Makada Nape Nnauye na Olivia sanare mwanaharakati.. Kulikoni!?

Status
Not open for further replies.

Inside10

JF-Expert Member
May 20, 2011
25,791
23,268
Haw makada wawili wa chama cha magamba wana'post upuuz kwenye FB a/c zao, mf: Nape leo ka'post picha dr slaa akiwa na jk.. Kwenye hyo picha dr slaa anaonekana anatabasamu, na hiyo event ilikuwa kwenye mkutano/tafrija ccbrt ambapo dr slaa ni mwenyekiti wa bodi.. Na kwenye hiyo picha caption aliyo weka nape ni kwamba dr slaa ni mnafiki, je hyo kauli ni halali kutoka kwa kiongozi kama nape..
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom