Lowassa nenda Igunga kama wewe msafi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lowassa nenda Igunga kama wewe msafi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kigarama, Sep 25, 2011.

 1. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #1
  Sep 25, 2011
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kuna watu wanataka tuamini "Mteule wa Mungu" Lowassa ni Innocent. Kama kweli huyu jama ni safi kama kina Beatrice Shelukindo wanavyotaka tuamini kwa nini asiende Igunga kukisaidia chama chake ambacho kimekabwa Koo kwenye uchaguzi wa huko?
   
 2. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #2
  Sep 25, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,923
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Kwani aibu anayoivuna mkapa unadhani hawaioni!! Tangu Mkapa azindue kampeni umesikia chochote chema kutoka kwa huyu mzee mkapa??zaidzaidi kunyimwa pesa za kampeni na wafanyabiashara tu.
   
 3. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #3
  Sep 25, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  aende kama nani? Acha umbumbumbu
   
 4. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #4
  Sep 25, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Aende kama mjumbe wa NEC ya CCM, kama Waziri Mkuu aliyetemeshwa mzigo. Hiyo itakuwa kipima joto kizuri kwa sababu waliokula hela yake wanadai yeye ni popular na huu ndiyo ungekuwa wakati wa kuthibitisha hilo na kuchukua credit kwa ushindi kama CCM itashinda. Lakini I can bet, nje ya Monduli hawezi kuhutubia hata mkusanyika wa watu 15, labda wapambe wake kwenye nyama choma au nyumbani kwake.
   
 5. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #5
  Sep 25, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  Mwacheni mgonjwa augue pole....
  Akisema aende ataishia njiani...
   
 6. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #6
  Sep 25, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Wewe ndiye campaign manager wa CCM? Mbona magwanda mmekataa kumpeleka Shibuda Igunga?
   
 7. Michael Scofield

  Michael Scofield JF-Expert Member

  #7
  Sep 25, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Tatizo magamba mnajifanya mmekubalika huku viroho vikiwapyita, je kungekuwa na majimbo matatu kwa pamoja yanarudia uchaguzi ingekuwaje?
   
 8. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #8
  Sep 25, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  CCM ni dampo.

  hakuna usafi wowote kwenye dampo.
   
 9. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #9
  Sep 25, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280

  tumempeleka huyu hapa

  zitto.jpeg
   
 10. Thomas Odera

  Thomas Odera Verified User

  #10
  Sep 25, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 644
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Lowasa hawezi kwenda Igunga kwa sababu aliyeachia ngazi ni rafiki yake, kwa hiyo akienda atasema nini wakati kule ni siasa uchwara. Lkini pia akienda upako wake aliopata kwa yule nabii wa Nigeria utapungua sana maana sharti mojawapo ni kwamba asishiriki mikutano ambayo inaratibiwa na wanamagamba wa siasa uchwara
   
 11. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #11
  Sep 25, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hivi ile tiba aliyotambulishwa na Beatrice Shelukindo haijamsaidia? Maskini mpendwa wetu!
   
 12. Chuma Chakavu

  Chuma Chakavu JF-Expert Member

  #12
  Sep 25, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,524
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  shibuda hajaenda labda kwa kuwa campaign manager kaona hafai, je na lowassa ni hivyo hivyo?
   
 13. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #13
  Sep 25, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  Anajijua kuwa si msafi ndio maana hajaenda Igunga.
   
 14. Kijuche

  Kijuche JF-Expert Member

  #14
  Sep 25, 2011
  Joined: Aug 26, 2010
  Messages: 419
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Magambaz walimuudhi kwa kumtaka ajivue gamba.
   
 15. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #15
  Sep 25, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,696
  Trophy Points: 280
  mkuu hii picha ya Igunga au Kigoma kaskazini?
   
 16. Alexism

  Alexism JF-Expert Member

  #16
  Sep 25, 2011
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 2,443
  Likes Received: 1,015
  Trophy Points: 280
  Mwanafunzi...baba wa taifa alisema kiongozi hasivae kofia mbili,sasa mbona wewe ni waziri mkuu na tena mbunge..na..f.i.s.a.d.i? ASAWOL ...mh huyu mtoto nani kamwambia haya maneno...poti uliza wazazi na walimu wake..!
  Igunga watamuuliza kwanini ulijivua mabaka,magome na magamba.
   
 17. d

  deecharity JF-Expert Member

  #17
  Sep 25, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 831
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  yule hawez kanyaga kwenye mapambano makali kama yale.
   
 18. CR wa PROB

  CR wa PROB Senior Member

  #18
  Sep 25, 2011
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 170
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kaka kiukweli umenifurahisha!! kwa Tz hakuna chama kinachojua wekeness zao kama CCM, Hivi kweli wampeleke huyu jamaa akafanye nini? huku kila mwanaigunga anamtambua vizuri Lowasa? labda kama mimi mningekuwa wa Igunga ndio ningependa Lowassa awepo kwanii mimi kama mimi namkubali sana Lowasa kwa kuwa aliwajibisha wazembe wengi ambao sisi walipa kodi wa hii Nchi tunawaita MUNGU MTU!!
   
 19. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #19
  Sep 25, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Mbona nilisikia kwamba yu mgonjwa? Ameshapona? Kwa taarifa za vijiweni, ni kwamba huyu bwana tayari keshashughulikiwa na system. Hivi sasa anaendelea kufa taratibu. Ndiyo maana hata hawajishughulishi naye tena, maana wanajua atakuwa marehemu wakati wowote.
   
 20. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #20
  Sep 25, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Jizi hilooooo. hatulitaki jizi hiloooooo! Hahaaaaaaa! Naota tu.
   
Loading...