango ambacho mtu anaweza fungulia kipaza sauti usiku.
 
Mabaa, kumbi za starehe kama disko ndizo zinazotakiwa kuwa mbali na makazi ya watu, mbali na nyumba za kuabudia na mbali na shule. Huyu Tarimba ameanza kutumia masaburi nini? Ukishakuwa mwana CCM hata ungekuwa na akili ya kuhamisha milima kwa miujiza utageuka na kutumia masaburi tu, walai nawaambieni.
 
DIWANI CCM KATA YA HANANASIFU ABBAS TARIMBA AMESEMA NYUMBA IBADA ZOTE ZILIZO KWENYE MAKAZI YA WATU ZISITISHE MAOMBI HARAKA KABLA YA KUCHUKULIWA HATUA.SOURCE majira leo.Wasi wasi wangu ni kwamba huwezi kujenga Kanisa au Misiki mbali na Makazi ya Watu.Ibada ambayo inaweza kuwa mbali na Makazi ya Watu ni ibada za mizimu na Mashetani ambapo eneo maalumu linatengwa kama alivyofanya Babu wa Loliondo alitaka kujengewa eneo la Mtalija linaloheshimika kwa wafu waliokufa siku nyingi na wazee wa Mila walitenga kama sehemu ya Matambiko.Suala la kelele za Dansi ya Mch Rwakatare inawakera wakazi wa Mikocheni hivyo Mama Rwakatare akiondoa midundo ya dansi watu watapata nafuu

Huyo diwani kaona nyumba za ibada tu? Hizo kumbi za starehe zinazopiga muziki usiku kucha karibu kila siku kwa ajili ya maharusi na send-off kwenye maeneo ya makazi hajaziona na kuziamuru ziache mara moja?
 
kukataza kwa njia hiyo ni makoasa kwani ataonekana anabagua kwani wanaojenga kila kukicha ni wakrito, cha msingi ni plan, na tunaelewa kuwa dar hakuna plan@, so jamaa aache kutafuta umaarufu!
 
Huyu Tarimba ni diwani wa Kinondoni na kinondoni madiwani ndio wanaongoza kuuza maeneo ya wazi na kutoa vibali vya ujenzi holela ikiwamo petrol stations, mabaa nk. Sasa amewashwa nini na kukurupuka na mambo ya kuabudu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom