CCM yaongezwa kundi la Maradhi, Ujinga na Umaskini Ukerewe!

spencer

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
3,599
3,220
GrEatThinkers,

Nikiwa ndani ya Meli kuelekea Ukerewe, mjadala mkali ulikuwa ni katiba mpya, meli ilikuwa vikundi vikundi.

Kali zaidi kuna mmoja akaibuka na na kusema "maadui aliowatangaza Hayati Mwl. Nyerere wakti wa Uhuru
Ujinga, Umaskini na Maradhi mkubali msikubali kwa sasa kuna adui mwingine wa maendeleo ambaye ni CCM"

Mwingine akaibuka na kusema "Hata ndg.Zangu wakija kuomba misaada hasa ya ada, na ikiwa huyo ndg, ni wa CCM namwambia nenda kwa hao hao CCM uliowachagua sasaivi usingekuwa unalipa ada"

Mwingine Tena akathubutu kuanza kutaja baadhi meli zinazomilikiwa na vigogo wakubwa ndani ya Chama, akataja mabasi nakumbuka Mombasa Raha na Sumry na kusema wazi kuwa CCM yote imeoza.Wakamtaja na yule mama mchungaji aliyejinganya na CCM kuwa amechukuliwa ili kurahisisha kuingiza mali za vigogo kwa mgongo wa kanisa lake.

Hayo ni maneno makini yenye ujumbe mkali yaliyotoka kwa watanzania wa kawaida wa Ukerewe. Nimewaletea Changamoto hii, ili muone kwamba hii nchi watu wamebadilika sana.

WanaJF Tuendelee 2011 ni Full Uamsho.:ranger:
 
Ngugu nimeipenda thread yako! Inaonyesha jinsi gani wananchi wameanza kubadilika BIG UP sana watu wa Ukerewe...Watanzania wengine ndugu zangu wa Nyaishozi, Kimanzichana, Ikwiriri, Tufokenge, Iguguno, Lyampasi, Ungeno, Kisiwani, Bahi, Namtumbo, Tandahimba, Chunya, Hananasifu, Bukene, Gulioni katerero, Olosikei, Kiteto, Mahenge, Urambo, Handeni, Shycom, etc

Fanyeni hivyo!
 
Binafsi nilifurahishwa sana na upeo wa wananchi wale,

WanaJf na hata wapita njia humu ndani ya JF tuelimishe wananchi wetu kuijitambua.

Kuna kitu nimeanza kukiona mbeleni: Vijijini wataamka na kuamua na hakuna atakayeweza kuwabadilisha msomamo wao.

Umetaja maeneo muhimu sana kaka:

Hata wale wa HoroHoro(TA), Nyakanazi(BK), Kimanzichana(PWN),Vwawa(MBY),Ikungi(SGD),Makuyuni(ARS),Kirumi(MAR),Kaliua(TBR),Ilula(IRG) nk.

Watu wote mnaotoka maeneo mbalimbali hasa vijijini, onesheni Utanzania. Saidieni jamii yenu. Kuna baadhi ya maeneo yameamka hayawezi kuburuzwa.

Mfano: Nyamagana kama siyo Mh. Wenje Kurudishwa inamaana wananchi wale wasingeweza kubadili kiongozi. Masha walikuwa hawamtaki. Mwamko wao ndiyo umewapa kiongozi wamtakaye, sasa ni majimbo mangapi watu wanapitishwa ilhali wananchi moyoni hawawataki???

Wake up!:ranger:
 
GreatThinker pamoja na Ulimali,

Hongera kwa kuunga mkono hii topic, si wewe tuu. Kanda ya ziwa tushaona siku nyingi.
C-C-M ni kundi la wezi,
Mtu yeyote anayeshabikia hiki chama yawezekana ni mjinga au basi ananufaika na unyonyaji wanaoufanya.
 
[h=6]ccm KINGE KUA CHAKULA NINGEACHA KULA NIFE ! ccm UNGEKUA UGONJWA NISINGE KUBALI KUTIBIWA NIFE! CCM UNGEKUA MAVAZI NINGE TEMBEA UCHI KULIKO KUKU VAA ccm UNGE KUA UTAJIRI NINGEKUKANA NIWE MASIKINI! ccm UNGEKUA UHURU NINGEKUKANA NIRUDI UTUMWANI ! naamini matatizo ya watanzania na nchi yao chimbuko lake ni CCM bila ccm kufa TANZANIA HIYOOOO KUELEKEA utumwani!!...Ukiwa mkweli mungu atakupenda milele...Usually
when people are sad they don't do anything they just CRY over their
condition but when they gel Angry they bring about a change" (MALCOLM X)
[/h]
 
Hapo mkuu umenena CCM ni adui wa NNE yeye anejiita kwa A kwKA nyoka aliyevua Gamba. kwa maana nyingine anapaswa kupigwa vita kama anavyopigwa vita nyoka.
 
Arafat, tuko hapa kujadili views na mustakabari wa taifa letu, sio kutaja majina ya watu. Kumbuka, "low minds discuss people and higher minds discuss events". Mchangiaji anaposema "mama Mchungaji maarufu" nadhani wote tunaelewa ni nani.
 
Back
Top Bottom