Lowassa to strike back ; Mbowe to quit chairmanship? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lowassa to strike back ; Mbowe to quit chairmanship?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Enigma, Aug 5, 2009.

 1. Enigma

  Enigma Senior Member

  #1
  Aug 5, 2009
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 108
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hi everyone; I'm back.

  Some updates and new information:

  - We had advised M to write the original report in English but he refused arguing that this one was for the regular Tanzanians consumption so there was no need to put in Engglish. But, after a number of Human Rights Organisations have inquired about it our team is now working on releasing an English summary of the report. It should take us about seven days.

  - We have noticed some interesting patterns on the part of Lowassa and his team. All the evidence and intelligence we have collected point to the reality that Lowassa is going to categorically deny wrong doing in the Richmond Affair and would put total blame absolutely on Kikwete. They have had another meeting with some of their supporters in the past few hours on which way to go especially after Luhanjo's ridiculous defense and indictment of Kikwete's role in the whole affair.

  - Once he strike back at Kikwete and the people who have accused him of improprierty and corruption it is expected the act to usher a permanent rupture of his strategic friendship with Kikwete. This will officialy divide CCM into two camps as the party moves towards general election next year. The recent announcements about possible canditates are just a preludes of the oncoming collision between Lowassa's camp and Kikwete's.

  - Meanwhile as Chadema is moving towards its general election in a month or so there is a strong indication that Mbowe would finally give up the chairmanship to someone else. However, there are some people who still believe he should lead the party towards general election while others believe that the time has come for a new leadership to lead the party towards victories next year. He is expected to run for a parliamentary seat.
   
 2. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #2
  Aug 5, 2009
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,639
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Huyo Mbowe ameona mbali
   
 3. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #3
  Aug 5, 2009
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  kama ni kweli basi Mbowe ameona mbali sana na hiyo naiunga mkono
   
 4. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #4
  Aug 5, 2009
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Respect mkuu,
  We are waiting with great passion to see CCM divided into the said camps.

  Chairman Mbowe's move to give up the party's chairmanship will be a wise decision. I hope Dr. Kitila Mkumbo is ready to take the party's chairmanship, as well run for the Presidency.


  thanks for the dataz.
   
 5. S

  Samwel John New Member

  #5
  Aug 5, 2009
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Chadema wangempa uenyekiti Lowassa ili agombee urais akitokea chama cha upinzani nadhani hapa uchaguzi ungekuwa wa moto zaidi..LOL
   
 6. M

  Mukubwa Senior Member

  #6
  Aug 5, 2009
  Joined: Aug 20, 2007
  Messages: 124
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35

  Duuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!
   
 7. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #7
  Aug 5, 2009
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,836
  Likes Received: 1,091
  Trophy Points: 280
  Unajua yale matamko ya Ikulu hasa lile la Luhanjo linaonyesha kuwa Lowasa kama PM ndiye aliyeingiza Richmond na alikuwa hamhusishi Rais. Hapa lazima Lowasa aje na tamko lake, otherwise atashindwa kujisafisha baadae.

  Ikulu haikufikiria vizurio implication ya lile tamko.
   
 8. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #8
  Aug 5, 2009
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  teh teh kazi kweli kweli,ngoja nikaa vizuri tutasikia mengi kweli hapa
   
 9. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #9
  Aug 5, 2009
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  mkuu Nziku hii mimi nimeipenda sana..Ikulu ilikurupuka na ni kuweweseka tu kwa akina Luhanjo,mi sielewi maana yake nini unaposema rais alikataza wasilipwe hela na baadaye wakalipwa then ukashindwa kuchukua hatua unakuja kulalamika mwishoni tena baada ya tamko la serikali kukataliwa bungeni..why hayo aliyotasema Luhanjo yasingeingizwa kwenye taarifa iliyosomwa bungeni.

  Naomba mungu anipe maisha marefu nione nchi itakavyo tikisika pale Lowasa atakapo amua kutoa tamko na yeye juu ya haya mambo....
   
 10. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #10
  Aug 5, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  mzee nasikia baada ya tamko la Salva Lowassa alikasirishwa sana na alikuwa tayari kujibu mapigo na ndio kilimfanya Luhango to come out a little bit stronger. Sasa wanajua kwa vile Kikwete "kajivua" lawama; na serikali imesema wale watendaji wengine hawana makosa makubwa hivyo, basi Lowassa anajikuta ndiye pekee anayeachiwa mauchafu yote ya Richmond.

  Matokeo yake sitoshangaa tukaambiwa kuwa Richmond iliingia nchini bila kuingizwa na mtu yeyote na kuturudisha kwenye proverbial "square one".

  Ukitaka kuja ni nanni hasa alihusika na Richmond ni lazima mtafute aliyehusika na Dowans kwanza. Hivyo, katika sakata lilivyo sasa ni Lowassa ndiye mwenye kupoteza zaidi kuliko Kikwete.
   
 11. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #11
  Aug 5, 2009
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,836
  Likes Received: 1,091
  Trophy Points: 280
  Mzee nimekuelewa kabisa, lakini hit back ya Lowasa itakuwa na madhara makubwa kisiasa kwa Kikwete. Itategemea sana uchaguzi wa maneno atakayotumia Lowasa. Ktk hali kama hii si rahisi Lowasa kukubali kuwa peke yake.
   
 12. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #12
  Aug 5, 2009
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  mi natamani hapa nikiwasha TV nimuone EL anahutubia waandishi wa habari naye anatoa tamko lake ...duuuh patakuwa hapatoshi
   
 13. Semilong

  Semilong JF-Expert Member

  #13
  Aug 5, 2009
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 1,711
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  ni dhairi kabisa kikwete alikuwa anajua lowasa atamsumbua.

  kitendo cha kuhakikisha lowasa anajiuzulu kwa kashfa ya richmond ilikuwa ni character assassination ambayo imeongozwa na kanali JK. kama lowasa angekuwa waziri mkuu mpaka sasa hivi angekuwa na nguvu zaidi ya kikwete na ingekuwa ni tishio sana kwa kikwete.
  sasa hivi kuna gap kubwa sana ya popularity ndani ya ccm (kutoka kikwete mpaka mtu anayemfuatia) lakini kama lowasa angekuwa waziri mkuu mpaka sasa hivi angekuwa popular sambamba na JK

  ukiangalia mwandosya na magufuli wizara walizopewa ni dhairi kabisa kikwete amefanikiwa kuwanyamazisha wapinzani wake wa karibu.
   
 14. Nono

  Nono JF-Expert Member

  #14
  Aug 5, 2009
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,305
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Lakini katika taarifa mbalimbali pia zinazomhusu hata mmiliki wa dowans kamasikosei zilionyesha kuwa na uhusiano wa karibu na mkulu (rejea taarifa ya kainzi kako arabuni). Zaidi Lowasa aliwahi kujaribu kueleza aliyoyafahamu pale alipoachia ngazi alipopaa tu kuelekea monduli, lakini kipindi chake kikakatishwa, na tangu hapo hajasema tena. Nakumbuka pia katika kujitetea kwake aliwahi kusema kuwa alishauri mkataba wa richmonduli uvunjwe, lakini hakusema kuwa alimshauri nani, ila inaonyesha atakuwa ni boss wake ambaye alikuwa ni JK.
  Mimi nadhani kujisafisha kwa Lowasa ni vigumu sana, pia kuzingatia mabest wake, na haswa pale aliposhindwa kujitetea wakati uleule alipohamua kuwakabishi U-PM. Ila inaonekana kuwa anaweza kumpaka matope kiasi kisichotamanika JK.
   
 15. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #15
  Aug 5, 2009
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  kusema ukweli siku Lowassa akifyatuka sijui nchi itakuwaje.i cannot imagine ,it is obvious JK atakuwa matatani zaidi no doubt about that..shida ya Lowassa ni kutojua anawaza nini na anaonekana ana ngozi ngumi sana inayohimili mikwaruzo,sasa siku akiamua kuongea mhhhh.Hivi huyu Lowassa sindio alivunja mkataba wa City water akiwa waziri wa maji?
   
 16. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #16
  Aug 5, 2009
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,316
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Hili la Mbowe linanishtua kidogo. Huyu ameongoza kipindi chake cha kwanza kwa mafanikio makubwa kuliko kiongozi yeyote wa chama cha siasa (including ccm) baada ya mfumo wa vyama vingi. Kugombea ubunge badala ya urais inaweza kuwa kwa maslahi ya CHADEMA, lakini kuachia uenyekiti katika kipindi hiki atakaye sherehekea ni CCM!
   
 17. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #17
  Aug 5, 2009
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  Mkuu Enigma, wana-Chadema wako wengi sana humu ndani ya JF, na watakuja kukanusha hii habari venginevyo na wewe ni mwanachama na hizi habari za ndani ya CC yenu?

  Vipi mmeamua kumchukua Lowasa kama mgombea wenu kuendeleza agenda ya u-Kaskazini?
   
 18. M

  Magezi JF-Expert Member

  #18
  Aug 5, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  kwa wana CHADEMA issue siyo CCM bali ni kudumisha demokrasia. Ni bora aje mtu mwingine nae atoe mchango wake ktk nafasi ya uenyekiti wa chama, kwa njia hii demokrasia inadumu zaidi kuliko kujiona kwamba wewe waweza sana kuliko wengine wote.
   
 19. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #19
  Aug 5, 2009
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,570
  Likes Received: 1,936
  Trophy Points: 280
  Anajiona anaweza kuliko wengine wote kina nani? unaposema wengine waje kwani nani kawakataza kwenda? Na huo mchango kwani lazima uwe mwenyekiti? Halafu unaongea kama vile Mbowe naye anawazuia wengine kugombea uenyekiti? Ama ile mentality ya unyekiti=ugombea uraisi inakupa shida? Si keshasema anagombea ubunge? Duh watu wengine bana,ni sawa na huyo anayedai mambo ya ukaskazini,jengeni nchi acheni porojo,nchi ni moja mko radhi kugawa wananchi with baseless and unfounded assumptions...Kazi ipo kwa wanasiasa uchwara wasiojali maslahi ya nchi.
   
 20. M

  Magezi JF-Expert Member

  #20
  Aug 5, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Nadhani hujanielewa namaanisha nini. Suala langu la msingi nasema ktk chama changu cha CHADEMA ni bora au ni haki tukapata mwenyekiti mwingine nae akatoa mchango wake ktk uongozi wa chama, na hii ndo kudumisha demokrasia ya kweli.

  Sasa nakushangaa wewe unakurupuka bila hata kusoma na kutafakari? au ni CCM nini?
   
Loading...