Ccm yageuka kuwa kikosi cha zima motto huko igunga. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ccm yageuka kuwa kikosi cha zima motto huko igunga.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by politiki, Sep 22, 2011.

 1. p

  politiki JF-Expert Member

  #1
  Sep 22, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  Nyumba yako au ya jiraniyako ikiungua unategemea kuona watu wa faya wakija kukusaidia au polisi kwa ajili ya kuchunguza tukio la moto
  kujua kama umeunguliwa kwa bahati mbaya au umefanyiwa hujuma au hata wewe mwenyewe umetengeneza hujuma kwa sababu zako
  binafsi
  lakini wiki hii huko Igunga tumejionea maajabu nyumba inaungua makada wa CCM na magwanda yao ya kijani ndio wa kwanza kuonekana alfajili na mapema kabla ya polisi kufika wala majirani na wanafika eneo la tukio bila hata kuwapa muda polisi wafanye uchunguzi kujua nini kilitokea MAKADA WA CCM WANAANZA KUGAWA MAPESA KWA MWENYE NYUMBA. may be ndio wanampa malipo yake ya banda lake la kuku hata mimi nachoma banda langu la kuku kwa malaki ya bure. sijaona viongozi waungwana na wanaowajali watu kuliko hata fire bridgade au polisi kama CCM. CCM sasa mnajidharirisha jamani.
   
 2. dhahabuinang'aa

  dhahabuinang'aa Senior Member

  #2
  Sep 22, 2011
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ukisikia siasa uchwara za magamba ujue ndio hizo kibaya zaidi hawana mtu mwenye upeo wa kuona mbali wakifanya kitu wanatumia masaburi
  hawatumii kichwa na wanajisahau kuwa wanaodanganya sio wote mabwege kiasi hicho kila unalolifanya ni kutafuta kura za huruma kwa wananchi
  wako tayari hata kuharibu uso wa mtu wao {tindi kali},wanachoa kibanda ili wapate kibaya zaidi pale mwenye sauti {pesa} kula wake za wanyonge
  wao duuuuuuuu! ccm bana!! ila ukiona hivo ujue ni MAJI YA SHINGO tayari.
   
 3. only83

  only83 JF-Expert Member

  #3
  Sep 22, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Nimechoka kusoma huu uharo toka kwa hawa vichaa CCM....
   
 4. p

  politiki JF-Expert Member

  #4
  Sep 22, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  kwa hili nakubaliana nawe na RA kuwa CCM imejaa siasa za uchwara.
   
 5. data

  data JF-Expert Member

  #5
  Sep 22, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 16,802
  Likes Received: 6,583
  Trophy Points: 280
  aliyeandika ndio ana uharo.. si ndivyo???
   
 6. D

  Dariser Member

  #6
  Sep 22, 2011
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  aloandika ana uhalo kweli.ktk akili ya kawaida bila kuongozwa na biases nj ethnocentric ideas u can c kwa nin ccm waliapear kusaidia hata kabla ya zmamoto.zmamoto wako inefectiv mijin sembuse huko interior kwa huyo mzee!
   
 7. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #7
  Sep 23, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  magamba hayo magamba hayo
   
 8. p

  politiki JF-Expert Member

  #8
  Sep 23, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  wewe ukipatwa na motto nyumbani kwako au kwa jirani yako utampigia simu kwanza katibu mkuu wa ccm au utapiga simu polisi kuona kama unaweza kupata msaada. haijawai kutokea mtu anapata ajali ya motto watu wa kwanza ku show up wamevaa magwanda ya kijani na maburungutu ya pesa mkononi hata marekani kwenyewe hakuna kitu kama hicho. ni kweli zimamoto hawako effective so as CCM, Look at the way they run down social service in our country. sababu ya msingi kwanini CCM ilikuwa ya kwanza kufika kwenye tukio ni kwa sababu wao ndio walio stage hilo tukio kutafuta huruma za wapiga kura na siyo kwamba CCM labda inamjali huyu mzee.
   
 9. F

  Froida JF-Expert Member

  #9
  Sep 23, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,903
  Likes Received: 1,330
  Trophy Points: 280
  CCM ni mavi ya kale .Mukama ni ndondocha taahira wa hali ya juu propaganda zao zinabackfire bado wanaendelea mpaka sisimizi wamejua kwamba CCM wanadanganya sannnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnna
   
 10. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #10
  Sep 23, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,819
  Likes Received: 36,929
  Trophy Points: 280
  Walikua wa kwanza kufika kwenye tukio coz wao wenyewe ndo wamewasha uwo moto, haihitaji degree kujua kuwa CCM imeona hali mbaya na sasa inatafuta public sympathy.
   
 11. D

  Dariser Member

  #11
  Sep 23, 2011
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Conspiracy theories are always there mkuu.....Mi nadhan hatuko certain haswa kuhusu nani alistage hili tukio.Labda baadae vyombo husika vyaweza kutuondolea hizi uncertainities baada ya uchunguz kukamilika
   
Loading...