CCM na propaganda za kisanii Igunga

Apr 11, 2011
14
5
Nimekuwa nikifuatilia kampenzi za uchaguzi mdogo zinazoendelea Igunga na kugundua kwamba CCM wanatumia propaganda za kisanii ili waweze kushinda. Usanii unaotumika si kwa ajili ya manufaa ya wana wa Igunga ni kwa ajili ya vigogo wa magamba kuzidi kutanua zaidi. Inasemekana baada ya CCM kupoteza majimbo mengi uchaguzi mkuu uliopita imeathiriwa zaidi kimapato kiasi kwamba matanuzi ya vigogo wa magamba yamepungua. Inasemekana kwenye baadhi ya mikakati iliyopo ni kwa kufa na kupona wasipoteze majimbo waliyo nayo ili waendelee kupata ruzuku kutoka serikalini na kikubwa zaidi kuongeza majimbo yanayoshikiliwa na upinzani aidha mahakam ikishatengua au kifo cha mbunge yeyote wa upinzani.

Kazi aliyopewa Mwigulu aka mchukua wake za watu aka mapenzi bila kinga ni kuhakikisha CCM inashinda kwa hali na mali ili wasipunguze ruzuku wanayopata kwasasa. Hii imepelekea serickali ya CCM kupeleka msaada wa chakula hasa kipindi hiki cha kampeni na inashangaza Mwigulu anawahakikishia wanaigunga watapata chakula bila shida yeyote utadhani ni waziri anayehusika na kitengo cha maafa. Kitu kingine kuwadanganya wana Igunga ni kuboresha maisha ya wananchi kwa kipindi kifupi wakati wameshindwa kwa kipindi chote baada ya uhuru na hata jimbo hilo liliposhikiliwa na Rostam Azizi baada ya kifo cha Charles Kabeho. Wote tunajua RA ni mmoja wa mapacha watatu ndani ya CCM wenye pesa za kumwaga lakini hakuna chochote cha maana amabacho amewafanyia wana Igunga ambao ungekuwa ni mtaji mkubwa wa ushindi wa CCM.

Usanii unaonishangaza ni kuwahadaa wananchi mchana mweupe kuwa watatua kero zote walizonazo wana Igunga. Kweli CCM mwogopeni Mungu kwa usanii mnaowafanyia wana Igunga. Kama mnajivunia mmefanya mambo mazuri Igunga kwanini mhamishie uongozi wenu wote wa juu uliopita na wa sasa kwenye kampeni?wabunge wenu wengi wakiongozwa na mzee wa usingizi bungeni aka Stephen Wassira, mzee wa kuropoka aka Kangi Lugola, katibu wa zamani wa CCM aka zilipendwa yaan Philoph Mangula, mzee wa viuono aka Komba kapteni wa usanii mkiongozwa na mchukua wake za watu aka Mwigulu.
 
mwisi.jpg

Na hii ya Mgombea ubunge kujifunga msuli wa kitenga na kujifunika mtandio ambao ni mvao rasmi wa wanawake ni usanii au kuchanganyikiwa?
 
jamani mie naona mambo haya ni binafsi sana.. Tuwachie wenyewe.. kama kweli Mh Mwigulu ndiye aliyefumaniwa na yule dada aliyepewa kipigo na mumewe kule Igunga, basi hii ni aibu ya kiutu uzima, tuimezee.. kwani mbona mumewe alishangilia posho alizokuwa akivuna mkewe.. akimuuliza anadai za kampeni wamegawiwa.. sas vipi tena tamu ya hela na tamu ya mke ipi tamu babaee...Kigeni kipi, Mbona kuna waziri mmoja aliyewahi kuwa waziri wa Elimu almaarufu kwa kuanzisha vibao vya udongo vinavyoelekeza shule alikuwa akicheza ze twangaaz na kitoto, amekipot mikono yake kunako nanihii ndani kabisaa

praa.jpg

Afu nini tena kesho, akiwa waziri wa ulinzi anamwagiwa miheshima kibauwooo imagine...

kapuya hes.jpg

kisha makono yale yale ambayo jana yalikuwa "yakishikashika nanihii" leo yanauwasha mwenge wenu.. huree!!.. yaani viongozi wengine wa TZ ni zaidi ya ze comedy!!

mikono.jpg

Halafu unaambiwa nchi Ipo, na Raisi wake yupo.. sasa najiuliza kama yeye hayakemei haya.. basi na yeye.. tukisema ni kundi moja makosa yetu yako wapi?
 
Ndio muelewe ccm linapokuja suala la kura wakotayari kufanya chchote ili mradi washinde, tindikali, kubaka, kununua shahada,kutumia madc ktk wizi sasa wamekuja na mpya ya mgombea wao kuvaa kanga ili kusaka huruma ya akinamama wadhani kuwa ni mwenzao
 
CCN janja yao imekwisha julikana kwa wananchi nadhani kura hawatapewa pamoja na kupewa kula, kwani wanaigunga ni werevu na taabu za wabunge wa magamba wanazijua sasa wanataka mabadiliko.
Itakuwa kama jusi joto ya jiwe kwisha jua
 
mwisi.jpg

Na hii ya Mgombea ubunge kujifunga msuli wa kitenga na kujifunika mtandio ambao ni mvao rasmi wa wanawake ni usanii au kuchanganyikiwa?
Ebu cheki vile mkutano umejaa watoto, nao hao watapewa nafasi ya kukipigia ccm kura?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom