Tazara ya zambia wameweza nyie munangoja nini?

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
19,638
24,269
Nawapongeza wafanyakazi wa TAZARA kwa upande wa zambia kwa kuweza kutoa ushirikiano kwa chama cha upinzani na hatimae wamejikomboa.

Naamini hii itakuwa chachu katika taasisi mbalimbali TANZANIA ambazo zimeshindwa kutambua umuhimu wao katika harakati za ukombozi wa nchi yao dhidi ya mkoloni mweusi aliyejificha kwenye mwamvuli wa ccm, anaye potosha neno UJINGA kwa kuliita AMANI.

Mapambano yanaendelea hadi Africa ikombolewe kwa mala ya pili kupata uhuru wa kweli.

mia
 

mkute

Member
Jan 12, 2011
80
12
Ni salaamu kwa serikali ya magamba,kwamba ukiona mwenzio kanyolewa we tia maji zamu yako yaja.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom