Hili suala alilozungumzia baba wa hili taifa limefikia wapi?

harakat

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
2,888
1,326
"Wazee hawa waliendelea kuja kuniona au Msasani au Butiama. Baadaye suala la Zanzibar kuingia katika OIC likazuka. Hili Halo viongozi wetu wakaliombea bungeni, na wakapewa muda wa mwaka mmoja wa kulitafakali! Suala la kuvunja Katiba ya
Nchi yetu!"

BUTIAMA 2:8: 1993(
(UONGOZI WETU NA HATIMA YA TANZANIA (1994)) 

Leonard Robert

JF-Expert Member
Apr 22, 2011
10,620
6,279
bado lipo linafukuta,ila wazanzibari wanacheza karata ya kipi kianze na ndipo wanapoamua kulivalia njuga swala kuvunja muungano,ili waweze kujiunga rasmi na OIC,kwani baada ya kuvunja muungano katiba yao itapata nguvu zaidi katika maamuzi ya maslai yao.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom