Mbunge wa Arusha Mjini (Godbless Lema) njiani kuelekea Igunga

Henry Kilewo

JF-Expert Member
Feb 9, 2010
899
1,079
Leo baada ya hukumu ya kesi ya madiawani mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema atakuwa njiani kuelekea Igunga kwenda kuongeza nguvu kwa wapiganaji wengine wa Cdm ".

Wakati anaongea na radio 5 Arusha amenukuliwa akisema " Ninakwenda Igunga huku nikitambua kuwa uhuni na uonevu,wizi,ulaghai kwa wapiga kura unaofanywa na Chama tawala (CCM) sasa hautavumilika tena kwa sababu tu wanao polisi wenye utii kwao na sasa ni wakati wa watu wote wenye uwezo wa kukemea uovu huu wa kimfumo wawe tiyari hata kwa lolote " kwani ni heri mauti inayopatikana katika kupigania haki kuliko umri mrefu usio na wajibu katika jamii

"Ninakwenda Igunga, ninapenda haki, ninapenda utu, ninaheshimu ukweli nitakuwa tiyari kuvitetea vitu hivi kwa damu yangu ikiwezekana "
 
gidytitus

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
332
28
Kila la kheri Kamanda wetu, tunakuombea ili ufike salama Igunga! We love you so much due to ua strong standing for Tanzanian justice fighting! Blavoooo!
 
gidytitus

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
332
28
Huyu nae, hajafika Igunga tayari ameshaanza kuongea lugha yake ya kijambazi. Jamani watu wa igunga, ficheni vigari vyenu, mwizi wa magari anakuja kufanya shopping ya michuma huko.
Stupid! NENDA katubu kwa hayo maneno yako!
 
KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,393
8,150
Kamanda nenda kaongeze nguvu ili tuwezekuwakomboa wana Igunga walioko jangwani wanatakiwa kukombolewa!
 
kapotolo

JF-Expert Member
Sep 19, 2010
3,727
2,212
Huyu nae, hajafika Igunga tayari ameshaanza kuongea lugha yake ya kijambazi. Jamani watu wa igunga, ficheni vigari vyenu, mwizi wa magari anakuja kufanya shopping ya michuma huko.
kamanda is under ur skirt take care you may find him palpating ur cervix.
 
Said Bagaile

JF-Expert Member
Jun 23, 2011
686
255
Duh! CDM sasa hii ni too much. Mbona Ka- Mbwa kenyewe kadogo tu! Sasa mbona naona kama mnataka kutumia Anti-Balistic Missiles kwenye Vita ya Kitoto! Silaha mnazopeleka Igunga ni kali mno! Punguzeni hasira, magamba wameshaomba radhi jamani.
 
Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
43,202
25,631
Ni kweli Lema anaelekea Igunga, yupo na vijana 300 wengine wamepanda Fuso za CDM wanakwenda kuongeza nguvu. sijui nani analipa gharama za chakula na Malazi kwa hawa vijana zaidi ya 300 hadi kufikia jana hali ni mbaya sana kwa CDM.
Zile issue za Tindikali pamoja na ya kutaka kumbaka DC walizofanya wahuni wa CDM zimefanya wapenda amani Igunga kuwachukia sana CDM.
Kwa kweli hii dhambi ya ubakakaji na ya Tindikali itaendelea kuwatafuna kama Kansa
 
Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,228
8,722

wala usitishike mkuu mpaka kufikia uchaguzi makamanda wote watakuwepo huko nikiwa na maana wabunge, madiwani na viongozi wengine yaani huko igunga mpaka kieleweke...
 
Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,228
8,722
Ni kweli Lema anaelekea Igunga, yupo na vijana 300 wengine wamepanda Fuso za CDM wanakwenda kuongeza nguvu. sijui nani analipa gharama za chakula na Malazi kwa hawa vijana zaidi ya 300 hadi kufikia jana hali ni mbaya sana kwa CDM.
Zile issue za Tindikali pamoja na ya kutaka kumbaka DC walizofanya wahuni wa CDM zimefanya wapenda amani Igunga kuwachukia sana CDM.
Kwa kweli hii dhambi ya ubakakaji na ya Tindikali itaendelea kuwatafuna kama Kansa
Vipi Nape amepeleka wangapi au alikuwa anatishia...ngoja nikwambie kama chadema ikiamua kupelea vija Igunga wala vijana hawahitaji pesa labda ghalama za usafiri na kula kulala tuna piga camp mpaka kieleweke lakini nyie watoto wa mafisadi kwanza wanataka waende na VX ...hahahah
 
Mungi

JF Gold Member
Sep 23, 2010
16,980
9,547
Mpaka muda huu bado kesi haijaanza, sasa sijui hakimu kama anasubiri maelekezo kutoka kwa mkuchika au Jk
 
kinepi_nepi

JF-Expert Member
Aug 16, 2007
869
233
Kikosi kazi hicho, lazima jimbo liende CDM, vile vizee na vijana wote wa CCM kina Lusinde na vitumbo vile hawawezi kufikiri vizuri, nasubiria Lusinde ajinywee ddt, mashambulizi yahamie Mtera. Hivi Lusinde hajasema kama asipokunywa yeye mwenyewe hiyo sumu afanyweje??
 
G. Activist

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
482
125
Ni kweli Lema anaelekea Igunga, yupo na vijana 300 wengine wamepanda Fuso za CDM wanakwenda kuongeza nguvu. sijui nani analipa gharama za chakula na Malazi kwa hawa vijana zaidi ya 300 hadi kufikia jana hali ni mbaya sana kwa CDM.
Zile issue za Tindikali pamoja na ya kutaka kumbaka DC walizofanya wahuni wa CDM zimefanya wapenda amani Igunga kuwachukia sana CDM.
Kwa kweli hii dhambi ya ubakakaji na ya Tindikali itaendelea kuwatafuna kama Kansa

Mbona kama vile hujiamin na maneno yako...!!! Yaelekea umetumwa kuchafua hali ya hewa hapa Jamvini ila wewe moyo wako haukushuhudii kufanya hivyo!!!!! Usiwe mnafiki ndugu..!! Lema anaipenda hii nchi, na anataka ikombolewe kutoka kwa Magamba kama ilivo kwa makamanda wengine wote wa Chadema..!!1 Kila lakheri Igunga!!! Vijana wengine huku tunajipanga tuje huko wala hatuhitaji kuicost CDM ni gharama zetu wenyewe!!!! tuone green guard itafanya nn!!! Mme mwaga mboga sie tunamwaga debe la unga.
 
Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
43,202
25,631
Vipi Nape amepeleka wangapi au alikuwa anatishia...ngoja nikwambie kama chadema ikiamua kupelea vija Igunga wala vijana hawahitaji pesa labda ghalama za usafiri na kula kulala tuna piga camp mpaka kieleweke lakini nyie watoto wa mafisadi kwanza wanataka waende na VX ...hahahah
Vipi na wewe upo kwenye msafara wa kwenda Igunga au bado upo mahakamani unang'aa sharubu tu
 
Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
43,202
25,631
Mbona kama vile hujiamin na maneno yako...!!! Yaelekea umetumwa kuchafua hali ya hewa hapa Jamvini ila wewe moyo wako haukushuhudii kufanya hivyo!!!!! Usiwe mnafiki ndugu..!! Lema anaipenda hii nchi, na anataka ikombolewe kutoka kwa Magamba kama ilivo kwa makamanda wengine wote wa Chadema..!!1 Kila lakheri Igunga!!! Vijana wengine huku tunajipanga tuje huko wala hatuhitaji kuicost CDM ni gharama zetu wenyewe!!!! tuone green guard itafanya nn!!! Mme mwaga mboga sie tunamwaga debe la unga.
Kweli mkuu sijiamini naogopa machafuko mimi pamoja na wapenda amani wa taifa letu.
Wewe na wahuni wenzako wa CDM mmezoe kupigana mapanga, kubaka na kumwagia watu tindikali, tunawaomba sana msifanye uhalifu nchi yetu ni ya amani
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

4 Reactions
Reply
Top Bottom