Jamani nimepata habari kutoka huko nyumbani kwamba, masaa machache yaliyopita North Mara imeua mtanzania mwingine nini kinaendelea huko? Hivi huo mgodi upo kwenye nchi yenye uongozi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.