Duuu maajabu kama ya CCM Igunga

Kintiku

JF-Expert Member
Feb 3, 2011
617
315
Samahani I couldnt wait to check if someone has already posted this article. Yaani kama ya Igunga; the opposite is true: kuku wamekufa mtu kapona

[h=1]Amazing escape for mother and daughter after lorry carrying 3,000 chickens flips over and crushes their car (but the hens weren’t so lucky)[/h] By Daily Mail Reporter

Last updated at 10:23 PM on 20th September 2011
With a car squashed to almost half its size under a toppled lorry, this looks like an accident no one could survive.
But when police arrived, they found the Peugeot driver and her mother not only alive but with barely a scratch between them.
Somehow the pair had managed to lie as flat as possible and fit themselves into the tiny space left after the 32-ton lorry crushed their car.

article-2039714-0DFF535700000578-159_634x322.jpg
The great escape: A policeman marvels at the wrecked Peugeot 107

The daughter had been driving on the inside lane when she noticed the lorry, carrying a load of 3,000 chickens, start to wobble.
She grabbed her mother and pulled her down just as the vehicle hit them. They were inside, curled up together, when the emergency services arrived. Traffic sergeant Andy Quigley was one of the first on the scene at the A64 in York on Monday.
He described it as the most incredible escape he had seen in 16 years as a traffic policeman.

article-2039714-0E01B5F700000578-110_634x339.jpg
Flattened: Only the car door is visible under the toppled lorry, which has lost its cargo of chickens

‘They are very lucky indeed,’ he said. ‘When we got the call that a lorry had overturned on a car, we fully anticipated we would be dealing with a fatal accident.’
Both women and the driver of the lorry were taken to hospital where they were treated for cuts, bruises and shock.
These incredible pictures show the red Peugeot 107 almost completely flattened and police on the scene were astounded that no one was killed.

article-0-0DFF562700000578-68_634x415.jpg
Amazing escape: The car was left almost completely crushed by the chicken lorry, and yet the driver and passenger survived with only cuts and bruises


The car was on the inside lane when the lorry toppled sideways on to it.
The daughter saw it turning over and lay across to her mother. The lorry crushed the car to about two and a half feet above the ground, leaving the pair in a small space on the seats.
He said the cause of the accident was under investigation, although there is no suggestion of foul play.
The mum, daughter and lorry driver were taken to nearby York District Hospital to be checked over.
Efforts to clear the scene of wreckage were hampered because the lorry was carrying thousands of chickens, some of which lay dead and dying on the road and verge, and in cages still on the vehicle.
RSPCA officers were called to assist in dealing with the birds.
It is not known why the lorry toppled over.

Police are investigating the cause of the accident.

article-0-0DFF5A8E00000578-350_634x377.jpg
Lucky: The lorry driver also escaped unharmed, but received treatment for shock

 

SAGAI GALGANO

JF-Expert Member
Nov 13, 2009
36,601
42,379
Kweli hii ya Igunga inafaa ingie kwenye maajabu ya dunia, yaani banda la kuku liungue na kuteketea kabisa lakini kipande cha karatasi kisiungue.
 

Fasta fasta

JF-Expert Member
Feb 15, 2011
1,125
725

Duh hii kali ndio kazi aliyofanya RA huko Igunga nini? Sasa tuchukuwe hii video Very Sad Movie Clip - YouTube na maneno aliyotoa Luhanjo kuwa wapinzani wasialikwe mashuleni. Kama Tanzania kuna sehemu yenye hali kama hii kwa pamoja tushikiana tuchangishane hata kama ni nauli tuwapeleke pale ofisini kwake kwa sababu yeye ndie anewahitaji kuliko jamii ya watanzania.

Jamani watanzania wenzangu tufanye nini ili jamii itambue inafanya makosa kukiacha CCM bila kuwa na chombo cha kukikosoa na kutambua haki zetu tutazipata je, sio kwa hao matapeli, majambazi waliopo serikali wasio na aibu. Viongozi wakiona hii picha dhamira itawasuta na wataona aibu hata kutamka ccm mbele ya watu.

Hatuweza kuibadili nchi yetu kama hao kunguru mchwa waliopo serikali hawataondolewa. Ninajiuliza watu wamefanya kazi huko serikali zaidi ya miaka 40 lakina hakuna mabadiliko na serikali inaendelea kuwakumbatia. Dawa iliyopo ni kubadilisha chama tu ili wote waliopo waweze kuondika tupate safu ya watu wenye uchungu na nchi hii.

Vijana tuhamasishane wote tuwe na kauli moja mungu atatupa mwanga mwaka 2015 tuweze kuondokana na hili janga tupate viongozi wasikivu sio wa kufanya kazi kwa kusikia bila kuona na kuhakikisha.

Mungu ibariki tanzania..........
Mungu ibariki peaples power...........
Mungu wabariki wapenzi wote wenye mapenzi mema na hii Tanzania.
 

kinya

JF-Expert Member
Feb 20, 2009
495
71
Kweli hii ya Igunga inafaa ingie kwenye maajabu ya dunia, yaani banda la kuku liungue na kuteketea kabisa lakini kipande cha karatasi kisiungue.
kjiukweli magamba uwezo wao wakuwaza ni mdogo mwenye akili hawezi fanya plan ya kitoto vile,HOPE iyo power (ya pesa na mawazo)wangetumia wange2mia kuombea kura?kuendeleza harakati za kuvuana....,maana wajua kweli kuvua ...wenzao (mean magamba)
 

Mumwi

JF-Expert Member
Jan 9, 2011
592
122
Kweli hata mimi ya Igunga imenishangaza nyumba imeteketea mbao bati miti lakini karatasi imekutwa nzima ikisema eti chadema wamehusika kuchoma ebu wandugu fikirieni hilo kwa watu wasio na uelewa watakubalina na hilo maana watu wengine ni mbumbumbuu
 
2 Reactions
Reply
Top Bottom