Usalama wa raia wa tanzania haupo makini

harakat

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
2,888
1,347
Hii ni kutokana na ukweli kwamba kama watu wanaweza kusafirisha Twiga na wasishtukiwe
Je unafikiri kua wanweza wakalinda usalama wa raia wake.
1. Ajali ambazo zinaonekana kuwa ni uzembe zaidi ya ajali zinatokea mara kwa mara na watanzania wengi kupoteza maisha yao.
2. Ajali za moto ambazo kikosi cha zima moto kingetakiwa kiwe makini lakini huwa wanashindwa kufanya hivyo na kusababisha hasara nyingi na kubwa kwa wajasiliamali wa Tanzania ambao wengi huwa wamechukua Mikopo.
3. Hii husababisha Wananchi kukosa imani na Nchi yao kwa ujumla na hivyo kutufanya tuwe tunatoa lawama mara kwa mara.
 
Back
Top Bottom