Matukio ya Moto, Tindikali yanaratibiwa na Katibu Mkuu wa CCM TAIFA?

OgwaluMapesa

JF-Expert Member
May 24, 2008
10,943
423
Matukio haya kuchoma nyumba,kumwagia watu tindikali imebainika yanapangwa na katibu mkuu wa CCM Wilson Mkama ili kuipa CDM taswira Mbaya mbele ya jamii , wanayapanga wao wenyewe CCM chini ya uratibu wa Mkama akishirikiana na komba… kama ni kuchomanyumba wameichoma wenyewe ni mpango wao huo

Tuhuma za tindikali zinazoelekezwa kwa Chadema ni mipango iliyosukwa makusudi na CCM na kwamba kama ni watu wenye tindikali, basi CCM ndiyo walionazo.Propaganda hizi zilizopitwa na Wakati anazotumia Mkama haziwapendezi viongozi wa CCM Mkoa, Mwenyekiti wa CCM Mkoa Wakasubi na Katibu wa CCM Mkoa Ahmed wamenukuliwa wakisema Mukana anawaaribia ''Tatizo la mkama anatumia propaganda za kizamama as if bado tupo kwenye siasa za kijamaa''
 

Dullo

JF-Expert Member
Oct 24, 2009
251
64
Ukiwa mwizi unnaweza ukajikuta unajiibia mwenyewe, sasa kumuharibu mtu sura yake kwa tindikali na kusingizia CHADEMA ili wanyimwe kura hizo si ni akili mbovu.
Kumchomea mtu banda lake la kuku na kusingizia CHADEMA ili upate huruma ya kura huo si unyama, CCM inabidi wajitazame upya kuliko kuendeleza unya wanaoufanya!!1
 

Nyunyu

JF-Expert Member
Mar 9, 2009
4,354
1,005
Tutasikia mengi!! Cha msingi wananchi wa Igunga waamue tu...

CCM isipende short cut kupata ushindi, they have to sweat for it...
 

ntamaholo

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
12,776
6,544
matukio haya kuchoma nyumba,kumwagia watu tindikali imebainika yanapangwa na katibu mkuu wa ccm wilson mkama ili kuipa cdm taswira mbaya mbele ya jamii , wanayapanga wao wenyewe ccm chini ya uratibu wa mkama akishirikiana na komba… kama ni kuchomanyumba wameichoma wenyewe ni mpango wao huo

tuhuma za tindikali zinazoelekezwa kwa chadema ni mipango iliyosukwa makusudi na ccm na kwamba kama ni watu wenye tindikali, basi ccm ndiyo walionazo.propaganda hizi zilizopitwa na wakati anazotumia mkama haziwapendezi viongozi wa ccm mkoa, mwenyekiti wa ccm mkoa wakasubi na katibu wa ccm mkoa ahmed wamenukuliwa wakisema mukana anawaaribia ''tatizo la mkama anatumia propaganda za kizamama as if bado tupo kwenye siasa za kijamaa''

inawezekana, kwani wajita wanaongoza nadhani kwa kuwa na roho mbaya. Ubinadamu kwao ni kidogo mno. Kama upo ofisini, linganisha tabia za mjita na makabila mengine utayajua hayo
 

Mungi

JF Gold Member
Sep 23, 2010
16,980
9,552
hilo lipo wazi, halihitaji hata elimu ya msingi kujua nani mhusika wa haya matukio!
 

Power G

JF-Expert Member
Apr 20, 2011
3,887
1,190
inawezekana, kwani wajita wanaongoza nadhani kwa kuwa na roho mbaya. Ubinadamu kwao ni kidogo mno. Kama upo ofisini, linganisha tabia za mjita na makabila mengine utayajua hayo
Kuhusu hiyo kauli ya wajita nakuunga mkono kwa asilimia 100
 

Mvaa Tai

JF-Expert Member
Aug 11, 2009
6,159
4,435
Matukio haya kuchoma nyumba,kumwagia watu tindikali imebainika yanapangwa na katibu mkuu wa CCM Wilson Mkama ili kuipa CDM taswira Mbaya mbele ya jamii , wanayapanga wao wenyewe CCM chini ya uratibu wa Mkama akishirikiana na komba… kama ni kuchomanyumba wameichoma wenyewe ni mpango wao huo

Tuhuma za tindikali zinazoelekezwa kwa Chadema ni mipango iliyosukwa makusudi na CCM na kwamba kama ni watu wenye tindikali, basi CCM ndiyo walionazo.Propaganda hizi zilizopitwa na Wakati anazotumia Mkama haziwapendezi viongozi wa CCM Mkoa, Mwenyekiti wa CCM Mkoa Wakasubi na Katibu wa CCM Mkoa Ahmed wamenukuliwa wakisema Mukana anawaaribia ''Tatizo la mkama anatumia propaganda za kizamama as if bado tupo kwenye siasa za kijamaa''
Tujikumbushe miaka ile Omary Mahitah akiuonyesha umma visu vya CUF vilivyoingizwa kwa ajiri ya kuvunja amani na mpaka leo tunasubiri waliongiza hivyo visu wapelekwe mahakamani. Tatizo lao walizoea kuwahadaa wananchi kwamba Vyama vingi vitaleta ya Rwanda na Burundi na watu walikuwa wanaamini, wamesahau kabisa kwamba watu wanabadirika kifikra, Unaweza ukawadanganya watu wote kwa wakati mmoja lakini huwezi ukawadanganya watu wote kwa wakati wote, Sasa hivi wanaweza kumdanganya bibi yangu aliyepo Kasuru Kigoma lakini hawawezi kumdanganya na mjukuu wake kijana kama mimi, ninaamini vijana woote wameujua ukweli kuhusu CCM ila wana maslahi binafsi ambayo yanatofautiana kutoka mtu mmoja na mtu mwingine, kwa mfano mpaka sasa kuna vijana ambao ujanja wa kununua Tshirt na Kofia hawana wao inatosha sana kuwahonga Tshirt na Kofia, pia wapo wale ambao wanafanya biashara visivyo halali ili wawe salama wanalazimika kujifanya wao ni CCM damudamu mfano halisi ni maeneo mengi ya pembeni mwa barabara yenye vibustani vya kuuzia miti na maua, utakuta mtu yupo eneo lisilo ruhusiwa kibiashara ili kujihami anapeperusha bendera ya CCM au kufungua katawi ka wakereketwa wa CCM akiamini watu kama polisi na City hawatambuguzi kwa kujua ni mtu wao. CCM badirikeni Watu wamebadirika sana.
 

Lyangalo

JF-Expert Member
Sep 10, 2009
679
233
Hili la kuchomwa nyumba, mie nimeliangalia kwa undani nikaona ni ishu ya kupangwa kabisa. Nasema hivyo kwa sababu kwa tamaduni za kanda ya ziwa watu wakija kama ni wahalifu wamedhamilia kuichoma nyumba hawawezi kuchoma jiko wakaacha nyumba kubwa ambayo mhusika anaishi. Then baada ya kuchoma huwa hawaachi ushahidi wa maandishi. Kwa mtazamo wangu hii ni ishu iliyopangwa na mkama na huyo katibu ili waweze kutumia uelewa finyu wa wananchi kuomba kura.

Halafu kwa upande mwingine, hebu tujiulize nani asiwajua wafuasi wa ccm na hulka zao hasa wanapokuwa wanajua kuwa watashindwa. Ukiangalia most of their leader hawana moral authority ndo maana wanaweza kufanya chochote. Kwa ninavyojua polisi ya tz kama matukio haya yangekuwa yamefanya na Chadema hakika watuhumiwa sasa hivi wangekuwa wameishakamatwa. Angalia mfano mdogo tu wa yule mkuu wa wilaya.
 

MBURE JASHA

JF-Expert Member
May 7, 2011
200
46
CDM Mshukuruni Mungu zaidi kuna mbinu nyingine wameikosea timing tu. MBINU YA KUTEKA MTU NYARA. Inatumika sana hiyo kwenye harakati za kurudisha fomu. MAGAMBA ni Mafia wale
 

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
23,328
44,354
mkama unawaachia urithi gani uvccm utakapokuwa umekufa?nyiye wazee wa ccm tunaomba muondoke salama bila kupandikiza siasa za chuki.
Hizi siasa chafu mumeziendekeza kipindi kirefu sasa yatosha.
CHADEMA ingekuwepo enzi za sokoine au karume musingesita kusema wenyewe ndiyo wamehusika.
muache kuongea kwa mafumbo,ongeeni waziwazi kwa Tanzania tunajivunia JINGA TULIOLITHI KWA WAKOLONI BADALA YA amani ambayo haipo.ndo maana sehemu ambapo wameelimika munasema hakuna amani.mfano ARUSHA,MWANZA.MBEYA nk.mia
 

Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
49,217
69,288
Mi nilisema kwamba lile ni genge la majambazi, anaekataaa basi
 

Bobuk

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
5,870
3,266
Maajabu makubwa ambayo mimi nimeyaona katika tukio hilo la kuchoma banda la kuku, ni banda na kuku kuteketea kwa moto lakini karatasi tena yenye ujumbe unaotambulisha watu waliofanya uhalifu huo kutoteketea kwa moto.Kweli mtu anaweza kwenda kufanya uhalifu halafu eti akaacha ujumbe wa kujitambulisha?Poor Mukama unafikiri kwa kutumia Masubiri!
 

Said Bagaile

JF-Expert Member
Jun 23, 2011
686
256
nenda igunga. Kuna muujiza huko. Kuku wanakufa lakini binadamu anabaki kwa mto uliomteketeza kuku na nyumba
Si kwamba Kuku wanaungua na binadamu anabaki bali Karatasi inabaki. Kisa eti imeandikwa na Chadema! Kweli kama Polisi wetu watashindwa kumjua aliyefanya ujinga huo, nitaondoa hata ile imani ndogo niliyobaki nayo kwao.
 

Lua

JF-Expert Member
May 19, 2011
704
305
hao vijana siku nyingine wakitumwa tena, waanza na huyo anaowatuma ili aonje utamu wake.
 

SAGAI GALGANO

JF-Expert Member
Nov 13, 2009
37,839
44,362
Kumbe huyu mzee Mukama ni katili hivyo? Lakini ajue kuwa anayeua kwa upanga na yeye atakufa kwa upanga, yule kijana wa watu waliyemwagia tindikali maumivu anayopata siku si nyingi na yeye yatamfika japo kwa ugonjwa.
 
2 Reactions
Reply
Top Bottom