Hili la mkuu wa wilaya: Nape na January wamejidharirisha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hili la mkuu wa wilaya: Nape na January wamejidharirisha

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Barbaric, Sep 20, 2011.

 1. B

  Barbaric Member

  #1
  Sep 20, 2011
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Baada ya tukio la mkuu wa wilaya kudai kudharirishwa na viongozi wa CHADEMA na wafuasi wao, nikapata kuelewa sasa za majitaka alizozizungumza RA kwamba zipo ndani ya chama chao.

  Sio tu nimezielewa hizo sasa bali pia nimewadharau NAPE na mwenzake JANUARI.

  1. kwa mujib wa katiba yetu (kimaandishi zaidi na si kivitendo) ni kwamba mkuu wa wilaya ni anatakiwa kufanya kazi zake bila kuangalia itikadi za chama, na hatakiwi kuhucka katika harakati zozote za kidasa (kimaandishi zaidi) , KWA NINI JANUARY NA NAPE WANAUMIA SANA MKUU WA WILAYA KUPIGWA NA KUAHIDI KUWAANDAA VIJANA WAO (GREEN GUARDS) KULIPIZA KISASI, KWA TAFSIRI YA HARAKAHARAKA NI KWAMBA MKUU WA WILAYA ALIKUWA ANAPIGA KAMPENI.

  2. Mkuu wa wilaya alipata bugudha kidogo tu tena kwa makosa yake mwenyewe, Januari analalamika kuwa hasikii kelele za wanaharakati kulaani kitendo hicho, lakini jana kupitia ki2o cha ITV kuna mtoto alibakwa dodoma mpaka naandika mida hii cjackia januari akilalamikia wanaharakati kuwa hawajazungumzia hili.

  3. kama januari angekuwa mtetezi wa wanawake bac angekuwa mstari wa mbele kukihimiza chama chake kuwwangalia kwa jcho la huruma akina mama wanaokufa wakijifungua kutokana na kuwa mbali na vi2o vya afya!

  Ushauri wangu:

  Wamshauri mkuu wa wilaya afute kesi sababu atashindwa
   
 2. Majoja

  Majoja JF-Expert Member

  #2
  Sep 20, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 610
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  kujidhaRIRIsha na pumba orijino hapa
   
 3. Alfred Daud Pigangoma

  Alfred Daud Pigangoma Verified User

  #3
  Sep 20, 2011
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,778
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  SAFI SANA!!!

  Ila hata kama hatofuta kesi, kwa kuwa yeye DC ni wa MAGAMBA na ukishtakiwa na wa-MAGAMBA basi cha muhimu ni kuhangaikia dhamana tu ukipata kesi imekwisha. Ikumbukwe kesi itasikilizwa tena tarehe 10/10/2011 ambapo uchaguzi utakuwa umekwisha!!!!!

  Ni hayo tu!!!!
   
Loading...