Ewura kujidai kuisamehe BP wakati huo huo kampuni ya BP imeuza hisa zake zote inaingia akilini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ewura kujidai kuisamehe BP wakati huo huo kampuni ya BP imeuza hisa zake zote inaingia akilini?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MWAGONA, Sep 23, 2011.

 1. MWAGONA

  MWAGONA Member

  #1
  Sep 23, 2011
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  INASHANGAZA SAANA KUONA EWURA (Energy Water Utlities Regulatory Authority) kuona kuwa ime ikomesha kampuni ya BP kwa kitendo chake cha kuamua kugomea serikali ombi lake la kupunguza gharama ya bizaa ya mafuta.

  Lakini cha kushangaza ni EWURA kudai kuwa imeisamehe kampuni hiyo ya BP na kwamba hilo ni fundisho kwa makampuni mengine lakini wakati huo huo kampuni hiyo imeamua kuuza Hisa zake zote iliyo kuwa ina miriki kwenye kampuni hiyo kwa Tanzania na kubakisha hisa zinazo milikiwa na serikali.

  Sasa kujidai kwa EWURA ni kujiondoa kwa kampuni ya BP kabisa kumiliki au kulipwa kwa fidia au kuomba msamaha kwa kampuni ya BP huku wakiaga Tanzania (Tetesi ina semekana BP imejiondoa kutokana na ubaba ishaji wa umeme na uwekezaji TZ)
   
 2. S

  SEAL Team 6 JF-Expert Member

  #2
  Sep 23, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Napita nitarudi baadaye.
   
 3. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #3
  Sep 23, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Habari Hii sio ya Siasa... BP toka matatizo ya kule New Orleans walitakiwa kulipa about 5 billions US Dollars

  Waliuza hisa zao zote Africa, then sio sasa hivi

  Ndugu hii Habari haifai hapa kwenye Jukwaa La Siasa; Well Mod's let it pass through???
   
 4. Sr. Magdalena

  Sr. Magdalena JF-Expert Member

  #4
  Sep 23, 2011
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 770
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 45
  Acha unafiki kaka, BP wameuza share zao za makampuni yake ya afrika kwa PUMA muda mrefu sana. Unachoona Tz ni logo za BP tu kwa kuwa PUMA bado hawaja brand kampuni yao.
   
 5. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #5
  Sep 23, 2011
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Sababu kubwa ni biashara kuingiliwa na siasa. Na wao BP hawako tayari kushusha ubora wa bidhaa zao.
   
 6. L

  LATTICE BOND JF-Expert Member

  #6
  Sep 23, 2011
  Joined: May 30, 2011
  Messages: 219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Suala la kuuzwa BP limeanza hata way back in 2010. Na ni kwamba jamaa wanataka kuhamishia nguvu zao kati ya Angola na Namibia baada ya kuona TZ hakuna tija ukilinganisha na maeneo hayo. And the likely bidder during that time was KOBIL Tanzania.
  I think involving EWURA on this is Wrong!
   
 7. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #7
  Sep 23, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  nimatumaini mleta uzi umeelewa. kuwa hilo si tatizo la ewura. PB ilishaanza kuuza hisa zake siku nyingi.
   
 8. N

  Ngonini JF-Expert Member

  #8
  Sep 23, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 2,024
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Na hili la EWURA kujitangaza kwenye redio na TV limekaaje? jana nimewasikia kwenye radio UHURU-B (Clouds) nikashangaa sana.

  Mimi binafisi sioni kwanini mamlaka ya udhibiti inajipigia debe kwenye maredio na MaTV ili iweje? Kwani kuna huduma/bidhaa wanauza?
  Mimi nadhani wanaostaili kujitangaza ni yale mabaraza ya kutetea walaji.

  Hebu nisaidieni hapa mimi siwaelewi!
   
 9. Single D

  Single D JF-Expert Member

  #9
  Sep 23, 2011
  Joined: Feb 27, 2007
  Messages: 459
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  sawa kabisa na mwezi huu PUMA wamezungukia maghala yote yenye nembo ya BP
   
Loading...