Nape akamatwe ahojiwe kwa kuhamasisha uvunjaji wa amani. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape akamatwe ahojiwe kwa kuhamasisha uvunjaji wa amani.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KakaKiiza, Sep 18, 2011.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Sep 18, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,273
  Trophy Points: 280
  Kwa mtu ambaye ni public figure hawezi kuongea maneno ambayo niyauchochezi ambayo yanaweza kusababisha uvunjifu wa amani!Hafai kuwa kiongozi kutokana na maneno yake ya uchochezi!yeye chama chake kinatakiwa na uvumilivu kwakuwa ndicho chama kimeshika dola!maneno aliyosema yanaweza kubadili mtazamo wa taifa kwa dakika 1 tu!hata Rwanda ilikuwa kama hivi!nasikitika hata vyombo vya habari vimepamba habari yake ilitakiwa kuipuuza!na shangaa Jeshi la Polisi lipo kimya hapo tunakuwa na shaka na Polisi kwa kauri hii ya Nape ingekuwa kwa upinzani tayari yupo ndani!Kwanza anaushahidi kama vijana wa upinzani ndiyo walifanya haya yote yanayotokea Igunga?je Polisi wamejihakishia kwamba kweli maneno ya nape yanaweza kutumika kama ushahidi?Nape unazeeka kisiasa.
   
 2. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #2
  Sep 18, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  ingekua ni upinzani ndo wametoa kauli hiyo ungesikia wanataka kuhatarisha amani ya nchi yetu
   
 3. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #3
  Sep 18, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Kweli siasa za Tanzania zimefilisika ... Kiongozi kama ya Ngazi Ya Nape ... anadiriki kuongea jambo ambalo halina Mantiki wala busara ya anina yeyote ... Simply Kupata Kura ....Hii haikubaliki kabisa... Inaashiria kubomoka kwa miiko ya Ungozi na Misingi dhabiti ianayoifanya tanznaia kuwa Tanznaia...!!
   
 4. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #4
  Sep 18, 2011
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Ungeeka hayo maneno yake hapo kwa faida ya wale ambao hawakusikia au wako mahali amabapo hawana access na vyombo vyetu vya habari.
  Ila huyu dogo anaingilia ligi ambayo haiwezi.
   
 5. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #5
  Sep 18, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,273
  Trophy Points: 280
  Natafuta chanzo cha habari nakuwekeeni shotly
   
 6. B

  Benominja New Member

  #6
  Sep 20, 2011
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
   
 7. B

  Benominja New Member

  #7
  Sep 20, 2011
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Na sijui kwa nn walimchagua jamaa
   
 8. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #8
  Sep 20, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  Nani wa kumuwajibisha wakati wamemtuma?
   
 9. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #9
  Sep 20, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  SAFI SN NAPE UNAFANYA KAZI NZURI SN YA KUKIBOMOA CHAMA CHE2.good
   
Loading...