kijana wa ccm anaitwa taifa la kesho cdm wanaitwa wahuni

Mufiyakicheko

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
892
86
jf msada tafadhali nipeni jibu vijana wanachama washabiki wa ccm huitwa vijana wa kesho

upande2 vijana wanachama na washabiki wa cdm wanaitwa vibaka wahuni

Inakuweje kijana lika 1 maadili tabiya tamaduni wote ni zakitanzania 1 aitwe mhuni mwingini taifa la kesho sababu vyama msada tafadhali

nawasilisha
 
Feedback

JF-Expert Member
Mar 14, 2011
7,990
4,502
Ingawa thread yako haina nyama lakini ninachoweza kusema hata vijana wa Benghazi waliitwa wahuni lakini leo ndio wenye serikali.
 
Dariser

Member
Aug 11, 2011
36
0
Hivi maadili,tabia na tamaduni za kitanzania ndo zipi? Je zinafanana kwa watanzania wote?
 
twahil

JF-Expert Member
May 31, 2011
4,100
2,786
Kwani vijana wa Benghaz kushika serikali kumewaondolea uhuni wao?.Muhuni ni muhuni tu.Vijana hao wa CDM wanafanya vitendo vya kihuni vya kumwagia watu tindikali na kupiga mama ambaye kwao ni sawa na bibi yao.Hivi ni vitendo vya kihuni na hivyo ni wahuni.
 
Mama mhuni ni mhuni tu tena walimstahi sana wangempima oil.
 
Dariser

Member
Aug 11, 2011
36
0
Kila mtu/watu wana dark side na Hayo matukio ya kihunhun ni dark side ya CDM. Vjana wa chadema mkubari kuwa kwa kiwango flan ni wahuni (japo obvious si wote)
 
Mufiyakicheko

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
892
86
Kwani vijana wa Benghaz kushika serikali kumewaondolea uhuni wao?.Muhuni ni muhuni tu.Vijana hao wa CDM wanafanya vitendo vya kihuni vya kumwagia watu tindikali na kupiga mama ambaye kwao ni sawa na bibi yao.Hivi ni vitendo vya kihuni na hivyo ni wahuni.

Bibi chokolaa na binti chokolaa tofauti ni umli vitendo ni pacha
 
MyTz

JF-Expert Member
Sep 20, 2011
333
62
Kwani vijana wa Benghaz kushika serikali kumewaondolea uhuni wao?.Muhuni ni muhuni tu.Vijana hao wa CDM wanafanya vitendo vya kihuni vya kumwagia watu tindikali na kupiga mama ambaye kwao ni sawa na bibi yao.Hivi ni vitendo vya kihuni na hivyo ni wahuni.

acha jazba mkuu.....
ujira mdogo wanaokulipa hao wanaokutumia ndio unakupa stress!!
pole aisee...
 
Safety last

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
4,230
1,383
Juzi waasi wa libya leo serikali tawala ya libya hata nyerere , mandela alikuwa muhuni ,muasi mbele ya wakoloni !KAWE,UBUNGO ,HAI MOSHI MJINI,IRINGA MJINI ,ILEMELA,KARATU KIGOMA KASK,MBEYA,MBOZI MASH,NA MAJIMBO YOTE WALIOSHINDA CHADEMA kama vijana wa hayo maeneo ni wahuni basi ni wahuni sahihi katika taifa!unaweza ukafikiri wema au upole ndio utu kumbe umeshakuwa zuzu!
 
gimmy's

JF-Expert Member
Sep 22, 2011
3,224
3,085
jf msada tafadhali nipeni jibu vijana wanachama washabiki wa ccm huitwa vijana wa kesho

upande2 vijana wanachama na washabiki wa cdm wanaitwa vibaka wahuni

Inakuweje kijana lika 1 maadili tabiya tamaduni wote ni zakitanzania 1 aitwe mhuni mwingini taifa la kesho sababu vyama msada tafadhali

nawasilisha

acho urongo wako wewe.Thibitisha kauli yako!
 
MESTOD

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
4,795
1,987
Kwani vijana wa Benghaz kushika serikali kumewaondolea uhuni wao?.Muhuni ni muhuni tu.Vijana hao wa CDM wanafanya vitendo vya kihuni vya kumwagia watu tindikali na kupiga mama ambaye kwao ni sawa na bibi yao.Hivi ni vitendo vya kihuni na hivyo ni wahuni.

jf imewapa ajira wengi sana. Ila kazi mnayo, nyie ni kujibu tu makonde. Hadi muishe maana pressure mnazopata humu.
 
std7

JF-Expert Member
May 6, 2011
704
696
Kila mti ujulikana kwa matunda yake matunda ccm yamewapa jina matunda cdm yamewapa jina.
 
Nyalotsi

JF-Expert Member
Jul 20, 2011
6,617
4,451
Ingawa thread yako haina nyama lakini ninachoweza kusema hata vijana wa Benghazi waliitwa wahuni lakini leo ndio wenye serikali.

ongeza wa takhrir na tunisia, vjana wa magamba wanasubiri kudra za wazee wao ndo wapate kula ndo maana wanasubiri kesho! magwanda tunatafuta wenyewe. We r tdyz nation!
 
Blandes

JF-Expert Member
Sep 17, 2011
385
203
Ukikutana na mhuni nawe mfundishe uhuni,ili wote muende kihuni,itakuuma wewe kwa sababu nmekuzidi kwa uhuni
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

1 Reactions
Reply
Top Bottom