Zitto amewaasa wakazi wa Igunga kuchagua mbunge atakayeweza kuwasemea kero zao ili zifanyiwe kazi.Nianze kwa kutoa shukrani zangu za dhati kwa wagombea wote, wameonyesha namna walivyojiandaa...
Monday, 26 September 2011 08:05
Daniel Mjema, Igunga
MWANANCHI wa Kitongoji cha Mwamsungu,Jimbo la Igunga, Nzile Faregaro, amembana Katibu mkuu mstaafu wa CCM, Philip Mangula...
Nanukuu kampeni za mgombea huyu huko Igunga;Nitaanza na vijana>>vijana hamna kazi,mnakaa vijiweni bila kazi>>vijana mna 'very problems'>>Ninyi ni kama solar panels,mnachomeka juani muda...
Sitaki kumpongeza Ndg Sata zaidi ntawapongeza watu wawili kwa uchaguzi mkuu wa zambia, ambapo hata wanastahili kupewa tuuzo ya amani,ambapo ni ndugu Lupia...
Hapa kuna utata kama sheria zimekiukwa alafu kampeini zinaendelea wapi tunaelekea jama sheria,kanuni na maadili ya uchaguzi.Tendwa na NEC wameshindwa kusimamia sheria then nini umuhimu wa sheria hizi?
Namesikiliza radio Clouds fm nikamsikia Naibu Katibu mkuu wa CUF akilalamika kuwa CCM wameagiza tani 9 za sukari toka Mwanza kwa ajili ya kugawa kwa wapiga kura na wameamua kutumia kigezo cha njaa...
Tunapoelekea 2015; ni vema kutathmini na kuweka kumbukumbu sawa kwa Rais wetu Kikwete tangu alipoingia madarakani 2005 hadi sasa anapoelekea mwisho. Tujikite kwenye Uchumi, Miundombinu/ Ujenzi...
Nimefuatilia midahalo mitatu baina ya vyama vyetu vikubwa vya upinzani wakiwemo na CCM muda mwingine, kilichowazi ni kuwa kwa wachambuzi huru wanaona CUF hufanya vizuri kuliko CMD kwenye midahalo...
Nilivyoona matangazo kwenye blogs, face book na tweeter nilihisi kweli tuna watu wanaoweza kutusaidia kuleta mapinduzi hapa tanzania kwani wako nghambo amabapo democrasia imeshamiri ukilinganisha...
Wakuu inaonekana serikali karibu yote imehamia Igunga,I am about to write something kuhusiana na uchaguzi huu naomba mnisaidie kuijaza list hii:
Vigogo
1. Mwigulu Nchemba
2. Samuel Malecela
3...
Baadhi ya Wazee na akina mama wa Igunga wahongwa Pombe ili kuiunga mkono CCM...ni kwenye kikao kilicho itishwa na CCM na CUF kwa ushirikiano......pata picha kwa mjibu wa mchina simu
Frederick Katulanda, Geita na Daniel Mjema, Igunga
MJUMBE wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Hussein Bashe, ameonya kuwa iwapo CCM hakitajadili matatizo ya wananchi...
Timu nzima ya wizara ya mambo ya ndani imehamia igunga bada ya waziri wake mh vuai kupiga kambi jimbon humo na jana kamishna wa polisi operation maalumu kutia timu!
Mara nyingi tumeshudia cdm ikifanya harakati mbali mbali kama maandamano,midahalo na operation kuweza kuishinikiza ccm kuwajibika na kufanya mabadiriko ingawa siyo kila sehem.
Je cdm ikiingia...
Tumeona wenyekiti wa vyama vyenye ushawishi mkubwa vya CDM na CUF kupeleka wenyeviti wao katika kampeni za ubunge jimbo la Igunga zinazoendelea hivi sasa.
Kutokana na tathmini na taarifa kadhaa...
Kupitia katika historia ya Afrika utakuta kwamba jamii mbali mbali zilikuwa na njia za kujiongoza kabla ya ubepari na ukoloni kuletwa Afrika.Ukoloni ulipokuja falme au utemi ulitolewa lakini...
katibu wa itikadi na uenezi wa ccm bwana nape nnauye leo amepata aibu ya kuzomewa vibaya hapa serengeti alipokuja kumnadi mgombea wa udiwani wa ccm,mkasa ulianza pale alipoanza kusema kwamba...
Tangu kampeni zianze Igunga kwa ajili ya uchaguzi mdogo kumekuwa na kushutumiana kwa hapa na pale hasa vyama viwili vya CCM na CHADEMA kuhusu vurugu zinazotekea kila kukicha kila mtu akimtuhumu...
Jionee mwenyewe habari ambayo huwezi kuipata popote zaidi ya CTV. Ni kuhusu tukio la Kuvamiwa kwa Chadema na green guards wakiongozwa na wabunge wao. Bofya
CCM waanza kurusha risasi Igunga -...