Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nawapongeza wafanyakazi wa TAZARA kwa upande wa zambia kwa kuweza kutoa ushirikiano kwa chama cha upinzani na hatimae wamejikomboa. Naamini hii itakuwa chachu katika taasisi mbalimbali...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Samahani I couldnt wait to check if someone has already posted this article. Yaani kama ya Igunga; the opposite is true: kuku wamekufa mtu kapona Amazing escape for mother and daughter after...
2 Reactions
15 Replies
5K Views
INASHANGAZA SAANA KUONA EWURA (Energy Water Utlities Regulatory Authority) kuona kuwa ime ikomesha kampuni ya BP kwa kitendo chake cha kuamua kugomea serikali ombi lake la kupunguza gharama ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hivi majuzi, kuna Mwana-JF alianika hapa JF mikakati iliyomo katika Waraka wa siri ulioandaliwa na ccm kuwamaliza CDM. Baada ya kuusoma nilihitimisha kwa kujisemea kuwa, haya ni mawazo yanayoletwa...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Ndio nimerudi tena nanajua kuna wengine mtasema ohhh GT umeshikwa na nini lakini ukweli ni kuwa: Usalama wa taifa umekaa kimya huku ZADOCK akifanya uhuni mji hapa Dar. Kuna taarifa kuwa huyu...
0 Reactions
54 Replies
10K Views
Nalazimikakuchangia mawazo yangu kutokana na nukuu ya Baba wa taifa kuwa<Nchi yetu bila CCM imara nchi itayumba> Uchaguziwa CCM mwaka 2012 ndio utakaotoa mstakabari wa CCM kuongoza taifaletu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu leo jumapili saa tatu ya usiku baada ya taarifa ya habari TBC 1 kulikua na kipindi fulani sijui ni maalum au vipi. Nikamuona muheshimiwa JK akiwa anawahutubia wananchi au taifa kwa ujumla...
1 Reactions
51 Replies
5K Views
taarifa nlizopata ni kwamba raia wa tanzania wameshindwa kulala kutokana na milipuko ya mabomu huko mpakani tunduma kutokana na vurugu za uchaguzi wa zambia. Inasemekana kuwa watanzania wengi...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Nimefanya kazi ya kuwinda nyani kwa muda mrefusana. Kwahiyo na fahamu tabia za nyani A 2 Z. Kwa kawaida mnyama huyu kabla hajachoka huanza kukimbia kwamadoido na mbwembwe kibao, hukimbia na...
0 Reactions
0 Replies
992 Views
Hivi hii TV iko live? Kila ninapoingia kwenye stream yao naona ipo offline please naomba msaada kujua kama ipo live na ni muda gani unaweza kuipata online.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Matukio haya kuchoma nyumba,kumwagia watu tindikali imebainika yanapangwa na katibu mkuu wa CCM Wilson Mkama ili kuipa CDM taswira Mbaya mbele ya jamii , wanayapanga wao wenyewe CCM chini ya...
2 Reactions
59 Replies
5K Views
Membe anasemaje kuhusu Libya sasa? Au ni hadi atakaporudi toka Marekani!
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu naomba mabalozi wa Libya na Palestina watoe kauli kuhusiana na tuhuma hizi za Mukama kuwa Chadema ilitrain/kupata makomandoo kutoka katika hizi nchi. Najua hatuna balozi wa afghanistan hapa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Awali ya yote nipende kuupongeza uongozi mzima wa CDM kwa kusimamisha mtu ambaye anaonekana ni makini na mahiri wa hali ya juu, Kiukweli sera zenu na mtizamo wenu juu ya maendeleo ya hili taifa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
jf msada tafadhali nipeni jibu vijana wanachama washabiki wa ccm huitwa vijana wa kesho upande2 vijana wanachama na washabiki wa cdm wanaitwa vibaka wahuni Inakuweje kijana lika 1 maadili...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Nimekuwa muumini mkubwa wa gazeti la Raia Mwema kutokana na ukweli kwamba ni moja ya magazeti yanayoandika habari kwa weledi mkubwa. Waandishi wa gazeti hili nimekuwa nikiwaona ni miongoni mwa...
1 Reactions
46 Replies
5K Views
Ya Usalama wa Taifa na teuzi za Rais Kikwete! Evarist Chahali USKOCHI 21 Sep 2011 Toleo na 204 "KATIKA kupambana na uhalifu, hakuna njia ambayo - kama inaweza kuleta ufanisi - haitotumika...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Nyumba yako au ya jiraniyako ikiungua unategemea kuona watu wa faya wakija kukusaidia au polisi kwa ajili ya kuchunguza tukio la moto kujua kama umeunguliwa kwa bahati mbaya au umefanyiwa hujuma...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hamjambo Wakuu?????????? Niko mbali sana na Igunga na ningependa kujua hali ya mambo yalivyo kule Igunga. Baada ya yote yaliyotokea na hasa kila chama kubadilisha mbinu za kufanya kampeni, Je...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
  • Closed
Haw makada wawili wa chama cha magamba wana'post upuuz kwenye FB a/c zao, mf: Nape leo ka'post picha dr slaa akiwa na jk.. Kwenye hyo picha dr slaa anaonekana anatabasamu, na hiyo event ilikuwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…