Vyama vya kidikteta mwisho wao umefika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vyama vya kidikteta mwisho wao umefika

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pax, Sep 18, 2011.

 1. P

  Pax JF-Expert Member

  #1
  Sep 18, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 269
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Kuna msemo unaosema kuwa Viongozi madikteta na vyama vya kidikteta kama cha Magamba huwa wana silaha moja tu ya kutawala nayo ni Kuwajaza wananchi wao uoga, lakini siku wananchi wakigundua kuwa viongozi hawa pamoja na vyama vyao hawana msaada wala umuhimu wowote katika maisha yao, mwisho wao huwa umetimia.

  Watu wote wenye mapenzi mema na nchi yetu ambao tumeshajua kuwa chama cha magamba hakina manufaa yoyote kwa nchi yetu tuhubiri ukombozi kwa wale ambao bado akili zao zimetekwa. Ule mwisho uliotabiriwa umekaribia, wale wachache wanaofikiri walizaliwa wakakuta wazazi wao ni viongozi wakawarithisha na sasa wana ndoto za kututawala wasahau, hiyo chain haiwezi kuendelea. Waendelee kutumia vyombo vya habari kueneza uongo na kutisha wananchi lakini ule mwisho upo na umekaribia. Tumekuwa kwenye lindi la umasikini bila sababu za msingi wakati wao wakineemeka. Watu wa ajabu ajabu tu basi kwa sababu eti baba zao walikuwa mwanasiasa mashuhuri basi na wanaandaliwa kututawala! Wamejaa viburi na dharau, hawajui nguvu ya wananchi ilivyo kubwa, wakawaulize watoto wa Ghadaffi.

  Kuna watu wa ajabu kweli siku hizi ati ni wanasiasa! hawajui lolote wala chochote, ukiwasikiliza wakiwa wanaongea unajiuliza hivi hii nchi ndio imefika hapa! Wana madaraka makubwa kweli ukijiuliza wameyatoa wapi huwezi kufahamu. Hivi jamani ndio tumefika hapa kweli? watu kwa uroho wao wanataka kututawala hata kama ni kwa kutuua?
   
 2. K

  Kozo Member

  #2
  Sep 18, 2011
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 32
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Ndugu yangu we acha tu!,eti chama cha magamba wanaweka viongozi vijana ambao ni wafu pamoja na wazee wao ili kuendeleza giza lao;maskini vijana hao mawazo yao kama wafu waliochukuliwa misukule alafu wakaachiwa kutoka huko misukuleni.Giza linatoweka na nuru inatawala,Salam zangu kwa MAKAMBALEMAMBA,NAPENYE KAMANDA WA MAGAMBA NA MATUMBO MBELE.
   
 3. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #3
  Sep 18, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  most of the young leaders of SISIEM.....................they are just devil's advocate
   
 4. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #4
  Sep 18, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hueleweki unachoongea wala unachotaka wala unachoongea. Wewe unadhani udikteta uko kwenye chama tawala tu? Hata hivyo vya upinzani ambavyo kimsingi ni vyama vya ukoo vina shida kubwa zaidi.
   
 5. P

  Pax JF-Expert Member

  #5
  Sep 19, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 269
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Huwezi kuelewa na hutakaa uelewe, nani kazungumzia chama cha upinzani hapa, wake up!
   
 6. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #6
  Sep 19, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Yes hujazungumzia vyama vya upinzani for obvious reasons but let me tell you. Dictatorship is rampant within the opposition parties and as you attempt to paint the ruling parties in bad light, remember to remove a log from your eye!
   
 7. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #7
  Sep 20, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  If at all you know what it means!
   
 8. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #8
  Sep 20, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,762
  Likes Received: 6,066
  Trophy Points: 280
  Bro; why wasting time arguing with, as someone has called, DEVIL'S ADVOCATES! Jamaa anaeleweka vyema hapa JF kwa utetezi wake hata kwa mambo ya kipuuzi alimradi anatetea "mfumo". Hawa ndio walewale wanaofaidika na mfumo kandamizi uliopo; ulitegemea aongee nini zaidi ya alichoongea. Ni kumpotezea tu!
   
 9. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #9
  Sep 20, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Na unadhani kutenda haki ni kukosoa kila kitu na kusifia kila kinachopinga mfumo. Let truth be told. Udikteta uko kote na juhudi zisipofanyika hakutakuwa na chama mbadala chenye sifa ya kutuvusha watanzania.
   
Loading...