Makomandoo kutoka Libya, Aghanistan & Palestina, Mabalozi watoe kauli

nyamagaro

JF-Expert Member
Feb 25, 2010
394
101
Wakuu naomba mabalozi wa Libya na Palestina watoe kauli kuhusiana na tuhuma hizi za Mukama kuwa Chadema ilitrain/kupata makomandoo kutoka katika hizi nchi. Najua hatuna balozi wa afghanistan hapa, but we have libyan and Palestinian. Pia usalama wa taifa, jwtz na polisi wambane mukama athibitishe hili vinginevyo ni matusi kwao kuwa hawawezi kusimamia usalama wa nchi. Membe na JK nao waseme kuhusu ubaya wa al ghaddaffi wakati juzi tu walikuwa wakimtetea.
 
Back
Top Bottom